Hahahahahah nakumbuka majina tu.....wallah siku tukionana siwezi kuwajua .....aiseeeeeee hatari sanaMa x hata jina huwakumbukii hahahahah uwiiii sasa siku unakutana naye barabaran anakusalimia unasema hivi tulionana wapi kama nakukumbuka hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Homeboy anaumwa bwana vp umeenda kumuona?Ngoja niwe msomaji shunie mm
Si nalia pembeni sasa. Siku niliyolia mbele yake ndo siku ambayo nilimuacha kabisa kabisa na kwenye moyo akapungua. Sitamsahau yule mkakauwiiiiiiiii mbavu zangu mieee jamani .. eti naliaaaa Khakhakhaaaaa nimecheka sana hapo kwenye kilio.. mi ni masikini jeuri asee hata uniache sikusumbui ng'o........nikikuacha ndo sahau mazima.
cc Smart911
Hizo umepata sema kingine.me naomba hiyo lips yako tu!..
Mi sisahau haraka. Naweza chukua hata miaka miwili kumsahau mtu.uwiiiiiiiii mbavu zangu mieee jamani .. eti naliaaaa Khakhakhaaaaa nimecheka sana hapo kwenye kilio.. mi ni masikini jeuri asee hata uniache sikusumbui ng'o,, nikiwa nimekupenda saaaana najikaza siku mbiltatu nakusahauuu ........nikikuacha ndo usinisogelee kabisa
usiniguseeeeee
cc Smart911
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna kumpa akwendree uko
Homeboy anaumwa bwana vp umeenda kumuona?
Hajanipa hata sh mia yake wala chochote ......yaani me ndo nlikua nampa hela za hapa na pale na hizo 80 ndo nikamkopesha .....hivi Mimi sijui nilirogwaaa nikukumbuka huwa najisonya Sonya tu ....usenge ule sirudii teeena mpaka nakufa maninaUnamdai x wakooo na yeye akikudai vyakeee
Hapo sawa nikajua anahangaika kivyake tu kweli nimewapenda bureNiko nae hapa
Ulimpenda sana hahahahaHajanipa hata sh mia yake wala chochote ......yaani me ndo nlikua nampa hela za hapa na pale na hizo 80 ndo nikamkopesha .....hivi Mimi sijui nilirogwaaa nikukumbuka huwa najisonya Sonya tu ....usenge ule sirudii teeena mpaka nakufa manina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jela pabaya mno huko unaweza olewa hata na asie X wako
Nilimpenda mpaka nilikua poyoyo we acha tu erick jamani aliko mungu amlaani tuUlimpenda sana hahahaha
Hapo sawa nikajua anahangaika kivyake tu kweli nimewapenda bure