Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na kupandishwa vyeo viwili kwa muda huohuo inawezekana?Ndugu, hata SACP anaweza kupandishwa tu akawa IGP. Kwa KATIBA yetu, ni mapenzi tu ya mteuaji. Wenzetu Kenya wako vizuri kwenye kumpata IGP, wanafanyiwa interview wale wenye sifa za kushika hiyo nafasi. Hapa kwetu ni mapenzi ya Rais.
Point.Malengo yaliyowekwa hapa hayajatimia. Polisi inahitaji broad reforms na devolution pia.
Ningependa mabadiliko yangeanza kwa kuanzisha local police, watakaokuwa wanalipwa na mkurugenzi wa wilaya, au halmashauri. Hawa wawe na usimamizi wa eneo husika. Na wanaweza kutawanywa mpaka kwenye mitaa, vijiji, nk. Watasaidia kuzuia matatizo madogo madogo kabla hayajakua na kuvuruga amani.
Hawa local police watakapokuwa na nguvu, jeshi la polisi la kule juu litapunguzwa ukubwa na kuishia kuangalia mambo makubwa na ya kimkakati zaidi. Namna walivyo sasa inapunguza sana ufanisi, na kuacha pengo huku chini ambako ndiko matatizo huanzia.
Wewe acha mawazo mufilisi . Mmekosa nanna ya kumchafua SSH mnaingiza mambo ya kijinga kabisa! Afu usikute unajiita msomi ! Aibu.Kwa upande wa jinsia anavigezo, lakini je, anaasili ya kule kisiwani?
Subili niwe Mimi IGP nasema hivi subili Nitaenda kukomesha haya mambo yakuwanyenyekea wanasiasa,haiwezekani tena haiwezekani muhimu tu ni kutafuta katiba mpya ambayo ambayo pia itampa Kinga IGP ili aweze kufanya maamuzi yake bila kuingiliawa na wanasaiasa uchwara
Tuna tatizo kubwa la elimu ya urais, hili wazo ni zuri lakini kwa mapungufu tuliyonayo linaweza kuzaa vyanzo vya rushwa.Malengo yaliyowekwa hapa hayajatimia. Polisi inahitaji broad reforms na devolution pia.
Ningependa mabadiliko yangeanza kwa kuanzisha local police, watakaokuwa wanalipwa na mkurugenzi wa wilaya, au halmashauri. Hawa wawe na usimamizi wa eneo husika. Na wanaweza kutawanywa mpaka kwenye mitaa, vijiji, nk. Watasaidia kuzuia matatizo madogo madogo kabla hayajakua na kuvuruga amani.
Hawa local police watakapokuwa na nguvu, jeshi la polisi la kule juu litapunguzwa ukubwa na kuishia kuangalia mambo makubwa na ya kimkakati zaidi. Namna walivyo sasa inapunguza sana ufanisi, na kuacha pengo huku chini ambako ndiko matatizo huanzia.
IGP ateuliwe kutoka JWTZ hapo wataleta utamaduni mpya wa kutenda kazi awe mwanamke au mwanaume. Vinginevyo kwa IGP wa humohumo hatakuwa na jipya kimageuzi
Malengo yaliyowekwa hapa hayajatimia. Polisi inahitaji broad reforms na devolution pia.
Ningependa mabadiliko yangeanza kwa kuanzisha local police, watakaokuwa wanalipwa na mkurugenzi wa wilaya, au halmashauri. Hawa wawe na usimamizi wa eneo husika. Na wanaweza kutawanywa mpaka kwenye mitaa, vijiji, nk. Watasaidia kuzuia matatizo madogo madogo kabla hayajakua na kuvuruga amani.
Hawa local police watakapokuwa na nguvu, jeshi la polisi la kule juu litapunguzwa ukubwa na kuishia kuangalia mambo makubwa na ya kimkakati zaidi. Namna walivyo sasa inapunguza sana ufanisi, na kuacha pengo huku chini ambako ndiko matatizo huanzia.
Mark the date, I will come back to you when time is ripe to tell you that "Think beyond the box"Think beyond the box dude! The guy is so smart. Mie nimemuelewa
Sana Tena sanaKingereza kigumu sana
Mzanzibari mwenzanguMtarajiwa si Af Awadhi?
Subiri ateuliwe kwanza vinginevyo ni ramli chonganishiSalaam Wakuu,
Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Suzan Kaganda tunaomba usituangushe, Usituabishe.
Tumefanya kazi kubwa kuelezea sifa zako na umahili wako hasa wa kutenda haki.
Sasa usimuangishe Rais Samia. Simamia kile unachokiamini.
Mimi najua baadhi ya Malengo yako.
1). Kubadilisha Police Force kuwa Police Services.
2). Kubadili Mitaala ya Chuo cha Polisi kutoka ile ya kikoloni na kuwa ya Kitanzania kuendana na Sayansi na Teknolojia.
3). Mtu kudhaminiwa muda wowote bila kujali siku. Muhimu mdhaminiwa akamilishe Vigezo.
4). Kuamusha hali ya Polisi kutenda haki na kukomesha Rushwa na kubambikizia kesi.
5). Kuhakikisha kila Askari ananifaika na SACCOS ya Polisi.
6). Kuhakikisha Polisi hawafukuzwi bila kusikilizwa. Kuna sehemu nilisikia unasema kiwepo chombo(Mahakama ya Kipolisi ya Kusikiliza tuhuma zinazohusisha pilisi zenye kutenda haki.
Ombi langu, Naomba Mungu akusimamie nawe usimamie Katiba.
Mwanamke wa Kwanza IGP. Viva Tanzania, Viva Samia Suluhu Hassan.
Kwa kuwa Polisi wa Chini wanaakukubali, Hata Mungu atakusimamia.
Mia.
View attachment 2108338
View attachment 2108355
..chonganishi.Ramli..
Jeshi la Polisi lina majukumu mengi na mazito na kwa hakika kwa mwanamke kuongoza bado sana.Salaam Wakuu,
Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Suzan Kaganda tunaomba usituangushe, Usituabishe.
Tumefanya kazi kubwa kuelezea sifa zako na umahili wako hasa wa kutenda haki.
Sasa usimuangishe Rais Samia. Simamia kile unachokiamini.
Mimi najua baadhi ya Malengo yako.
1). Kubadilisha Police Force kuwa Police Services.
2). Kubadili Mitaala ya Chuo cha Polisi kutoka ile ya kikoloni na kuwa ya Kitanzania kuendana na Sayansi na Teknolojia.
3). Mtu kudhaminiwa muda wowote bila kujali siku. Muhimu mdhaminiwa akamilishe Vigezo.
4). Kuamusha hali ya Polisi kutenda haki na kukomesha Rushwa na kubambikizia kesi.
5). Kuhakikisha kila Askari ananifaika na SACCOS ya Polisi.
6). Kuhakikisha Polisi hawafukuzwi bila kusikilizwa. Kuna sehemu nilisikia unasema kiwepo chombo(Mahakama ya Kipolisi ya Kusikiliza tuhuma zinazohusisha pilisi zenye kutenda haki.
Ombi langu, Naomba Mungu akusimamie nawe usimamie Katiba.
Mwanamke wa Kwanza IGP. Viva Tanzania, Viva Samia Suluhu Hassan.
Kwa kuwa Polisi wa Chini wanaakukubali, Hata Mungu atakusimamia.
Mia.
View attachment 2108338
View attachment 2108355
Hahahaa ndoto za mchanaSalaam Wakuu,