Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama wewe 'kuolewa' ni unampa papuchi afande anakupunguzia kazi/anakupa shift laini laini!..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kama wewe 'kuolewa' ni unampa papuchi afande anakupunguzia kazi/anakupa shift laini laini!..
sawa mkuu
Picha linaanza mi ndo huwa nawaachaga halafu siku nikikaa nimemmiss ntajitumisha message yani hata kama umenimind nimekuacha utarudi tu. Mmoja ndo aliniachaga huyo na yeye nilikua namvimbia situmi message wala nini sema nikisoge pembeni naliaaaexactly...
mwingine Ile mmeachana unavomtafuta tafuta sijui mameseji kibao ndo unampa kichwa unamvimbisha anajiona yesssss huyu kwangu hachomoi.........kula ngumu ngumu tu asee... experience the difference NAFIA JELAA.
wanaolia lia kwa ex zao nawadharaaaauuuuuuuu!!!!! Wanashindwa kukontrol hisia zao like no body like you ex my foot
Cc Smart911
😀 😀 😀 😀 😀 😀 sana tu!Yani mimi niende jela mimi kabisa. Ex baba karibu tu tuanze maisha
Ndio ex bora tubanane na wewe tu.Jela utapauka Ex wangu [emoji23] [emoji23]
Hahahahaaaaa. Hao hao wengiHuu mtihani x yupi sasa maana wengine tuna maex wa kutosha ....
.
Any way kama nilimuacha Mimi Niko tayar kuolewa nae ila kama aliniacha bora nifungwe
Ndio. Wanawala kama kawa nasikiaHivi nao wanawakula wakike wenzao eeeenh!?
double standardHuu mtihani x yupi sasa maana wengine tuna maex wa kutosha ....
.
Any way kama nilimuacha Mimi Niko tayar kuolewa nae ila kama aliniacha bora nifungwe
Nenda jela utajua.Naomba uthibitishoooo kama kuna kugeuka chakula ya nyapara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]😀 😀 😀 😀 😀 😀 sana tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]My ex njoo tuyajenge tu japo nilikataa kuolewa tena na mahari nusu ulilipa[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]njoo natoa mwenyewe mahari
Hahahahahahah huu ujinga me nshawahi kumwacha mtu wakati nampenda mpk akili inasoma 0% aseee.....ila ye hakunipenda hata kidogo ...nilipiga moyo konde nikamwacha ....ila nikawa nalia tuuuu nilikondaaa ila sikumtafutaaaa nikakomaa hvyohvyo ......eti baada ya mwaka anakuja kuniomba msamaha uuuwiiii hahahahahPicha linaanza mi ndo huwa nawaachaga halafu siku nikikaa nimemmiss ntajitumisha message yani hata kama umenimind nimekuacha utarudi tu. Mmoja ndo aliniachaga huyo na yeye nilikua namvimbia situmi message wala nini sema nikisoge pembeni naliaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]