Surrogacy imeturahishishia maisha

K haiombwi kizembe hivyo mkuu
 
Ndo maisha kikubwa tutakufa wote ila sio wote watakuwa na watoto wengi hatuna tunakaza roho mahusiano pasua kichwa

Wema sepetu Hana,ommy dimpoz ,rommy Jones, wapo kibao kipanya mwanae mkubwa ana miaka 13 yeye ana miaka 50 means kazaa akiwa na 37

John Cena ana arobaini na kitu alikataa kuzaa na Nikki Bella wakaachana
Tukaze roho tupo wengi
 
Mkuu,
Kwani una tatizo gani hasa.. kimo, kiba100, Sura, au ni nini?
Inawezekana sura ni namba chafu. Ila mbona kuna jamaa mmoja hivi alikuwa ni mwalim wetu wa gym pale Keko, (Master Gym) alikuwa na sura mbaya balaa afu mrefu mweusi tiii yupo kama mdudu na tulishazoea kumuita Lakutisha.

Lakini alikuwa anawatomb* mademu balaa, tena watoto wazuri tu hadi tunashangaa. Yani nikisema sura mbaya ni ana sura mbaya haswaa na ilikuwa akikutana na watu uchochoroni usiku walikuwa wanamkimbia na wengine wanapoteza fahamu kwa mstuko.
 
Kwamba wanapoteza fahamu jamani kweli
 
Kwamba wanapoteza fahamu jamani kweli
Bro, sio uongo nakwambia.... tena kuna muda alikuwa anatusimulia yeye mwenyewe, na mara zingine watu wanasema. Unajua Keko ilivyo na wahuni wa kila aina lakini wanamuogopa sana jamaa na kuna baadhi ya maskani za wahuni maaskari huwa wanaogopa kwenda wenyewe huwa wanaenda nae, yani huyo jamaa ni nusu mdudu nusu mtu afu ana nguvu balaa. Pata picha dumbbell ya kilo 70 anainyanyua na mkono mmoja!

Halafu sasa wapo mapacha na mwenzake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa mwanaume kama una mpunga sura siyo ishu.
Mleta mada sijui ana mgogoro gani!
 
Una milioni 100+ halafu bado unalilia mapenzi? Ina maana una sura gani
 
Utakuwa unataka walio level ya juu yako. Wapige tu kamba wambie wewe mwanakitengo
 

Acheni masikhara, mtu awe milioni 100 akose mvuto.!!
 
Msimbishie inawezekana kabisa...mambo ya kulogwa hayoo
 
John Cena jana mtoto?
 
Kila la heri ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…