Swala la kuoa mke mmoja sio mpango wa Mungu

Wewe jibu vyovyote vile. Who cares?
Tunawabania waume zetu kwasababu tumeshawachoka kama ambavyo wao wametuchoka. Kula mchicha miaka na miaka we kuweza?
Achana na Mumeo nenda uko ambako utakula utakacho....
 
Mleta mada Tz inaruhusu kuoa hata wake 20+
Oa oa kikubwa uwe na nguvu za kiume na pesa tu.
 
Mimi nadhani mizizi wa tatizo ni kunyimwa mapenzi..Ambalo ndio tatizo haswa ungetafuta solution yake.Either chanzo kiko upande WA mwanaume au mwanamke.Unaweza kuta kuna changamoto ndio zinafanya mwanamke asiwe na hamu ya kukupa utamu wake unatakiwa uzijue kiundani. Kingine watu jinsia zote hawamtafuti Mungu..kila mtu anatafuta pesa Tu.
Kama mngeishi kidini mwanamama anatakiwa kujua Hana amri na mwili wake mbele ya mmewe. Mwanaume anatakiwa autumie mwili WA mwanamke mpaka atimize hamu yake yote....
Mwisho kutimiza haja ya mwili hakuhitaji wanawake wawili.Mmoja Tu anatosha.
 
wake wengi vs mke mmoja
Kwa imani ya Kikristo ndoa ni kati ya mke mmoja na mume mmoja ndio aina ya ndoa takatifu ya kikristo inayoweza kubarikiwa madhabahuni.
Mwanzo katika uumbaji Mungu alimuumba mume mmoja na mke mmoja (Adamu na mkewe Hawa ndoa alifungisha mwwnyee katika bustanj ya Edeni.
Kweli kuna kipindi baadaye hapo katikakati Mungu aliruhusu kwa muda ndoa za mume mmoja na mke zaidi ya mmoja .ALiruhusu kwa muda tu kwa mapenzi yake kwa sababu zake.
Ila mwisho akarejesha utaratibu wa awali wa ndoa ya mume mmoja na mke mmoja.Yesu na mitume kupitia kuongozwa na Roho ya Mungu /mtakatifubaada baada ya Yesu kupaa mbinguni pia wamesisitiza ndoa ya mke na mume mmoja kwa imani ya kikristo.Ndio tunayotumia muongozo huo mpaka sasa biblia hiyo hiyo.Hakuna update mpya ya ndoa aina nyingine zaidi ya hii ya mume na mke mmoja.
 

Attachments

  • Screenshot_20241017-164205.jpg
    409.2 KB · Views: 7
  • Screenshot_20241017-163827.jpg
    433.2 KB · Views: 8
  • Screenshot_20241017-163318.jpg
    218.6 KB · Views: 5
  • Screenshot_20241017-165353.jpg
    215.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20241017-165551.jpg
    282.9 KB · Views: 6
Wewe jibu vyovyote vile. Who cares?
Tunawabania waume zetu kwasababu tumeshawachoka kama ambavyo wao wametuchoka. Kula mchicha miaka na miaka we k
kwa akili yako unaamini mwanamke anaweza kuwa na wanaume zaidi yammoja fanya kwanza ivo tuone
mwisho wake uliye naye atakukataa na uyo naye atakukataa tunaanza kuja kununua kwa buku jero
 
kwa akili yako unaamini mwanamke anaweza kuwa na wanaume zaidi yammoja fanya kwanza ivo tuone
mwisho wake uliye naye atakukataa na uyo naye atakukataa tunaanza kuja kununua kwa buku jero
Hadi nikubaliane na hiyo buku jero yako. Siki hizi kibao kimegeuka wanaume ndo wananunuliwa
 
Ni muoga Wa ndoa kama mimi!unashangaa huyo wengine toto nne na bado ndoa haijafungwa kabisa !
Wa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…