Hahahahahahaha talaka week?lolNdo na mimi sasa. Yani nilikuacha ila nikikaa na rafiki zangu nalia hadi natamani kufa. Nikimuona najitia kauzu balaa. Na yeye mara ya mwisho ananitafuta tuanze moja nikamwambia baba nina mimba na wewe mapenzi yalishaisha. Anajishtukiaga mpaka leo kwa jinsi nilivyokua nampenda na nikamsahau. Sema ex huyu kuolewa nae ntakubali ila week tu naomba talaka
Ukiomba talaka wanakusweka jelaaaNdo na mimi sasa. Yani nilikuacha ila nikikaa na rafiki zangu nalia hadi natamani kufa. Nikimuona najitia kauzu balaa. Na yeye mara ya mwisho ananitafuta tuanze moja nikamwambia baba nina mimba na wewe mapenzi yalishaisha. Anajishtukiaga mpaka leo kwa jinsi nilivyokua nampenda na nikamsahau. Sema ex huyu kuolewa nae ntakubali ila week tu naomba talaka
nakupenda zaidiNdio mana nakupenda
HahahahaBora nivumilie ya jela siyo kuvumilia kifungo cha maishaaaa
Huyo ntamkubali mpk anilipe elfu 80 yangu kwanza ....nilimkopesha hajanilipa tapeli mkubwa yule[emoji53] [emoji53] [emoji53]Ukamkubalia au ulishamsahau
SawaNitapambana hivyo hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakirud woteee itabidi wakusweke ndani segerea hakuna namnaEbu kwanza nikumbuke nahisi zhongtong(shabibi) moja inajaa ....hebu hesabu siti za hiyo bus kwanza sasa dah sijui yupi ni yupi aseee.......
nipo hapa nimetulia mtoto wa watuTuliaaa
Haha asantenakupenda zaidi
Picha linaanza mi ndo huwa nawaachaga halafu siku nikikaa nimemmiss ntajitumisha message yani hata kama umenimind nimekuacha utarudi tu. Mmoja ndo aliniachaga huyo na yeye nilikua namvimbia situmi message wala nini sema nikisoge pembeni naliaaa
me naomba hiyo lips yako tu!..Ndo maana simpi chura wangu mmbea huyu
Ndio ndugu yangu ulisema nimpe ila kwa hili no no noTena nilikuwa namuonea huruma umpe hakuna kumpa mwanaume mbea sijui soudybrown huyu
Hahahahahahahahaha nimecheka kifala aseee haya mambo haya ohoooo.........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakirud woteee itabidi wakusweke ndani segerea hakuna namna
Eeeeh. Ndo kazi yake hiyo [emoji23][emoji23]Hahahahahahaha talaka week?lol
Haipo hiyoUkiomba talaka wanakusweka jelaaa
TobaaaaEeeeh. Ndo kazi yake hiyo [emoji23][emoji23]