Sura ya Mungu kupitia Wajapani

Sura ya Mungu kupitia Wajapani

1. Hujaweza hata kutaja hayo mambo uliyosema nimechanganya.

2. Hujathibitisha Mungu yupo.
Wewe ni Tomaso unataka udhibitishiwe vipi?
Kwa macho ya nyama.
Kuwa MUNGU yupo hapo mbele yako mbele ya simu yako au unataka uambiwe hilo jiwe hapo ndio MUNGU.
Utakuwa unao wehu ndani yako.
Wewe unajinasibu huu msomi si mvivu wa kusoma ebu thibitisha kuwa MUNGU hayupo.
Toa facts zako,usilete hadithi zako za contradictions maana hizo contradictions ni wewe ndio unaji contradict akili na moyo wako havifanyi kazi pamoja(WEHU)
Haya wewe simama thibitisha kuwa MUNGU hayupo hakuna kitu kinaitwa MUNGU toa statement moja ieleweke.
Wewe mwenyewe hapo unaamini kuwa MUNGU hayupo huna facts,kitendo cha kuwa kuamini maana yake ni rahisi dogo kuwa ni kuwa na IMANI.
Kama unazo facts toa usiweke imani katika facts zako.
Unaijua computer na vifaa vingine vya kielectronics kama hiyo simu unayotumia au laptop unayotumia hapo.
Unajua muunganiko wake mpaka kifaa kinafanya kazi.
Kuna software na Hardware,hapo ulipo unaona unakamata na kuihisi hardware tu.
Lakini unajua na unaamini (uliambiwa) kuwa kuna software,je hiyo software unaiona unaweza kuishika na uka sense kabisa hii hapa SOFTWARE?
Kama unajua kwa facts(Technically) kuwa software ipo na unaweza kudhibitisha kuwa software ipo je utamshangaa mtu ambaye haamini kuwa kuna software ndio ina run functionalities zote za kifaa husika au utaweza msaidiaje.
Ambao hawajui technically software ukoje bado wanaamini software ipo na bila kuiona wala ķuigusa kwa sababu ni virtually wanaamini ipo kwa sababu kifaa kinafanya kazi na wanaweza kugusa na kudhibitsha kuwa kifaa kinafanya kazi,lakini hawaioni software kwa macho wanaiona kwa akili.
Sisi tunaamini MUNGU yupo kwa vile tulivyoumbika Sisi sote viumbe hai na visivyo hai kwa jinsi tulivyoumbika na vile ulimwengu unavyoenenda.
Akili,utashi,maisha kwa ujumla.
Hizo unazosema hadithi ni za kudhibitisha tu kuwa MUUMBA yupo kweli kwa kuwa alishafanya mawasiliano nao(Mitume na Manabii)
Ngoja niishie hapa,,ngoja Siku uwe kipofu from nowhere ndio utajua hujua.

By the way you must be a jackass,iam sure that.

Pole Dogo.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
What is the worst about that?
Wewe mwenye dini una tofauti gani na wao wasio na dini?
Umewahi kusikia Japan wanasiasa wanapigwa risasi, wanapotea au wanapewa kesi za michongo n.k?
Next time try to use brains and not feelings when you answer,it makes you look stupid as f....k!
 
Wewe ni Tomaso unataka udhibitishiwe vipi?
Kwa macho ya nyama.
Kuwa MUNGU yupo hapo mbele yako mbele ya simu yako au unataka uambiwe hilo jiwe hapo ndio MUNGU.
Utakuwa unao wehu ndani yako.
Wewe unajinasibu huu msomi si mvivu wa kusoma ebu thibitisha kuwa MUNGU hayupo.
Toa facts zako,usilete hadithi zako za contradictions maana hizo contradictions ni wewe ndio unaji contradict akili na moyo wako havifanyi kazi pamoja(WEHU)
Haya wewe simama thibitisha kuwa MUNGU hayupo hakuna kitu kinaitwa MUNGU toa statement moja ieleweke.
Wewe mwenyewe hapo unaamini kuwa MUNGU hayupo huna facts,kitendo cha kuwa kuamini maana yake ni rahisi dogo kuwa ni kuwa na IMANI.
Kama unazo facts toa usiweke imani katika facts zako.
Unaijua computer na vifaa vingine vya kielectronics kama hiyo simu unayotumia au laptop unayotumia hapo.
Unajua muunganiko wake mpaka kifaa kinafanya kazi.
Kuna software na Hardware,hapo ulipo unaona unakamata na kuihisi hardware tu.
Lakini unajua na unaamini (uliambiwa) kuwa kuna software,je hiyo software unaiona unaweza kuishika na uka sense kabisa hii hapa SOFTWARE?
Kama unajua kwa facts(Technically) kuwa software ipo na unaweza kudhibitisha kuwa software ipo je utamshangaa mtu ambaye haamini kuwa kuna software ndio ina run functionalities zote za kifaa husika au utaweza msaidiaje.
Ambao hawajui technically software ukoje bado wanaamini software ipo na bila kuiona wala ķuigusa kwa sababu ni virtually wanaamini ipo kwa sababu kifaa kinafanya kazi na wanaweza kugusa na kudhibitsha kuwa kifaa kinafanya kazi,lakini hawaioni software kwa macho wanaiona kwa akili.
Sisi tunaamini MUNGU yupo kwa vile tulivyoumbika Sisi sote viumbe hai na visivyo hai kwa jinsi tulivyoumbika na vile ulimwengu unavyoenenda.
Akili,utashi,maisha kwa ujumla.
Hizo unazosema hadithi ni za kudhibitisha tu kuwa MUUMBA yupo kweli kwa kuwa alishafanya mawasiliano nao(Mitume na Manabii)
Ngoja niishie hapa,,ngoja Siku uwe kipofu from nowhere ndio utajua hujua.

By the way you must be a jackass,iam sure that.

Pole Dogo.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
1. Hujaweza hata kutaja hayo mambo uliyosema nimechanganya.Achilia mbali kuthibitisha kwamba nimechanganya.

2. Hujaweza kukanusha hoja zangu

3. Hujathibitisha Mungu yupo.
 
Mara nyingi binadamu wa aina hii ya dhibitisha huwa wanaishi miaka mingi ili wautangazie ulimwengu kuwa mungu yupo tena kwa kilio. Hawafi mapema ili mateso yampate ya kutolewa nje na kurudishwa ndani kama mzigo.
Hata mateso ya miaka mingi kwa watu wa aina yoyote nayo ni uthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeumba dunia inayoruhusu viumbe wake wapate mateso kwa miaka mingi.

Umeongeza point ya kuonesha ushahidi kwamba Mungu hayupo.
 
And the worst part about them ni kwamba,Wajapani hawana DINI...
Hapana ndugu, ni wafuasi wa dini mbalimbali ikiwemo ubudha, ukristo, ushinto, ubahai, uislamu 'wa kutafuta kwa hadubini' na imani nyingine za asili
 
Oooh sorry. Nilianza kutozipa uzito comment zako na kuzisoma hadi mwisho baada ya kuona unajizungusha kujibu swali rahisi na jepesi namna hii then nimerudia kuzisoma baadhi ya comments zako nimegundua ulinijibu swali langu koment mbili nyuma ya hii.

Sasa Sikia Dogo, ukishasema kitu fulan HAKIPO mjadala unakuwa UMEFUNGWA.
UWEZI KUJADILI KITU AMBACHO USHASEMA HAKIPO.
[emoji23]
 
Ila pia inasemekana kuwa Mfumo wao wa maisha unawafanya wawe na stress na depression sana. Yani mfumo wao unawalazimisha kuficha mambo mengi yanawauma ndani kwa ndani kutoka na kuishi kwendana na expectation ya jamii juu yako.
Halafu ukifuatilia wana matukio yao ya kuuana ya ajabu sana aisee.
Ndio maana hawachelewagi kujiua kwa makosa madogo madogo tuu kwa sababu ya kuona aibu jamii itamchukuliaje.
 
.

By the way you must be a "jackass"

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app

Hii ni moja ya fallacy kwenye logic inayoitwa 'argumentum of ad hominem'

Wanaokumbuka vema ilishawahi kutumiwa na mmoja kati ya hawa wawili: MR. KIGWANGALA au MR. DEWJI walipopishana kwenye issue ya uwekezaji SSC
 
He is a jackass because he is condescending. He called me dogo, I asked him to retract or prove that. He did neither and called me dogo again.

Calling a jackass a jackass is not ad hominem argument.

You don't even know what ad hominem argument is.

I was not making any argument.

I was just saying this person is a jackass.

From his behavior. Which is recorded here for all to see.

So stop throwing words like "ad hominem argument" if you don't know anything about them.

Hujathibitisha Mungu yupo bado.

Huwezi kuthibitisha.

Kwa sababu hayupo.
 
Samahani, jaalia sifahamu maana ya hiyo fallacy, naomba jambo moja tu, angalia post yangu uliyoingilia kwa kuni-quote, je niliku-quote wewe au uliyekuwa unabishana naye?
 
He is a jackass because he is condescending. He called me dogo, I asked him to retract or prove that. He did neither and called me dogo again.

Calling a jackass a jackass is not ad hominem argument.

You don't even know what ad hominem argument is.

I was not making any argument.

I was just saying this person is a jackass.

From his behavior. Which is recorded here for all to see.

So stop throwing words like "ad hominem argument" if you don't know anything about them.

Hujathibitisha Mungu yupo bado.

Huwezi kuthibitisha.

Kwa sababu hayupo.
Hapana, ngoja nikujibu tu maana nikisema ninyamaze wasomaji wanaweza wakahisi ulichokosoa ni sahihi kumbe wewe ndo mwenye ufahamu mbovu
 
Back
Top Bottom