figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Salaam Wakuu,
Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Suzan Kaganda tunaomba usituangushe, Usituabishe.
Tumefanya kazi kubwa kuelezea sifa zako na umahili wako hasa wa kutenda haki.
Sasa usimuangishe Rais Samia. Simamia kile unachokiamini.
Mimi najua baadhi ya Malengo yako.
1). Kubadilisha Police Force kuwa Police Services.
2). Kubadili Mitaala ya Chuo cha Polisi kutoka ile ya kikoloni na kuwa ya Kitanzania kuendana na Sayansi na Teknolojia.
3). Mtu kudhaminiwa muda wowote bila kujali siku. Muhimu mdhaminiwa akamilishe Vigezo.
4). Kuamusha hali ya Polisi kutenda haki na kukomesha Rushwa na kubambikizia kesi.
5). Kuhakikisha kila Askari ananifaika na SACCOS ya Polisi.
6). Kuhakikisha Polisi hawafukuzwi bila kusikilizwa. Kuna sehemu nilisikia unasema kiwepo chombo(Mahakama ya Kipolisi ya Kusikiliza tuhuma zinazohusisha pilisi zenye kutenda haki.
Ombi langu, Naomba Mungu akusimamie nawe usimamie Katiba.
Mwanamke wa Kwanza IGP. Viva Tanzania, Viva Samia Suluhu Hassan.
Kwa kuwa Polisi wa Chini wanaakukubali, Hata Mungu atakusimamia.
Mia.