SWALI: Bora uende jela mwaka mmoja au umuoe/kuolewa na X wako?

Ndo na mimi sasa. Yani nilikuacha ila nikikaa na rafiki zangu nalia hadi natamani kufa. Nikimuona najitia kauzu balaa. Na yeye mara ya mwisho ananitafuta tuanze moja nikamwambia baba nina mimba na wewe mapenzi yalishaisha. Anajishtukiaga mpaka leo kwa jinsi nilivyokua nampenda na nikamsahau. Sema ex huyu kuolewa nae ntakubali ila week tu naomba talaka
 
Nenda jela utajua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha kama ni kukulwa na ke mwenzangu nipo tayari ila siyo x maana simpend tena hata akinikula stafika kileleni
 
Hahahahahahahah uwiiiii una ma x wangapi shooo sasa hapo ni mtihani loooh
Ebu kwanza nikumbuke nahisi zhongtong(shabibi) moja inajaa ....hebu hesabu siti za hiyo bus kwanza sasa dah sijui yupi ni yupi aseee.......
 
My ex njoo tuyajenge tu japo nilikataa kuolewa tena na mahari nusu ulilipa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]njoo natoa mwenyewe mahari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukamkubalia au ulishamsahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…