Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Haya nimebadili badala ya Scars nimeweka jina la Masumbuko.Hiyo ni logical Abuse
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya nimebadili badala ya Scars nimeweka jina la Masumbuko.Hiyo ni logical Abuse
Jitahidi sana siku nyingine unapofanya mijadala na mtu usitumie maneno ya kudhalilisha jinsia yakeHaya nimebadili badala ya Scars nimeweka jina la Masumbuko.
Kwahiyo atheists wanavyotumia maneno mabaya kwa kumuelezea Mungu huwa ni kawaida si ndivyo?Jitahidi sana siku nyingine unapofanya mijadala na mtu usitumie maneno ya kudhalilisha jinsia yake
Hii mara nyingi naiona ikifanywa na wacha Mungu ambao wanajinasibu kuwa na high morals kuliko atheists, hata huko post za nyuma believers wengi wametoa abusive words kwa kiranga
Vitabu vyenu vya Mungu ndio vilivyoanza kuwaita wasioamini Mungu huyo WAPUMBAVUKwahiyo atheists wanavyotumia maneno mabaya kwa kumuelezea Mungu huwa ni kawaida si ndivyo?
Mkuu waislamu na wakristo umeona wakichinjana hapa Tanzania? Au atheist kuchinjwa na muislamu?Vitabu vyenu vya Mungu ndio vilivyoanza kuwaita wasioamini Mungu huyo WAPUMBAVU
Vitabu vyenu vya dini ndio vyenye mgongano unaoleta mafarakano ya kiimani
Hakuna atheist anayekubali yesu ambaye ni Mungu kwa wakristo kuwa alizaliwa na mwanamke bikra
Hayo ni maelezo mazuri kwa ukristo
Lakini hiyo ni offense kwa uislamu kuwa Mungu hawezi kuzaliwa na pia Mungu hana mtoto kwasababu hazai
Hayo ni maelezo mazuri kwa ukristo yanayomuelezea Mungu, lakini pia ni maelezo mabaya yanayomuelezea Mungu kwa mtazamo wa kiislamu
Kwa hiyo watu wa kwanza kumshusha hadhi Mungu ni waumini wenyewe na sio atheists
Na watu wa kwanza kuwatupia maneno machafu atheist ni belivers kupitia nukuu za vitabu vyao, huku tunaitwa sisi ni wapumbavu kwasababu nasikia tumejisemea moyoni kuwa hakuna Mungu
Tukija upande wa pili tunaitwa makafiri na tunastahili kuchinjwa ili kutimiza andiko la Allah
Wapi theists kaandikwa offensive na atheists na kufika ukomo wa empathy kiasi cha kutaka akatishwe maisha yake?
Hapa tanzania kuna sheria inayo wazuia hususani waislamuMkuu waislamu na wakristo umeona wakichinjana hapa Tanzania? Au atheist kuchinjwa na muislamu?
Haujaona wakristo na waislamu kuishi kwa amani na kuheshimiana imani zao?
Namungu anawabariki kuliko wew mvaa kobasi namsinda kanisanAnd the worst part about them ni kwamba,Wajapani hawana DINI...
Tutaishia kubishana tu, maana kwenye vitabu vya dini hivyo hivyo kunaelezwa kuishi nao kwa wema kwa wasiokuwa waislamu na hata kipindi cha Mtume waislamu waliishi na wasiokuwa waislamu.Hapa tanzania kuna sheria inayo wazuia hususani waislamu
Nilidhani utapinga kuwa hayo madai hayapo kwenye vitabu vya dini
Nikajua utapinga kuwa hizo habari ni za uwongo hazipo kwenye vitabu vyenu vya dini kumbe unakubali zipo ila unanikumbusha kuwa kuna upande mwingine wa mazuri pia nao upoTutaishia kubishana tu, maana kwenye vitabu vya dini hivyo hivyo kunaelezwa kuishi nao kwa wema kwa wasiokuwa waislamu na hata kipindi cha Mtume waislamu waliishi na wasiokuwa waislamu.
Hahahaaa, Yamotomoto!Duh ! Kanagawa Kumamoto , sikaoi hako
Mimi nimeeleza tu maisha halisi ya waislamu yalivyo ambayo hayana cha kubishana ila hayo ya kwenye vitabu tukiyajadili hapa tutabishana sana hapa.Nikajua utapinga kuwa hizo habari ni za uwongo hazipo kwenye vitabu vyenu vya dini kumbe unakubali zipo ila unanikumbusha kuwa kuna upande mwingine wa mazuri pia nao upo
Hata kitendo cha wewe kutumia mfano wenye elements za udhalilishaji ni muendelezo wa maisha halisi ya namna waislamu wanavyoishi na watu wengine wasio waislamuMimi nimeeleza tu maisha halisi ya waislamu yalivyo ambayo hayana cha kubishana ila hayo ya kwenye vitabu tukiyajadili hapa tutabishana sana hapa.
Kwa ile michango yako ya ki CCM utakuwa uko karibu na Wachina siyo Wajapan.Ndio maana kila nikijiangalia huwa nawaona hao kama ndugu zangu.
Tunafanana kwa mambo mengi.
The amazing part of it ni kuwa, wanaishi vizuri kuliko wale wanaosema wana dini.And the worst part about them ni kwamba,Wajapani hawana DINI...
Waislamu ni binaadamu kama binaadamu wengine kama ilivyo kwa atheists.Hata kitendo cha wewe kutumia mfano wenye elements za udhalilishaji ni muendelezo wa maisha halisi ya namna waislamu wanavyoishi na watu wengine wasio waislamu
Acha upuuzi.Unaandika as if ni mtu mwenye ubongo wa nzi.Unauliza swali la kipumbavu ili kukwepa hoja makini.Unaandika maelezo marefu uku ukijaribu kujisahaukisha swali langu.
Ninakukumbusha tena na tena. Nimekuuliza tena ikiwa unaamini kuwa Mungu yupo ama hayupo?. Nijibu tuendelee.
Sumimasen...MUNGU ANAPOSEMA ALIUMMBA MTU KWA MFANO WAKE ALIMAANISHA WAJAPANI THEN KWA MBARII WANAKUJA CAUCASIANS( NENO LANGU SI SHERIA).
MJAPAN ANAWEZA KUKUOMBA MSAHAMA KWA USUMBUFU KWA KUSIKIA MUITO WA SIMU YAKE.
NI WATU CIVILIZED SANA KULIKO RACE NYINGINE YOYOTE HALI HIYO INAFANYA PASPOT YAO KUWA YENYE NGUVU KULIKO PASPOT YA NCHI YOYOTE ILE DUNIANI.
View attachment 2183069
Hawana exposure na mambo yaliyo nje ya mipaka ya nchi yao!!ONGEZA ama taja waliyopungukiwa wajapan.
Acha upuuzi.Unaandika as if ni mtu mwenye ubongo wa nzi.Unauliza swali la kipumbavu ili kukwepa hoja makini.
#Be a great thinker.