Hivi ile generation yake baada ya hiyo iliyowekwa kwenye picha ina mapungufu yoyote ?View attachment 1925706View attachment 1925707
Thats right. Hii gari ni 2730ccTani 1 = 1000kg? Gunia 10 x @ 100 kgs ?
Aisee so kwa sisi wabeba mizigo Bora hii Gari kuliko Van eg. Noah, Alphard etcThats right. Hii gari ni 2730cc
Suzuki Grand Escudo huwezi kulinganisha na ujinga SubiraKiboko ya Mabishoo (Subaru)
Zipo mkuu ambayo cc 1990 2.0 v6Mkuu XL-7 yenye izo cc ni Diesel labda. Maana. petrol ni cc 2500 kwenda juu, V6.
MmhTani 1 = 1000kg? Gunia 10 x @ 100 kgs ?
Hata ignition coil ya Altezza 3SGE ni balaa kuipataNitajie gari tofauti na Toyota ambayo spea zake ni bei rahisi.
Unajua bei ya ignition coil pack mbili za suzuki swift m13a?
40m najenga gesti kwetu Ushetu20+ milion bado ushuru 20+mill jumla 40m hapo
Kawakomesha. Sasa ajiandae kuibiwa spea. Hatujui wabongoDangote amekwepa kuibiwa mafuta.
Gari si kwa ajili ya WanyongeGari zina wenyewe
Kwa anayetaka gari ya kazi (light) hii ndio yenyeweKodi bandarini Ipoje?
We nae ni chenga tuu...hamna kitu. Sasa Subaru unailinganisha na escudo kwenye aspect gani yani? Hakuna kitu ambacho escudo imezidi subaru zaidi ya seats tu kua nyingi.Suzuki Grand Escudo huwezi kulinganisha na ujinga Subira
[emoji23][emoji23]unaijua ist new model kweli?wewe unataja bei ya ist ya 2006. New model ya ist inachuana bei na akina qashqai uko hadi 18m..Labda new model ya toroli.
Si unauona ulivyo na ujuaji feki?Hayo ya IST 2006 nimeandika wapi.?Hujaona hapo nimemchora aliposema anaweza akapata ist new model kwa 12m.?[emoji23][emoji23]unaijua ist new model kweli?wewe unataja bei ya ist ya 2006. New model ya ist inachuana bei na akina qashqai uko hadi 18m..