Swala la kuoa mke mmoja sio mpango wa Mungu

Kufa hutakufa ila cha moto utakiona
uzur mkewangu sio kama wanawake wengine malaya malaya ndio mana nimemjengea porini huko anafuga zake ngombe na kuku na kujilimia bustan akitaka kukutana na watu inampasa asafir klmet angalau 20 kwahy sina pulesha ni wangu peke yangu
 
Hadi nikubaliane na hiyo buku jero yako. Siki hizi kibao kimegeuka wanaume ndo wananunuliwa
wanaume wawapi sema mashoga sio wanaume wale 😛 🙄 😛 pili ninawezaje kupata namba zako mimi nitakuwa mume wako wa pili
 
Haya ni matokeo ya kutopata mwenza sahihi.
 
Na mke mmoja kuwa na waume wengi ?
 
wanaume wawapi sema mashoga sio wanaume wale 😛 🙄 😛 pili ninawezaje kupata namba zako mimi nitakuwa mume wako wa pili
Tatizo ninae mtaka yeye hanitani. Mimi sikutaki wewe. Hii dunia haina usawa
 
Kuoa mke mmoja ni mpango wa kizungu wa kikoloni
 
Tatizo ninae mtaka yeye hanitani. Mimi sikutaki wewe. Hii dunia haina usawa
kwasasa mambo ya kutakana tumeachia njiwa tu kikubwa mimi na wewe tukutane ndani ya nyumba tupimane uwezo nikikuweza nakuwa wa kwako ukiniweza unatafuta mwingine
 
Mume 1 anatosha, changamoto ya wanandoa wengi ni kuchukuliana poa mkiishi pamoja.

Unadhani wanandoa wangeishi kama mwanzo wa ndoa mambo yakuchokana yangetokea?
Umeshawahi kuolewa hadi useme hivyo?
 
Haindi kwa kila panya. Nachagua ninae mtaka
Uzuri wa MAISHA, unamtaka wewe wengine wanamuona pimbi. Na unaeomuona wewe pimbi wenzio wanamtaka huu mchezo kama Biashara kariakoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…