swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,628
Wala hujanikwaza ila ni kwa jinsi gani unaonesha una IQ ndogo japo unataka kuitumia kuwaza mambo makubwaMkuu.....
Minimeangalia avatar yake, na nilicho kiona pale kifuani upande wake wa kushoto mmhhhhh........ kitu kimeanguka kama kandambili kifuani, yaani kama ni jua ndio linazama mida ya kumi na mbili jioni......[emoji2] [emoji2]
Samahani kama nitamkwaza yeyote, lakini hicho ndicho macho yangu yameona