Suzan Kaganda unaenda kuwa IGP, usije kutugeuka Wananchi. Umsaidie Rais Samia kuleta mabadiliko chanya

Chaliiii ndembe ndembe bila bila 😆😆😆😆
 
Chalii kifo cha mende[emoji23]
 
Kama Kawa SSH hajawahi kosea
Atakuwa si mwanadamu huyu kama hajawahi kukosea. Amewahi kukosea kwenye kauli hizi "kula kwa urefu wa kamba, kila kitu kitapanda bei n.k." JPM kwenye kauli hz "niliwaahidi tetemeko huko bukoba, rafu za uchaguzi 2020 n.k"
 
Hazikutoshi,kula kwa urefu wa kamba yako kakosea nini hapo? Kula kwa mipaka yako na unachostahili.
 
Ningumu sana mwanamke kumpa position kama ile mwanamke mwenzake........
 
Umechinjiwa baharini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…