Vf-successfully
JF-Expert Member
- Oct 25, 2017
- 253
- 166
Nimeche few minutes ago gari zao nyingi ni old model from 2004 na 2006 hawana latest model harafu yako bei na milage zake ni 100k up je naweza nikawa shusha kutoka dollar 3000 mpaka 1500 is it possible?Ndo maana nikakuambia use unapitia website ya beforward (www.beforward.jp) wanakuaga na offer kila wakati. Jichange zikitokea nitakustua
Take ur time. Huwez kupata Gari ya mahitaji yako tu (ready made) kwa dakika chache ulizotembelea. Mm huwinda daily nikiipata naizuia na asb huamkia benki kufanya malipo. Kisha nasubiria Gari. Uzuri wa Beforward Wana account (ya USD) CRDB/NBC so ukishalipia unatuma deposit slip fasta Gari inakua reservedNimeche few minutes ago gari zao nyingi ni old model from 2004 na 2006 hawana latest model harafu yako bei na milage zake ni 100k up je naweza nikawa shusha kutoka dollar 3000 mpaka 1500 is it possible?
50% OFF? Wewe ndo uwashushe? Wanakuomba uchumba? Kwa akili hizi nikushauri tu utulie wakat wako wa kuagiza Gari Japan bado endelea kulenga used za madalali Hapo bongoJe naweza kuwashusha beforward kutoka dollar 3000 mpaka 1500 is it possible?
Aaah imenivunja mbavu maybe is black Friday u never know sema Niki serious nitawa check bro hata wakitoa 5% haiko mbaya sema kwenye IST wako vibaya sema nitacheck model nyingine za Toyota50% OFF? Wewe ndo uwashushe? Wanakuomba uchumba? Kwa akili hizi nikushauri tu utulie wakat wako wa kuagiza Gari Japan bado endelea kulenga used za madalali Hapo bongo
Asante bro kwa ushauri wakutoshaHa ha ha!
Poa poa.Asante bro kwa ushauri wakutosha
Siwezi bro maana wa tz wajuaji sanaPoa poa.
NB: Usithubutu kunua gari kwa madalali Bongo UTAJUTA.
Ndo umeandika nn?
Mie mwenyewe nashangaa huo ugumu wa honda ni katika gari zipi? Maana zile honda common zote zilifeli sokoni!Mbona watu wanayasifia magari ya honda kubwa ni magumu
Honda nyanya tuMie mwenyewe nashangaa huo ugumu wa honda ni katika gari zipi? Maana zile honda common zote zilifeli sokoni!
RVR, CR-V na Accord! Zote kibongo bongo zinachemkaga labda ulaya huko kwenye baridi!
Katika company inayo ongoza kwakutengeneza magari magumu Japan ya kwanza ni Honda mengine ni nyanya sema wa tz niwajuaji sana ndio wanaoharibu magariHonda nyanya tu
Hakuna Gari ya Honda (labda Pikipiki) iliyofanya vizuri nchini.Mie mwenyewe nashangaa huo ugumu wa honda ni katika gari zipi? Maana zile honda common zote zilifeli sokoni!
RVR, CR-V, Fit na Accord! Zote kibongo bongo zinachemkaga labda ulaya huko kwenye baridi! Sahizi naona kuna ile honda ya hybrid ndio imeanza kuingia kwa kasi sokoni sijui nayo itatoboa!
Ndio nijuavyo . Anyway sijui. Ila hizi gari ni roho ya paka. Unapiga mzigo mchele tani 1. Ndio inatuliaMkuu XL-7 yenye izo cc ni Diesel labda. Maana. petrol ni cc 2500 kwenda juu, V6.
Mbona iko poa sana ina maana kama unataka new model IST kwa 12mil naweza kuipata bro
Tatizo Bei yake 7,000