Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 2,652
- 5,242
Ha haha...nacheka kama mazuri vile.Mkuu kwakweli sisi waafrika ni watu wagumu tunabeba mengi na tunasurvive.
Uwa hao wenzetu mara sijui wana depression wakaone wana saikolojia, mara sijui wana anxiety, mara sijui alimwona baba anamdunda mama inamsukbua ukubwani anakuwa serial killer. Sisi tunashuhudia zaidi ya hayo hakuna cha mwanasaikolojia wala kuwa suicidal tunadunda tu.
Yah, eti mtu anaenda kwa mwanasaikoloji,kwa black tunajijua wenyewe.