Swala la kuoa mke mmoja sio mpango wa Mungu

Uzuri wa MAISHA, unamtaka wewe wengine wanamuona pimbi. Na unaeomuona wewe pimbi wenzio wanamtaka huu mchezo kama Biashara kariakoo.
Ndo hivyo inakuwa. Hakuna biashara hapa ni mapenzi na mikasi
 
Biashara inafanyika pale unaporidhika na bidhaa
Without exchange there is no thomething happen.
Kuna mifano mingi ya kibiashara mapenzi yako kibiashara zaidi.
Mwanaume anachopata ktk mapenzi ni Ngono + Refresh mind.
Mwanamke anachopata ktk mapenzi ni Ngono + refresh Mind na Financially( Kiuchumi/ Kuhudumiwa)
 
Nakubaliana na wewe lakini ninachokwambia ni kwamba mteja lazima aridhike na bidhaa ili biashara isiwe na malalamiko.
 
Siku zote mfugaji mwenye majike hutoka, akatafuta dume, akalileta zizini pake ili likae na majike yake. Haijapata kutokea bado, mfugaji mwenye madume aondoke, naye akatafute jike, alilete likae na madume yake. (Musa 2: 3-5)
Niwe nao wawili au watatu
 
Siku zote mfugaji mwenye majike hutoka, akatafuta dume, akalileta zizini pake ili likae na majike yake. Haijapata kutokea bado, mfugaji mwenye madume aondoke, naye akatafute jike, alilete likae na madume yake. (Musa 2: 3-5)
Musa ndo anatutungia sheria, who is he?
 
Ndoa balaa
Oa kandamiza nje uko kwani imekatazwa wapi? Wewe oa tafuta wa kumkanda nje fresh, kuna wamama nilishuhudia wanazungumza hilo kwamba wao pia wanajua Mwanaume hakuumbwa kua na Mwanamke mmoja kwa hio wanaelewa Mwanaume anapoenda kuwakandamiza wanawake wengine nje huko na wengine wanawajua kabisa wanawake wenzao wanaokandamizwa na waume zao na wapo peace kabisa kikubwa Mwanaume ana provide home haisumbui, nimewasikia kwa masikio yangu mwenyewe
 
Basi wote kwa pande Zote tujitahidi kuheshimiana katika mahusiano hakuna anayestahili zaidi ya mwingine kwa kuwa twategemeana kwa mambo mengi
 

Ina haja gani ya kuoa mke moja . Halafu ukandamize nje.. why usioe wake wengi.

Ama husioe kabisa.. uwe na uhuru wa kukandamiza nje bila hofu ya kufumaniwa
 
Kumbuka Ata viungo vya mwili wako viko pair kwanini usiongeze mke mwingine,
1.siku mke wako akiwa P unafanyaje?
2.siku akikunyima
3.siku akisafiri
4.siku akiwa na mimba Ile miez ya mwishoni
5.siku akiumwa

 
Ni mpango wa shetani kwa kuwa mnawapa mfadhaiko kwa wanawake wanaosalia. Wanawake ni wengi zaidi. Cha ajabu zaidi ni dhehebu moja linalosizitiza kuwa ili kufanya kazi ya Mungu usioe au kuolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…