kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Hivi huwa unapata wapi nguvu ya kutamka neno haki, ibilisi wewe? Haki ya Ben Saanane kujadili PhD ya mwendazake hukuichezea na kuipoteza?Sina uhakika kama mfumo utamkubali. Chaguzi zetu ndio chanzo kweli apinge mfumo kutaka mtu wao ndio ashinde na kutumwa apeleke mapira na manyuki mahali raia wamegoma kura zao kuchezewa agome?? Sina uhakika kama mfumo unamuhitaji labda kama kuna jambo wamelipanga mbele nje ya haya tuna yajuwa. Ikiwa wawakilishi wawananchi wangepita kwa haki bila kutumia nguvu nyingi kwenye uchaguzi kusingekuwa tunaona haya yanatokea. Ila tabu inakuja pale hawa askari wanajuwa vile viongoz walio kwenye mfumo walivyo patikana na ushiriki wao kupoteza haki then kwanini wasibambikie watu kesi wakati kwenye matokea wanabambika matokeo ? Wewe mbunge wa cc vs bila nguvu yao usingekuwa mbunge? Mikoa mingi sana ccm wasingetoboa kama kura zingepigwa kwa haki na uhuru... Huwo niukweli mchungu na kama mnabisha badili mfumo wa katiba unda tume huru pia majaji wasiteuliwe moja kwa moja na Rais uwone kile kitatokea.
Hii nchi sasa mhhFeminist Republic
Yes! Mfumo wetu ni tatizo, mfano huyo IGP au wa JW wote wanamnyenyekea mtu mmoja kwamba, anaweza kuwafanya lolote so hata huyu wanayesema anakuja kuwa sijui igp nothing newly happen.Jeshi la Polisi ndiyo jeshi pekee linalotumiwa vibaya zaidi na wanasiasa. Amini, usiamini, hata kama mmoja wa malaika wa Mungu atashuka kuja kuwa IGP, bado Jeshi la Polisi litaendelea kuwa tatizo kwa Watanzania!
Kwa kuandika vitu kama hivi you are ruining your credibility on JF! Unaandika your wishes as if are already put in reality! To that end unamharibia hata kama huyo Samia "uliyeongea" naye ana wazo la kumteua.
Lengo ni kumuharibia!Kwa kuandika vitu kama hivi you are ruining your credibility on JF! Unaandika your wishes as if are already put in reality! To that end unamharibia hata kama huyo Samia "uliyeongea" naye ana wazo la kumteua.
Wewe ndo ushamwalibia SasaSalaam Wakuu,
Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Suzan Kaganda tunaomba usituangushe, Usituabishe.
Tumefanya kazi kubwa kuelezea sifa zako na umahili wako hasa wa kutenda haki.
Sasa usimuangishe Rais Samia. Simamia kile unachokiamini.
Mimi najua baadhi ya Malengo yako.
1). Kubadilisha Police Force kuwa Police Services.
2). Kubadili Mitaala ya Chuo cha Polisi kutoka ile ya kikoloni na kuwa ya Kitanzania kuendana na Sayansi na Teknolojia.
3). Mtu kudhaminiwa muda wowote bila kujali siku. Muhimu mdhaminiwa akamilishe Vigezo.
4). Kuamusha hali ya Polisi kutenda haki na kukomesha Rushwa na kubambikizia kesi.
5). Kuhakikisha kila Askari ananifaika na SACCOS ya Polisi.
6). Kuhakikisha Polisi hawafukuzwi bila kusikilizwa. Kuna sehemu nilisikia unasema kiwepo chombo(Mahakama ya Kipolisi ya Kusikiliza tuhuma zinazohusisha pilisi zenye kutenda haki.
Ombi langu, Naomba Mungu akusimamie nawe usimamie Katiba.
Mwanamke wa Kwanza IGP. Viva Tanzania, Viva Samia Suluhu Hassan.
Kwa kuwa Polisi wa Chini wanaakukubali, Hata Mungu atakusimamia.
Mia.
View attachment 2108338
View attachment 2108355
Subili niwe Mimi IGP nasema hivi subili Nitaenda kukomesha haya mambo yakuwanyenyekea wanasiasa,haiwezekani tena haiwezekani muhimu tu ni kutafuta katiba mpya ambayo ambayo pia itampa Kinga IGP ili aweze kufanya maamuzi yake bila kuingiliawa na wanasaiasa uchwaraJeshi la Polisi ndiyo jeshi pekee linalotumiwa vibaya zaidi na wanasiasa. Amini, usiamini, hata kama mmoja wa malaika wa Mungu atashuka kuja kuwa IGP, bado Jeshi la Polisi litaendelea kuwa tatizo kwa Watanzania!
Mtarajiwa si Af Awadhi?Wewe ndo ushamwalibia Sasa
Hawezi kuwa Tena
Ndugu, hata SACP anaweza kupandishwa tu akawa IGP. Kwa KATIBA yetu, ni mapenzi tu ya mteuaji. Wenzetu Kenya wako vizuri kwenye kumpata IGP, wanafanyiwa interview wale wenye sifa za kushika hiyo nafasi. Hapa kwetu ni mapenzi ya Rais.Kwani hii nchi haina kamishina
Wa polisi, au hata naibu kamishina wa polisi warukwe wote mpaka kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi awe IGP,
Nachojua IGP Hapa TZ kwa renki lazima awe kamishina wa polisi ila sio kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi.
IGP ateuliwe kutoka JWTZ hapo wataleta utamaduni mpya wa kutenda kazi awe mwanamke au mwanaume. Vinginevyo kwa IGP wa humohumo hatakuwa na jipya kimageuziJeshi la Polisi ndiyo jeshi pekee linalotumiwa vibaya zaidi na wanasiasa. Amini, usiamini, hata kama mmoja wa malaika wa Mungu atashuka kuja kuwa IGP, bado Jeshi la Polisi litaendelea kuwa tatizo kwa Watanzania!
IGp wa sasa ni mtu muhimu kwa CCm kuhakikisha ushindi wa chama 2025 hawawez kumuondoa ss hvSalaam Wakuu,
Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Suzan Kaganda tunaomba usituangushe, Usituabishe.
Tumefanya kazi kubwa kuelezea sifa zako na umahili wako hasa wa kutenda haki.
Sasa usimuangishe Rais Samia. Simamia kile unachokiamini.
Mimi najua baadhi ya Malengo yako.
1). Kubadilisha Police Force kuwa Police Services.
2). Kubadili Mitaala ya Chuo cha Polisi kutoka ile ya kikoloni na kuwa ya Kitanzania kuendana na Sayansi na Teknolojia.
3). Mtu kudhaminiwa muda wowote bila kujali siku. Muhimu mdhaminiwa akamilishe Vigezo.
4). Kuamusha hali ya Polisi kutenda haki na kukomesha Rushwa na kubambikizia kesi.
5). Kuhakikisha kila Askari ananifaika na SACCOS ya Polisi.
6). Kuhakikisha Polisi hawafukuzwi bila kusikilizwa. Kuna sehemu nilisikia unasema kiwepo chombo(Mahakama ya Kipolisi ya Kusikiliza tuhuma zinazohusisha pilisi zenye kutenda haki.
Ombi langu, Naomba Mungu akusimamie nawe usimamie Katiba.
Mwanamke wa Kwanza IGP. Viva Tanzania, Viva Samia Suluhu Hassan.
Kwa kuwa Polisi wa Chini wanaakukubali, Hata Mungu atakusimamia.
Mia.
View attachment 2108338
View attachment 2108355
Salaam Wakuu,