Surrogacy imeturahishishia maisha

Hii chai kabisa uwe na mtaji wa biashara inayoanzia milioni 45 huwezi kukosa demu. Halafu wewe una milioni 100+ mfukoni unasema unakosa mwanamke?. Au mimi ndio sijakuelewa?. Au chai yako ndio haijaeleweka
 
kujichua nayo ni evil spirit imekuvaa, pambana kutafuta suluhisho la kujichua na makahaba ambalo naweza sema uko chini ya milki ya jini mahaba linalozuia kutulia na mwanamke mmoja, unatumikishwa mkuu
 
Hii chai kabisa uwe na mtaji wa biashara inayoanzia milioni 45 huwezi kukosa demu. Halafu wewe una milioni 100+ mfukoni unasema unakosa mwanamke?. Au mimi ndio sijakuelewa?. Au chai yako ndio haijaeleweka
Mtoa mada anatuvuruga ujue[emoji4]
 
Joo, ebu fanya jaribio la mwisho kabla hujafanya hayo maamuzi unayotaka kufanya..

Chukua sample space ya wadada 100 mpaka 150 kutoka unapoishi, mtandaon, nyumba za ibada na vjiji vya karibu unavyo weza kutembelea.

Chukua namba za simu anza kutongoza wa tano kwa siku, ambae hakupi response ya kutosha unapiga x unaendelea na wengine,

Anza na wale wanaokidhi vigezo vyako 100% huku ukishuka chin mdogomdogo, ukimaliza wote ao hamna aliye kukubali Basi m na ku bless endelea na mpango wako.

Sent from my itel P13 using JamiiForums mobile app
 
UNA MIAKA MINGAPI?
 
Jaribu kutoa sadaka, kawasalimie wazazi wako mara kwa mara na uwatendee wema wakutamkie maneno mazuri, jitahidi kufunga na kuamka usiku kusali.
Pia jaribu kama kuna ex zako umewazoea waulize changamoto zako ili ujue kwanini wanawake hawakutaki na uweze kujirekebisha.
 
Hyo ndio kitu gani kwamb mbegu zako zinapelekwaindia au inafanyikaje
 
Hyo ndio kitu gani kwamb mbegu zako zinapelekwaindia au inafanyikaje

Mbegu zake zinapelekwa kwa mwanamke mwingine anaembebea mimba mpaka kumdharia mtoto, ila wanakuwa hawana mahusiano
Kifupi analipa gharama ili kubebewa mimba

Walifanya hivi wasanii wa movie na mziki,
Pryanka chopra( india) na Nick Jonas(US)
 
Huo muda wa surrogate ya 100M uko India unashindwa nini kutafuta demu bongo ukamuhonga hata 20M akubebee mimba hata kama hakutaki kiasi gani, mtoto akazaliwa ukapima DNA ukamchukua?

Mbona unatumia Masters kutatua shida inayohitaji living certificate ya Form IV.
 
Mkuu,
Kwani una tatizo gani hasa.. kimo, kiba100, Sura, au ni nini?
 
Hapo suala ni kuwa huna mvuto.... sasa cha kufanya kama wewe ni muislam tafuta sheikh akufanyie dua angalau ya kuleta mvuto, kama ni mkristo pia nenda kanisani ukaombewe, na kama unaamini waganga nenda kwa sangoma akufanyie mambo uwe na mvuto hadi waanze kukufata wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…