kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Kama hujaoa, unaweza kuona suala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni uzinzi, lakini baada ya kuoa utagundua kuwa kuoa mke zaidi ya mmoja kuna faida zake. Mke mmoja anaweza kutesa sana, kuumiza, na hata kusababisha huzuni. Kwa mawazo yangu, suala la kuoa mke zaidi ya mmoja ni mila ya kizungu, si mpango wa Mungu.
Kwa hiyo, suala hili linapaswa kuangaliwa kwa umakini katika Ukristo. Tukilifumbia macho, tunaweza kuishia kuumizana bure kwa hasira za kunyimwa tendo la ndoa. Huku ukiwa unahitaji, mwenzako ambaye umemwekeza mali na unamgharamia, anaanza kukupangia lini atakupa haki yako. Ukiamua kutoka nje ya ndoa, inakuwa dhambi. Jamani, mbinguni kunaweza kujaa vilema kutokana na changamoto hizi!