Kabisa yan niko hivyo, nitakupenda kwa moyo wangu wote, nitahakikiaha nafanya ninachoweza kilicho ndan ya uwezo wangu ili tu mahusiano yangu yawe strong, mimi ni yule mwanamke nitaomba samahani kwa makosa even sio yangu sababu sipendi malumbano kabisa, najua tutakwaruzana nitachukia lakini always naamini katika second chances, nitakupa nafas hata zaidi ya kumi najua utajirekebisha sitaweza kukuchoka kabisa na nutajitahidi kukuambia makosa yako, ila shida ikija nafanya vyote na bado unakuta mtu halipi fadhila, hakulipi hata jema unalomfanyia wala hakai akawaza kwamba huyu mwanamke ni wa pekee kwa kweli nikichoka moyoni nachoka mazima, yan hakuna kurudi nyuma, na baada ya kuachana sitakaa nikakutafta sitakaa, nitadili na mambo yangu sababu najua nimeanza maisha mapya nitajitahidi kumove on ilakamwe sikutafti kwanza unaweza nitumia msg na nisikujib vile vile kila kitu kinawezekana tukiamua