Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Umeandika kama Mungu yupo kweli vile.Hivi Mungu alikukosea nini hadi uchukie uwepo wake namna hiyo?
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Sitaki uongo. Unapotosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika kama Mungu yupo kweli vile.Hivi Mungu alikukosea nini hadi uchukie uwepo wake namna hiyo?
Wewe guluguja hujui kusoma kwa ufahamu.Sasa ndo kilaza namna hii, yaani umesoma field moja tu ndo unatembea kwa kunyanyua makwapa, ninachoandika kinajieleza, sina haja ya kuanika wasifu wangu
Hamna concepts ambayo utaiwasilisha halafu nikawa siifahamu, weka hilo akilini kuanzia leo mpaka watu wa mrongo huo watakapogundua concept mpya ya kupinga UUNGU, unazungumzia Euclidean Geometry tu, nakuelezea hadi Non Euclidean Geometry ya Mathematics na Physics
Arguments za uwepo wa MUNGU - tafuta field yeyote iwe ni falsafa, historia, thiolojia, fizikia na nyinginezo nialike nije tujadili ukinishinda nakuwa ATHEIST
Jibu swali langu,Umeandika kama Mungu yupo kweli vile.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Sitaki uongo. Unapotosha.
1.Hujathibitisha Mungu yupo.WALLAH hamna ambacho sikifahamu hapo, una kingine? kwa hiyo kwa kuvifahamu kwako hivyo kwa kukariri ndo unadhania na wengine hatuvijui e? [emoji23]
Kama Mungu hayupo, hawezi kuwa amenikosea chochote.Jibu swali langu,
Mungu alikukosea nini hadi ukasirishwe sana na uwepo wake?
Ndio naweza kuthibishaKama Mungu hayupo, hawezi kuwa amenikosea chochote.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Kuthibisha au kuthibitisha?Ndio naweza kuthibisha
Childish argument from psychiatric personKama Mungu hayupo, hawezi kuwa amenikosea chochote.
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Washirikina wanaamini Mungu yupo/ supernatural forces.Ana pretend huyo. Jamaa ni Mshirikina huyo anataka atupoteze kubwa hakuna Mungu ili atutupie mapepo.
Hata kama uko sahihi. For arguments sake.Childish argument from psychiatric person
1. Habari za uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na rehema zote aliyeuumba huu ulimwengu unaoruhusu mabaya zinajipinga zenyewe (zina internal contradiction).
2. Internal contradictions hizo, hazijatatuliwa kimantiki kwa maelfu ya miaka.
3. Habari yenye internal contradiction isiyoweza kutatuliwa kimantiki inaonekana kuwa ni habari isiyo na ukweli (mifano, mtu kuwa sehemu mbili kwa wakati mmoja, pembetatu ambayo hapohapo ni duara).
4. Habari ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na rehema zote aliyeuumba ulimwengu huu unaoruhusu mabaya ni hadithi za kutungwa na watu tu. Hazina ukweli.
5. Watu wengi wanaobishana kuhusu habari hizi hapa JF kwa kutetea uwepo wa Mungu huyu, wanabishana kwa kutetea mapokeo/ dini zao. Wengi wanatetea dini walizozaliwa ndani yake. Hawana uwezo mkubwa wa kuchambua mambo kimantiki (logical thinking), hawana uwezo mkubwa wa kufikiri kidhahania (abstract thinking), hawajasoma maandishi muhimu yanayojadili hoja kuu za kutetea au kupinga uwepo wa Mungu. Hawajui hata "problem of evil" ni nini.
Unamuuliza mtu imekuwaje Mungu mwenye upendo wote na ujuzi wote na uwezo wote akaumba ulimwengu ambao unaweza kuruhusu mabaya yawepo, mtu anakujibu Mungu hakuumba mabaya, watu ndio wamefanya mabaya. Clearly huyu hata swali hajalielewa, hivyo hawezi kulijibu.
6. Watu hawa wengi ni wabishi sana, wana maswali ya logical non sequitur, wanafanya sana fallacy ya "argument from authority" kwa kutumia vitabu vya dini vinavyosemwa vimetoka kwa Mungu, lakini vyenye makosa ya kimant8ki mengi sana.
7. Watu hawa, wengi sana wanabishana kwa kutetea "identity" yao, ambayo wameifunganisha na dini/ imqni ya suoernatural. Kwenye vitu vya kufikirika tu ambavyo haviwezi kuthibitishika.
8. Hata pale wanapoona mwanga kidogo, wana kile kinachoitwa "Sunken Cost Fallacy" kubwa sana. Hii inaendana na "cognitive dissonance" kubwa sana inayoleta attitude ya "my God/ religion/ traditiin, wrong or right"
9. Wengi wanatoa counter arguments zinazopinga point zao wenyewe bila kujua. Mtu anakwambia Mungu lazima yupo kwa sababu uumbaji huu wenye maajabu mengi na complexity kubwa hauwezi kutokea wenyewe bila Mungu kuuumba. Wakiwa hawajajua kwamba, ikiwa kila complexity itahitaji muumbaji, basi Mungu muumba vyote hawezi kuwepo, mqana naye atakuwa complex atakayehitaji muumbaji.
10. Watu wengi hawajui hata Kiingereza cha kusoma nqnkuelewa hizi mada, lugha ambayo hoja hizi zimeandikwa sana. Na hivyo kujadiliana nao ni kujadiliana na mtu ambaye kanyimwa kabisa vitabu vyote vilivyoandikwa Kiingereza. Falsafa hizi hazijaandikwa Kiswahili. Wachqche wanaojua Kiingereza inaonekana hawajasoma falsafa ya dini kiqsi cha kuweza kuendeleza majadiliano ya kisomi yenye tija.
Matokeo yake, majadiliano yana devolve.
Kazi ya kumfundisha guluguja string theory inaendelea.
Unanipotezea muda wangu with your abracadabra. ByeeeeHata kama uko sahihi. For arguments sake.
Uwepo wa psychiatric person nao ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.
Angekuwepo, ulimwengu usingekuwa na psychiatric oerson hata mmoja.
You are making my point even when you are unfairly attacking me.
Jamaa ni empty kabisa upstairs pia ni psychriatic. Inawezekana pia ni either Devil Worshiper, ana mapepo au "pepo mtu" na anafanya/tekeleza mission yake. To me sijui kwanini, nikisomaga argument zake huwa kichwa kinauma. Nitamuomba Mungu anifunulie Kiranga ni nani? Nitaleta Jina lake kamili humu muda si mrefu.Hiyo ndo String theory? hivi huyu ni mtu au kiazi?
Kwa heshima ya ALBERT EINSTEIN naomba nikuache na utukutu wako
Wewe huna uwezo wa kuelewa analogy ni nini, huwezi abstract thinking, huwezi logical thinking ndipo uwezo wako ulipoishia.Hiyo ndo String theory? hivi huyu ni mtu au kiazi?
Kwa heshima ya ALBERT EINSTEIN naomba nikuache na utukutu wako
[emoji23]Wewe huna uwezo wa kuelewa analogy ni nini, huwezi abstract thinking, huwezi logical thinking ndipo uwezo wako ulipoishia.
Thibitisha Mungu yupo.Jamaa ni empty kabisa upstairs pia ni psychriatic. Inawezekana pia ni either Devil Worshiper, ana mapepo au "pepo mtu" na anafanya/tekeleza mission yake. To me sijui kwanini, nikisomaga argument zake huwa kichwa kinauma. Nitamuomba Mungu anifunulie Kiranga ni nani? Nitaleta Jina lake kamili humu muda si mrefu.
[emoji23]Jamaa ni empty kabisa upstairs pia ni psychriatic. Inawezekana pia ni either Devil Worshiper, ana mapepo au "pepo mtu" na anafanya/tekeleza mission yake. To me sijui kwanini, nikisomaga argument zake huwa kichwa kinauma. Nitamuomba Mungu anifunulie Kiranga ni nani? Nitaleta Jina lake kamili humu muda si mrefu.