Swali fikirishi: Hivi Jeshi lipo kwa ajili ya kulinda wananchi au mtu mmoja?

Swali fikirishi: Hivi Jeshi lipo kwa ajili ya kulinda wananchi au mtu mmoja?

Matatizo ya kisiasa yamalizwe kisiasa. Suluhisho la matatizo ya kisiasa siyo Jeshi. Ndiyo maana nchi zilizodhani matatizo ya kisiasa suluhisho ni mapinduzi ya kijeshi, nchi hizo bado zimekuwa na mapinduzi lukuki kwasababu walikosea namna ya kushughulikia matatizo yao ya kisiasa.
Ok ametokea Rais asiyeweza kuongoza nchi na amekomaa kuendelea kuongoza . Nn kifanyike kama sio mapinduzi ya kijeshi ?
 
1. Kusema kwamba wanajeshi waliuliwa hizi ni propaganda ambazo haziwezi kuthibitishwa kokote (inazushwa taharuki ili vyombo vya ulinzi visielewane..hii mbinu imeishajulikana)
2. Yote uliyoyataja ni majukumu ya jwtz kwa mujibu wa katiba (taasisi ya urais ni sehemu ya katiba, wananchi nao ni sehemu ya katiba, mali nazo ni sehemu ya katiba na WALINZI WA KATIBA NI JWTZ)..

MASWALI FIKIRISHI
1. je nini kilitakiwa kulindwa na jw tarehe 29 oct? ni haki ya kupga kura? au kuwalinda waharibifu wa mali za watu? (maana yale hayakuwa maandamano bali vurugu), hata jw walipowaelekeza watu wafanye nn kuandamana, watu walianza uvamizi, ushahd upo hata kule mwz walipoachiwa, wao waliekea kiwanda cha magodoro kilichotokea mnajua..walikufa watu zaid ya 60, pale hapakuwepo PT wala JW.

2. Je afrika mashariki wanajua maandamano au vurugu?

3. Hoja za msingi zipo, lakn watu hao walitumia vurugu au maandamano kudai?

KAENI MKIJUA MISINGI YA SERIKALI HAIJAJENGWA KAMA MISINGI YA VYAMA VYA SIASA.
 
Naomba tuijadili hii mada bila mihemuko wala uchawa.
Tumeona maelfu ya wananchi wameuwa, na inasemekana kuna hadi wanajeshi wameuawa na polisi, hii yote ni kwa ajili ya kumlinda mtu mmoja tu. Sasa swali la msingi ni hili; hivi jeshi lipo kwa ajili ya kumlinda rais au wananchi.
Hoja moja mkuu Duniani kote hivi vyama ambavyo vimehasisi ukombozi ndivyo hua vilivyo , ujegeuza kua Dola

Mwalimu alifanya hivyo tokana na nyakati zilivyokua kwa kipindi kie hatakiwi laumiwa kwa lolote , nyakati hubadilika .

Tujiulize tu
Kipindi hicho tz ilikua na watu wangapi?
Uchumi wa taifa hili kabla ya vita vya kagera ulikua vipi.

Je pamoja na pungufu yote kulikuwa na watu kuuana ,kutekwa wenyewe kwa wenyewe, kipindi kile Mwalimu alifunga milango ila Mzee Mwinyi(R.Ip) mzee wa ruksa akafungua milango ,

Leo tupo na wasomi wangapi nchi hii ? Swali la msingi hao wasomi wamelisaidia nini Taifa hili kama sio usomi uchwara, leo mtu kama kabudi/ Tulia wanabakwa na siasa alafu wanakua hoi hoe kweli, Kabudi / Tulia ni vichwa kwelikweli ila ndo hivyo.

Watu mfano wa Kabudi/Tulia walitakiwa undiwa mfumo ambao unawaezesha na kuwa na mamlaka kamili yakusimamia vyuo vikuu vyote nchi nzima na isiwe nafasi za kijinga za uwaziri , hawa wanaijua Dunia katika ulimwengu wa elimu.

Leo tupo na vyuo vilivyokua bora kabisa mfano UDSM vimegeuka kuwa machawa period , ati mstaafu urais ndo mkuu wa chuo ,kama kwamba maprofesa wa vyuo husika hawezi kaa chini na mteua mmoja wao kuwa mkuu wa chuo. Uhuni tu.

Udsm mfano kama chuo kipo na maprofessor wangapi mpaka kiongozi flani alie stahafu Urais kuwa mkuu wa chuo ?
 
Matatizo ya kisiasa yamalizwe kisiasa. Suluhisho la matatizo ya kisiasa siyo Jeshi. Ndiyo maana nchi zilizodhani matatizo ya kisiasa suluhisho ni mapinduzi ya kijeshi, nchi hizo bado zimekuwa na mapinduzi lukuki kwasababu walikosea namna ya kushughulikia matatizo yao ya kisiasa.
ku.manyo.ko ccm wewe matatzo ya ksiasa kwa afrika hayamalizwi ksiasa, kwan kabla ya uchaguz hao wanasiasa wa maccm walishauriwa nn khs reforms mamamaeee wallah mgombea anateua waamuz wa matokeo, mgombea anatembea na kofia 2 urais na uenyekt wa chama huu si usengerema huu halafu watu wa namna hii ndo ukae nao kumaliza matatzo ksiasa, raia hawataki uchaguz wa maigzo kuna chama wao wameteka mifumo yote raia wakpga kura kuchagua mgombea tofauti na wa chama chao wao wanapndua meza wanamtangaza wa chama chao na aliyechaguliwa na raia anatupwa nje eti hawa ndo wa kujadiliana nao ksiasa mbwa wewe.
 
1. Kusema kwamba wanajeshi waliuliwa hizi ni propaganda ambazo haziwezi kuthibitishwa kokote (inazushwa taharuki ili vyombo vya ulinzi visielewane..hii mbinu imeishajulikana)
2. Yote uliyoyataja ni majukumu ya jwtz kwa mujibu wa katiba (taasisi ya urais ni sehemu ya katiba, wananchi nao ni sehemu ya katiba, mali nazo ni sehemu ya katiba na WALINZI WA KATIBA NI JWTZ)..

MASWALI FIKIRISHI
1. je nini kilitakiwa kulindwa na jw tarehe 29 oct? ni haki ya kupga kura? au kuwalinda waharibifu wa mali za watu? (maana yale hayakuwa maandamano bali vurugu), hata jw walipowaelekeza watu wafanye nn kuandamana, watu walianza uvamizi, ushahd upo hata kule mwz walipoachiwa, wao waliekea kiwanda cha magodoro kilichotokea mnajua..walikufa watu zaid ya 60, pale hapakuwepo PT wala JW.

2. Je afrika mashariki wanajua maandamano au vurugu?

3. Hoja za msingi zipo, lakn watu hao walitumia vurugu au maandamano kudai?

KAENI MKIJUA MISINGI YA SERIKALI HAIJAJENGWA KAMA MISINGI YA VYAMA VYA SIASA.
Umesema Mwanza walikufa watu 60 bila polisi wala jeshi. Hao watu waliuliwa na nani? Inapotokea wananchi hawamtaki rais, jeshi liwe upande gani? Rais anapoingia madarakani kwa kupora uchaguzi kama vile tulivyoona kwenye video wasimamizi wakidumbukiza rundo la makaratasi ya kura fake kwenye masanduku ya kura, je ni halali jeshi kuendelea kumlinda rais? Mwisho kabisa ni halali wananchi kuuliwa kwa wingi kiasi hicho kwa sababu YOYOTE ile? …Adhabu ya kosa la kuua huwa inatolewa mahakamani pale mtuhumiwa anapopatikana na hatia ya mauji, je ni sahihi vyombo vya dola kuua raia kwa kosa la kupora kwenye maandamano?
 
Ukiiba au kuharibu mali za watu huku unacheka utakufa kwa maumivu makali katika hilo hamna huruma, safari hii kila nyumbu atakaeiba au kuharibu mali yoyote atakufa mbele ya mali aliyoiba au kuharibu, ukikimbia utafatwa hadi kwenye uvungu wa Baba yako.

Hakuna huruma kwa muhalifu yoyote.
Unajivunia kuua mtanganyika asiye na hata wembe au kisu, ipo siku mtakutana na wanaume wenye silaha kama m23,na mbinu zenu za kupasua tofali kichwani
 
Ki ukweli JWTZ iko kwa ajili ya kulinda mpaka yetu adui kutoka nje asituvamie na Jeshi let’s la polisi kazi yake ni kulinda raia na mali zao.

Kilichofanyika sasa ni kuli Ingi za Jeshi kwenye mambo ya siasa ili kulinda maślani ya watawala kitu ambacho ni hatari sana kwa wananchi!!
Yaani walinde wananchi wasivamiwe na adui kutoka nje halafu hao wanaowalinda wakiuawa ndani waone sio kitu. Huyo adui atayevamia ataleta madhara gani ambayo ni makubwa kuliko kuua!?
 
Matatizo ya kisiasa yamalizwe kisiasa. Suluhisho la matatizo ya kisiasa siyo Jeshi. Ndiyo maana nchi zilizodhani matatizo ya kisiasa suluhisho ni mapinduzi ya kijeshi, nchi hizo bado zimekuwa na mapinduzi lukuki kwasababu walikosea namna ya kushughulikia matatizo yao ya kisiasa.
Mfano utekaji NA UFISADI..unashuguliajiaje kisiasa.?? TUANZIE HAPA
 
Wakati nasoma tuliulizwa swali dogo la kifilosofi(normative political philosophy and social contract theory)

Swali liliulizwa "Kama kusingekua na uhalifu duniani,polisi wangefanya kazi gani"?? Jibu simple,polisi wa Nini wakati hakuna uhalifu??but WRONG
Jibu lilikua Kazi kubwa ya polisi sio kulinda raia wala kuzuia uhalifu,kazi kubwa ya jeshi lolote or police ni kulinda serikali iliyo madarakani..
jiulize why jeshi lina watu zaidi ya elfu 30 but linalinda na kufata amri za mafisadi ambao hawazidi 100??Wapo tayari kufa au kuua ndugu zao ila Samuya asisemwe vibaya,.Jeshi lina silaha,Samuya ana silaha?Rostam?Jah Kaya??
Kwenye nyimbo yake ONLY GOD CAN JUDGE ME, 2Pac alisema


"And they say it's the white man I should fear
But, it's my own kind doing the killing here"

Same TISS haikuundwa kuwa "usalama wa taifa" TISS ilianzishwa baada ya jaribio la kumpindua Nyerere kufeli,so wakaunda idara kuzuia jaribio kama Hilo kujirudia..
 
Mdaiwa
1. wale wa mwanza waliongozana hadi kiwandani kupora magodoro, walipofika MUNGU akaingilia ugomvi, gesi inayotumika kuendeshea mitambo ikalipuka, wakafa watu pale, hat hvo hakuna aliyeendelea na vurugu za kupora mali, na iliishia palepale. yangekuwa ni maandamano yangeendelea.

2. ambao hawamtaki samia ni maaskofu wa TEC kama idara ya chadema. chadema walisusia uchaguzi wakitegemea kuungwa mkono na vyama vingne, badala yake ikawa tofauti
-chadema mlitaka kuleta uasi katika hli taifa kwa kutumia BAVICHA na TEC,, kama uchaguzi haukuwa halali je mliouona nyie tu au hata vile vyama vingne 17 havikuona? mkajipa sifa ya utakaso wakati nyie nao ni wachafu kupitiliz na mnatakaswa na TEC.

NINA SWALI: NITAJIE NCHI AMBAYO ROMAN C ILITIA MGUU IKABAKI SALAMA KAMA SIYO KUONGEZA MAUAJI NA UASI?

TEC ilikuwa inatafuta pa kupenyezea udini wao ndo wakawapata BAVICHA.

Chadomo imewahi kuongoza wabunge n majiji kupitia katiba hii, nikisema hamna ajenda zaidi ya vurugu nitakuwa nimekosea?
 
Ok ametokea Rais asiyeweza kuongoza nchi na amekomaa kuendelea kuongoza . Nn kifanyike kama sio mapinduzi ya kijeshi ?
Nani amekwamby kuwa rais kashndwa kuongoza?
Huo ujinga mnaojazana huko BAKWATA NA TEC utaisha lini?
umempima kwa lipi?
 
Jeshi la tz, kazi yao ni kulinda mafisadi na demu wa kikwete
 
Hakuna jeshi la wananchi wala polisi wa kulinda mwananchi.

Majeshi ni mali ya ccm ndiyo inayowalipa mishahara.

Anayekulipa ndiye anakumiliki utake usitake.
 
Mdaiwa
1. wale wa mwanza waliongozana hadi kiwandani kupora magodoro, walipofika MUNGU akaingilia ugomvi, gesi inayotumika kuendeshea mitambo ikalipuka, wakafa watu pale, hat hvo hakuna aliyeendelea na vurugu za kupora mali, na iliishia palepale. yangekuwa ni maandamano yangeendelea.

2. ambao hawamtaki samia ni maaskofu wa TEC kama idara ya chadema. chadema walisusia uchaguzi wakitegemea kuungwa mkono na vyama vingne, badala yake ikawa tofauti
-chadema mlitaka kuleta uasi katika hli taifa kwa kutumia BAVICHA na TEC,, kama uchaguzi haukuwa halali je mliouona nyie tu au hata vile vyama vingne 17 havikuona? mkajipa sifa ya utakaso wakati nyie nao ni wachafu kupitiliz na mnatakaswa na TEC.

NINA SWALI: NITAJIE NCHI AMBAYO ROMAN C ILITIA MGUU IKABAKI SALAMA KAMA SIYO KUONGEZA MAUAJI NA UASI?

TEC ilikuwa inatafuta pa kupenyezea udini wao ndo wakawapata BAVICHA.

Chadomo imewahi kuongoza wabunge n majiji kupitia katiba hii, nikisema hamna ajenda zaidi ya vurugu nitakuwa nimekosea?
Haya ndiyo matatizo ya kutokula Nguruwe watu mnakuwa mazuzu kama Wafuga Midevu na Majini!!!
 
Back
Top Bottom