Akili ,mwenye akili wote wanajua namna Magu alivyoturudisha nyuma ama kwa incompetency yake au ushamba alionao.wenye akili wanajua Magu hatoshi,lakini pia Tanzania si kisiwa lazima tujifunze kwa wengine pia na ndo maana sisi ni signatory wa EAC, SADC etcUtimamu wako unatokana na unavyoyajua ya Ethiopia?
JPM Unaye mpaka ukamilifu wa Dahari.Tatizo nn njaa kweli Tamaa za kidunia ukabila au ni ukosefu tu wa akili kwa watu weusi Sina matatizo Mh Rais ila km kweli Nia yke kutaka kkututoa hapa tulipo basi lazima lazima kukaa chini pande zote kuleta Umoja wa kitaifa bila hivyo Nina hakika baadae lazima makaburi yetu watoto wetu waje kuyashapa bakora...
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi,Police,Jeshi la wananchi wa Tanzania ( Kama halijabadirika) TISS nanyi ni watanzania, jiulizeni haya pia .Lakini pia naomba niwakumbusbe, ninyi ni waajiriwa wa serikali ambayo Magu anahangaika kuomba kuiongoza,serikali ni Mali ya watanzania na pesa za kuiendesha wanatoa wao.Kama raia mzalendo, kabla ya kupiga kura unapaswa kujiuliza swali moja tu, "je kwa kumpigia huyo unayetaka kumpigia kura utakua unalitendea haki taifa lako?"..
Mwenye hotuba ya kikwete akihutubia bunge la Kenya amuwekee huyu ndugu.Tanzania watu wasio na akili timamu wapo na mmoja wao ni wewe kwa hiyo kura atapata Ila tume isimshindishe tafadhariJPM Unaye mpaka ukamilifu wa Dahari.
Viva JPM.
Viva CCM.
28 October hakuna kupoteza muda ni kura yako kwa JPM.
Sawa, ila tambua, kiuhalisia, nchi nzima haiwezi kuwa na watu wenye utimamu wote na huenda kwa tz wenye utimamu ni wachache sana! Na kwa hivyo, Magu atashinda kwa kuwatumia wengi wasio timamu! Na mm ni mmoja wao!Akili ,mwenye akili wote wanajua namna Magu alivyoturudisha nyuma ama kwa incompetency yake au ushamba alionao.wenye akili wanajua Magu hatoshi,lakini pia Tanzania si kisiwa lazima tujifunze kwa wengine pia na ndo maana sisi ni signatory wa EAC,SADC etc
Mkuu naomba nijitenge na hayo makundi uliyoniunganisha nayo, mimi ni mtanzania mzalendo, si mwanachama wa chama chochote cha siasa, na sioni sababu ya kujiunga navyo kwa sasa.Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi,Police,Jeshi la wananchi wa Tanzania ( Kama halijabadirika) TISS nanyi ni watanzania, jiulizeni haya pia .Lakini pia naomba niwakumbusbe,ninyi ni waajiriwa wa serikali ambayo Magu anahangaika kuomba kuiongoza,serikali ni Mali ya watanzania na pesa za kuiendesha wanatoa wao.Msomi mwenye cheo cha Director kuamini analipwa na Magufuli si tu ni aibu kwake bali pia ni fedheha kwa wazazi wake hata Kama wamekufa
Mkuu, kinyesi kinawezaje kujipaka kinyesi?Paschal unajipaka kinyesi kwa kutetea vitu vya ajabu.Yaani mtu na akili zako timamu umpe kura Magu ? Kwa sababu zipi hasa? Ndege 11? Bwawa ambalo lipo 20% kwenye ujenzi wake au reli ambayo ndo kwanza kipande Cha Moro dar kipo 50% ya ujenzi wake?
Hata hayo makundi wafanyakazi wao ni watanzania na probably wazalendo kuliko wewe? Kwani wewe umesikia vyombo hivyo ni vya kisiasa au vinamilikiwa na chama cha siasa?Mkuu naomba nijitenge na hayo makundi uliyoniunganisha nayo, mimi ni mtanzania mzalendo, si mwanachama wa chama chochote cha siasa, na sioni sababu ya kujiunga navyo kwa sasa.
No wonder nchi hii na watu wake ni mafukara, tunashangilia kuingia kipatao Cha wastani wa TZS 2,360,000 kwa mwaka kwenye nchi yenye kila aina ya resources. Kumbe ufukara wetu unasababishwa na watu wengi including you kuwa na akili za kuvukia barabara tu masikiniSawa, ila tambua, kiuhalisia, nchi nzima haiwezi kuwa na watu wenye utimamu wote na huenda kwa tz wenye utimamu ni wachache sana! Na kwa hivyo, Magu atashinda kwa kuwatumia wengi wasio timamu! Na mm ni mmoja wao!
Kwakuwa hauna kipimo cha kupima uzalendo wangu na wao na mimi bado sijasikia kama hivyo vyombo ni vya kisiasa au vinatumika na chama cha kisiasa, yanayofuata ni utabiri, hiyo ni kazi ya Sheikh Yahaya (R.I.P) and his CompanyHata hayo makundi wafanyakazi wao ni watanzania na probably wazalendo kuliko wewe? Kwani wewe umesikia vyombo hivyo ni vya kisiasa au vinamilikiwa na chama cha siasa?
Lakini bado hujamjibu swali lake.Jinsi umeanzisha Uzi, yaonesha hapo tu ulipo nina uwalakini na utimamu wako! Sasa cjui umepatwa na nini ili angalau kuweza kuuliza swali hilo?
Tumia kipimo hicho hicho kilichokufanya ujiite mtanzania mzalendoKwakuwa hauna kipimo cha kupima uzalendo wangu na wao na mimi bado sijasikia kama hivyo vyombo ni vya kisiasa au vinatumika na chama cha kisiasa, yanayofuata ni utabiri, hiyo ni kazi ya Sheikh Yahaya (R.I.P) and his Company
Mayala kwetu maana yake 'NJAA'Mkuu, Kodi ya Kireativiti, kabla ya kujibu swali lako, pitia hoja hizi
Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!
Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!
Kama umezipitia na una akili timamu, hakuna mtu Mtanzania mzalendo mwenye akili timamu, ataacha kumchagua Dr John Pombe Magufuli!.
Tarehe 28 ni kazi moja tuu!, unachukua, unaweka...
P
Mie nitamchagua MagufuliNAHITAJI MAJIBU
Wewe tunakujua fika kwamba hauna akili,wewe chama kwanza ,maisha yako,watoto wako na taifa hili baadaeMie nitamchagua Magufuli
hoja mufilisiMkuu, Kodi ya Kireativiti, kabla ya kujibu swali lako, pitia hoja hizi
Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!
Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!
Kama umezipitia na una akili timamu, hakuna mtu Mtanzania mzalendo mwenye akili timamu, ataacha kumchagua Dr John Pombe Magufuli!.
Tarehe 28 ni kazi moja tuu!, unachukua, unaweka...
P
Ugumu wa Maisha kama unalala na kufikiria chakula kitashushwa toka mbinguni, demokrasia ya jinsia moja sio hulka zetu na huwezi kufa au kutetereka ki afya kwa kukosa starehe ya jinsia moja, kuhusu kodi weka mahesabu yako vizuri tutakuwa na shida na tra, Habari Mimi ninazipata kwa njia nyingi tu sio via tbc only , na hapa tunachangia freely nyingine habari za uongo, zingine za kubomoa basi bora liende ndivyo unavyotaka , uwe Mwalimu n.k umekosa ajira serikalini au unaona mshahara mdogo nenda Private au anzisha shule yako n.kSwali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU