Swali fikirishi: Hivi Jeshi lipo kwa ajili ya kulinda wananchi au mtu mmoja?

Swali fikirishi: Hivi Jeshi lipo kwa ajili ya kulinda wananchi au mtu mmoja?

Haya ndiyo matatizo ya kutokula Nguruwe watu mnakuwa mazuzu kama Wafuga Midevu na Majini!!!
Siyo kila anayepinga upumbavu wenu ni hali nguruwe..
Mm ni mkristo na nasali kanisa la anglikana hapa mtakatifu albano, njoo utanikuta na hayo ndo majina yangu mimi sina jina feki hap JF
 
Siyo kila anayepinga upumbavu wenu ni hali nguruwe..
Mm ni mkristo na nasali kanisa la anglikana hapa mtakatifu albano, njoo utanikuta na hayo ndo majina yangu mimi sina jina feki hap JF
Acha kujipendekeza nani aliyekuuliza dini yako mjinga wewe?
 
Ki ukweli JWTZ iko kwa ajili ya kulinda mpaka yetu adui kutoka nje asituvamie na Jeshi let’s la polisi kazi yake ni kulinda raia na mali zao.

Kilichofanyika sasa ni kuli Ingi za Jeshi kwenye mambo ya siasa ili kulinda maślani ya watawala kitu ambacho ni hatari sana kwa wananchi!!
Ila ni kama tulivamiwa na mamluki kutoka nje mijitu hata kiswahili haijui. Sqsa hio mipaka imelindwaje jamani?
 
Back
Top Bottom