Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Alipenda sana Chama cha TANU na baadae ccm kuliko taifa.Katiba mbovu inayotusumbua hivi SS na huko kipindi cha nyumba katunga yy .
He was purely dictator , even him adimit it.
Nyerere ametusaliti sana
Angalau Nyerere alikuwa na Akili lkn Mugabe......mpenda madaraka hata kama yanaumiza Wananchi.MtoeNyerere,Mugabe n Kenyata hapo...z!
HahahaaNyerere alikua sahihi kwa jibu alilotoa , hata kama alituingiza kwenye mfumo wa ujamaa ! Ila watu wote waliopita kijiti walichoachiwa ndo wametufelisha mpaka hapa ! Hebu angalia kama CCM now yaan haina mvuto hata kidogo , raia tunapangiwa hata wakishindwa uchaguzi wanalazimisha !
Ni wezi , ni wazandiki na wanajipendekeza
Na chama kimekuwa cha kisanii sanaKanyerere nako kalikua kasanii sometime ndio matokeo haya tunayashahudia kwenye ccm yake
Sisi tumemlaumu nyerere wewe laumu hao wengine waliofataMbona dingi alitoa jibu la kitaalum kabisa.
Ni upungufu wa akili mtu kumlaumu Nyerere miaka 40 toka astaafu na miaka 25 toka afariki Dunia.
Kwamba hatima ya maendeleo na maono ya nchi hii yalikua kwa Nyerere tu, sio?
Lile jibu lilikuwa la falsafa kubwa sana, akili ndogo hawawezi kulielewa.Mwalimu hayati Nyerere mola mlezi amtunze anapo stahili.
Kama hujasoma mambo ya falsafa za Enlightenment ukajua mambo ya kina John Stuart Mill kama alivyosoma Nyerere Edinburgh unaweza kupata ugumu kuelewa lile jibu.Sisi tumemlaumu nyerere wewe laumu hao wengine waliofata
Unaposema sisi ni wewe na nani?Sisi tumemlaumu nyerere wewe laumu hao wengine waliofata
Hivi unajua hata kusoma kweli?Hakuna anaye mlalamikia Nyerere kila kukikucha hapa nchini.
Mimi nimeweka interview hayo ya kumlalamikia Nyerere nafikiri ni yako mwenyewe kichwani mwako
Andika aliulizwaje? Acha ujinga
Hata mia itafika... Kwani saivi mna nini chenu.. trilioni 91 deni..Baada ya miaka 60 + ?!
Ila tatizo ni nini!?hatuhitaji kuelezewa kuwa tatizo ni wazungu au sisi wenyewe.
Mwamba kawapa za uso vizuri tu. kajibu kihuni wao wakatafakari watapata jibu lao.Sijasikiliza ila nimecheka mtoa mada alivyo sema nyerere kajibu kisanii, ngoja nisikilize
Kabisa ..swali lilikuwa la kushusha spirit ya Nationalism kabisa .Waliouliza swali wakamatwe na wanyongwe tu kwa kuuliza maswali ya kipumbavu
Mkiwaona muwa temee mate na kuwachapa viboko mtaani.
Nguruwe wahed
Nyerere ndiye alipaswa kutengeneza msingi bora wa maendeleo na uhuru.Mbona dingi alitoa jibu la kitaalum kabisa.
Ni upungufu wa akili mtu kumlaumu Nyerere miaka 40 toka astaafu na miaka 25 toka afariki Dunia.
Kwamba hatima ya maendeleo na maono ya nchi hii yalikua kwa Nyerere tu, sio?
Na ni upungufu mkubwa wa akili kufikiri kuwa wakoloni walikuwa na haki na kututawala na kwamba hatukuwa na haki ya kujitawala.Mbona dingi alitoa jibu la kitaalum kabisa.
Ni upungufu wa akili mtu kumlaumu Nyerere miaka 40 toka astaafu na miaka 25 toka afariki Dunia.
Kwamba hatima ya maendeleo na maono ya nchi hii yalikua kwa Nyerere tu, sio?
sema hujui kiswangilishi fala wala weweAliuzwajwe? Hujatununulia Bando TOA maelezo
Nyerere pekee ndie alipaswa kutengeneza misingi, wengine hawakua na akili ya kuitengeneza kama Nyerere hakutengeneza?Nyerere ndiye alipaswa kutengeneza msingi bora wa maendeleo na uhuru.