Swali ambalo Hayati Mwalimu Nyerere aliulizwa na wazungu akajibu kisanii matokeo yake tunayaona sasa

Swali ambalo Hayati Mwalimu Nyerere aliulizwa na wazungu akajibu kisanii matokeo yake tunayaona sasa

Katiba mbovu inayotusumbua hivi SS na huko kipindi cha nyumba katunga yy .

He was purely dictator , even him adimit it.

Nyerere ametusaliti sana
Alipenda sana Chama cha TANU na baadae ccm kuliko taifa.

Yaani kwenye hotuba zake utaona jinsi anavyojali chama kuliko kitu kingine.

Ndio maana akakiundia Katiba inayokilinda miaka dahali
 
Nyerere alikua sahihi kwa jibu alilotoa , hata kama alituingiza kwenye mfumo wa ujamaa ! Ila watu wote waliopita kijiti walichoachiwa ndo wametufelisha mpaka hapa ! Hebu angalia kama CCM now yaan haina mvuto hata kidogo , raia tunapangiwa hata wakishindwa uchaguzi wanalazimisha !
Ni wezi , ni wazandiki na wanajipendekeza
Hahahaa
 
Mbona dingi alitoa jibu la kitaalum kabisa.

Ni upungufu wa akili mtu kumlaumu Nyerere miaka 40 toka astaafu na miaka 25 toka afariki Dunia.

Kwamba hatima ya maendeleo na maono ya nchi hii yalikua kwa Nyerere tu, sio?
Sisi tumemlaumu nyerere wewe laumu hao wengine waliofata
 
Sisi tumemlaumu nyerere wewe laumu hao wengine waliofata
Kama hujasoma mambo ya falsafa za Enlightenment ukajua mambo ya kina John Stuart Mill kama alivyosoma Nyerere Edinburgh unaweza kupata ugumu kuelewa lile jibu.

Lile ni jibu la first principles.

Ni kama mtu aliyesoma Pure Math ana derive formula halafu wewe umesoma Basic Applied Math unashindwa kuelewa anafanya nini.
 
Sijasikiliza ila nimecheka mtoa mada alivyo sema nyerere kajibu kisanii, ngoja nisikilize
Mwamba kawapa za uso vizuri tu. kajibu kihuni wao wakatafakari watapata jibu lao.
Sasa hilo swali apigwe bi chura
Na Tundu Lissu.
Utawakuta Mirembe.
 
Waliouliza swali wakamatwe na wanyongwe tu kwa kuuliza maswali ya kipumbavu

Mkiwaona muwa temee mate na kuwachapa viboko mtaani.

Nguruwe wahed
Kabisa ..swali lilikuwa la kushusha spirit ya Nationalism kabisa .
Huwezi uliza swali ka hilo kwa mpigania uhuru .

Mugabe angewatukana.
 
Mbona dingi alitoa jibu la kitaalum kabisa.

Ni upungufu wa akili mtu kumlaumu Nyerere miaka 40 toka astaafu na miaka 25 toka afariki Dunia.

Kwamba hatima ya maendeleo na maono ya nchi hii yalikua kwa Nyerere tu, sio?
Nyerere ndiye alipaswa kutengeneza msingi bora wa maendeleo na uhuru.
 
Na ni upungufu mkubwa wa akili kufikiri kuwa wakoloni walikuwa na haki na kututawala na kwamba hatukuwa na haki ya kujitawala.
 
Nyerere ndiye alipaswa kutengeneza msingi bora wa maendeleo na uhuru.
Nyerere pekee ndie alipaswa kutengeneza misingi, wengine hawakua na akili ya kuitengeneza kama Nyerere hakutengeneza?

Ndio maana nimeuliza ina maana hatima ya nchi hii ilikua kwenye mikono ya Nyerere tu, hakuna mwingine?

Umewahi kusikia nchi zilizoendelea wakisema wamefika hapo kwa sababu ya mtu flani tu?

Maendeleo yanaletwa na vizazi kwa kupokezana, huyu anaanzia hapa anafikia hapa mwingine anakuja kuendeleza ama kufanya jambo jipya wanadonga mbele.

Mfano, Nyerere alijenga viwanda karibu kila mkoa, jenga mashule pale alipoweza nk. Hivyo viwanda viko wapi? Maendeleo makubwa yanaletwa na viwanda viko wapi? Nyerere alidokeza kuna katiba mbovu, aliefuata kwa nini hakuirekebisha nk.

Lawama juu ya Nyerere hazina msingi.
 
Alijibu vizuri kwa muktadha wa wakati ule, vizazi vya baadaye ndio vilifeli, ila alikua vizuri kwenye kutema yai.
 
Back
Top Bottom