Swahiba92 live interview on muosha rungu live show!

Mkuu.....
Minimeangalia avatar yake, na nilicho kiona pale kifuani upande wake wa kushoto mmhhhhh........ kitu kimeanguka kama kandambili kifuani, yaani kama ni jua ndio linazama mida ya kumi na mbili jioni......[emoji2] [emoji2]
Samahani kama nitamkwaza yeyote, lakini hicho ndicho macho yangu yameona
Wala hujanikwaza ila ni kwa jinsi gani unaonesha una IQ ndogo japo unataka kuitumia kuwaza mambo makubwa
 
Mkuu.....
Minimeangalia avatar yake, na nilicho kiona pale kifuani upande wake wa kushoto mmhhhhh........ kitu kimeanguka kama kandambili kifuani, yaani kama ni jua ndio linazama mida ya kumi na mbili jioni......[emoji2] [emoji2]
Samahani kama nitamkwaza yeyote, lakini hicho ndicho macho yangu yameona
Mimi avatar yake pia imenitatiza pia.... because nimejaribu kutembelea profile yake ameweka occupation ni "Mwinjilisti" nikajisemea moyoni kama hawa ndio wachungaji wa kondoo wa Bwana mbona wote tunaenda kuzimu sasa.... mkuu
 
Chura ipo?

Chura ipo?
372ac50eb4979afb71c93528038df789.jpg
 
Mimi avatar yake pia imenitatiza pia.... because nimejaribu kutembelea profile yake ameweka occupation ni "Mwinjilisti" nikajisemea moyoni kama hawa ndio wachungaji wa kondoo wa Bwana mbona wote tunaenda kuzimu sasa.... mkuu
Injili ni uweza wa MUNGU uletao wokovu, kwa myahudi kwanza na kwa myunani pia, hivyo yeyote anayebeba Ujumbe huo na kuwaekeza wengine ni Mwinjilist tayari,siyo Lazima apande kwenye majukwaa na kupiga makelele
 
Una mtoto au watoto

DJ sepetu
Sina mtoto, lakini natarajia MUNGU akijaalia kwa sasa Niko tayari kabisa kumlea na aje afurahie maisha ya uwepo wangu, sikupenda kuzaa mapema kuepuka mwanangu kuja kuishi maisha ya kuunga unga, tatizo siyo kuwa mzazi, swali LA msingi ni Je! Mtoto atafurahia uwepo wako na kujivunia ana mzazi???
 
Nina shaka Na elimu wewe sio darasa la 7 leaver

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom