Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
[emoji23][emoji23][emoji23]!....Rafiki umbea ndiyo ugali wangu!Wewe acha kufatilia ya watu fanya yako mwanaume wa dar unakuwa mbea acha kuchukulia kila kitu cha chit chat ni serious utakufwa kabla ya siku zako
Asante sana Madam s naenjoy majibu yako yote unayosema yapo moyoni kwanguJaman mtoa mada katupa option mbili na kila mtu amejibu anavyoweza mimi siwez kurudiana na ex na had nakubali kuachana na wewe bas jua kweli umezingua na before sjachukua hayo maamuzi ya kukuacha hua nakupa nafas kibao utanikera kama nitaona namna gan yes nitakuomba tuyamalize haijalishi hata kama kosa umefanya wewe lakini niamini nikisema basi ujue nimetosheka na imetoka moyoni na nitakuacha uende kwa amani wala sitakusumbua kamwe zaidi siwez kukublock nitakuacha tu ila kukutumia msg sjui tumekaa miaka tuanze kuwasiliana turudiane au tucheze hizo mechi aisee naona kujishusha sana thamani yangu
siriazly??We nenda gerezani
Hahah bas naacha na mimiumbea
AsanteeeTouch
Asantee. NakujaYani mimi niende jela mimi kabisa. Ex baba karibu tu tuanze maisha
Asante kwa kushukuru mama ndio hivo kwa kweliAsante sana Madam s naenjoy majibu yako yote unayosema yapo moyoni kwangu
Kama wewe 'kuolewa' ni unampa papuchi afande anakupunguzia kazi/anakupa shift laini laini!..[emoji9][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huko gerezani unaolewaje kwa mfano nipe ufafanuzi yakinifu
asante sasa mrs G, mchepuko wa invisibleYaan mimi nikanyee debe mimii kweliiii
Nakwambia ukienda ukirudi usinitaftesiriazly??
Hakuna namna labda kungekua na option ya tatuMwaka mmoja mm naenda jela tu
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Kabisa yan niko hivyo, nitakupenda kwa moyo wangu wote, nitahakikiaha nafanya ninachoweza kilicho ndan ya uwezo wangu ili tu mahusiano yangu yawe strong, mimi ni yule mwanamke nitaomba samahani kwa makosa even sio yangu sababu sipendi malumbano kabisa, najua tutakwaruzana nitachukia lakini always naamini katika second chances, nitakupa nafas hata zaidi ya kumi najua utajirekebisha sitaweza kukuchoka kabisa na nutajitahidi kukuambia makosa yako, ila shida ikija nafanya vyote na bado unakuta mtu halipi fadhila, hakulipi hata jema unalomfanyia wala hakai akawaza kwamba huyu mwanamke ni wa pekee kwa kweli nikichoka moyoni nachoka mazima, yan hakuna kurudi nyuma, na baada ya kuachana sitakaa nikakutafta sitakaa, nitadili na mambo yangu sababu najua nimeanza maisha mapya nitajitahidi kumove on ilakamwe sikutafti kwanza unaweza nitumia msg na nisikujib vile vile kila kitu kinawezekana tukiamua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asantee. Nakuja
Kabisa yan niko hivyo, nitakupenda kwa moyo wangu wote, nitahakikiaha nafanya ninachoweza kilicho ndan ya uwezo wangu ili tu mahusiano yangu yawe strong, mimi ni yule mwanamke nitaomba samahani kwa makosa even sio yangu sababu sipendi malumbano kabisa, najua tutakwaruzana nitachukia lakini always naamini katika second chances, nitakupa nafas hata zaidi ya kumi najua utajirekebisha sitaweza kukuchoka kabisa na nutajitahidi kukuambia makosa yako, ila shida ikija nafanya vyote na bado unakuta mtu halipi fadhila, hakulipi hata jema unalomfanyia wala hakai akawaza kwamba huyu mwanamke ni wa pekee kwa kweli nikichoka moyoni nachoka mazima, yan hakuna kurudi nyuma, na baada ya kuachana sitakaa nikakutafta sitakaa, nitadili na mambo yangu sababu najua nimeanza maisha mapya nitajitahidi kumove on ilakamwe sikutafti kwanza unaweza nitumia msg na nisikujib vile vile kila kitu kinawezekana tukiamua