Magu anakubalika na wajinga tu, watu wasiojua ukweli wa mambo, wenye akili hawamkubali. Pia amekuwa mtu katili na mkabila sana hakuna mwenye akili atakayemchagua mtu wa namna hiyo.Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU
Una akili halafu unalialia kila siku huna solution we kila siku ni kulia tu .....na yule mpumbavu maisha yanaendelea bila stressMagu anakubalika na wajinga tu, watu wasiojua ukweli wa mambo, wenye akili hawamkubali. Pia amekuwa mtu katili na mkabila sana hakuna mwenye akili atakayemchagua mtu wa namna hiyo.
Mkuu tupendi tadhimini ,hapa kazi tu kwa miaka mitano imetufikisha wapi? Kumbuka GNI yetu imepanda kwa TZS 200,000 in five good year chini ya mchapakazi wetu MagufuliUgumu wa Maisha kama unalala na kufikiria chakula kitashushwa toka mbinguni, demokrasia ya jinsia moja sio hulka zetu na huwezi kufa au kutetereka ki afya kwa kukosa starehe ya jinsia moja, kuhusu kodi weka mahesabu yako vizuri tutakuwa na shida na tra, Habari Mimi ninazipata kwa njia nyingi tu sio via tbc only , na hapa tunachangia freely nyingine habari za uongo, zingine za kubomoa basi bora liende ndivyo unavyotaka , uwe Mwalimu n.k umekosa ajira serikalini au unaona mshahara mdogo nenda Private au anzisha shule yako n.k
Kwa mawazo yako nafikiri kura yako ni kwa Hahim Rungwe - unataka kula hutaki kufanya kazi! Na vitu huvitaki kula ubwabwa tu!Mkuu unajua Ethiopia wanavitu vyote anavyojigamba navyo Magufuli tena wanavyo kwa mamia,na vikubwa na vingi na still wanakamatwa kwenye malori na makontena wakitoroka nchi?mtu yeyote mwenye akili,anajua vitu havijawahi kuwa Maendeleo,bali vitu ni matokeo ya Maendeleo,i.e anaendelea kwanza mtu then vitu ndo vinafuata
Maisha ya mpumbavu ni rahisi sana, hajui atakula nini mchana huu lakini anachukulia poa tu, sivyo kwa wenye akili.Una akili halafu unalialia kila siku huna solution we kila siku ni kulia tu .....na yule mpumbavu maisha yanaendelea bila stress
Basi ana maisha mazuri........lengo la kua na akili ikusaidie kupata solution ya matatizo yako......shida wanaosema wana akili ndo hao kila siku ni lialia sasa akili za nini kama wanashindwa kupata solution ya vilio vyao kila sikuMaisha ya mpumbavu ni rahisi sana, hajui atakula nini mchana huu lakini anachukulia poa tu, sivyo kwa wenye akili.
Wewe ndio unaonyesha akili yako haina akili, kuwekewa miundo mbinu ni kurudishwa nyuma ???Akili ,mwenye akili wote wanajua namna Magu alivyoturudisha nyuma ama kwa incompetency yake au ushamba alionao.wenye akili wanajua Magu hatoshi,lakini pia Tanzania si kisiwa lazima tujifunze kwa wengine pia na ndo maana sisi ni signatory wa EAC,SADC etc
Ni mara elfu kura apewe huyo anayenunua ndege kuliko yule dalali wa wazungu anayetaka kura za huruma.Paschal unajipaka kinyesi kwa kutetea vitu vya ajabu.Yaani mtu na akili zako timamu umpe kura Magu ? Kwa sababu zipi hasa? Ndege 11? Bwawa ambalo lipo 20% kwenye ujenzi wake au reli ambayo ndo kwanza kipande Cha Moro dar kipo 50% ya ujenzi wake?
"vitu havijawahi kuwa Maendeleo,bali vitu ni matokeo ya Maendeleo,i.e anaendelea kwanza mtu then vitu ndo vinafuata " Duuuuuu hivi maendeleo yanapatikana bila vitu... Unaweza kupata ugali bila kuwa na jembe, mbolea, n.k. Unaweza kupata dawa bila viwanda, hospitali, n.k.; unaweza kupata nyumba bila viwanda vya saruji, mabati, n.k. Mwisho wa siku hivi vyote utavipataje bila miundombinu ya barabara, umeme, maji,... Magufuli anafanya vitu hivyo vyote ambavyo vinaleta tija kwa wale ambao wanakubali kufanya kazi kama vile misahafu yote inatuasa kufanya kazi. Ndugu yangu usitegemee UTAJIRI utakuja kama mvua ila kwa kazi. Usiwasikilize hao wanaokuahidi pesa mfukoni bila kufanya kazi. HAPA KAZI TUU. Magufuli miaka mitano tena.Mkuu unajua Ethiopia wanavitu vyote anavyojigamba navyo Magufuli tena wanavyo kwa mamia,na vikubwa na vingi na still wanakamatwa kwenye malori na makontena wakitoroka nchi?mtu yeyote mwenye akili,anajua vitu havijawahi kuwa Maendeleo,bali vitu ni matokeo ya Maendeleo,i.e anaendelea kwanza mtu then vitu ndo vinafuata
je wewe?Wewe tunakujua fika kwamba hauna akili,wewe chama kwanza ,maisha yako,watoto wako na taifa hili baadae
Watu hatufanani, shida yako unapambana na mpango wa Mungu!No wonder nchi hii na watu wake ni mafukara,tubashangilia kuingia kipata Cha wastani wa TZS 2,360,000 kwa mwaka kwenye nchi yenye kila aina ya resources.Kumbe ufukara wetu unasababishwa na watu wengi including you kuwa na akili za kuvukia barabara tu masikini
Nimependa jibu lako, na ndiyo ukweli wenyewe! Wakati sisi tunapanga vipato vyetu,na yeye Mungu anatupangia riziki zetu!!Watu hatufanani, shida yako unapambana na mpango wa Mungu!
Mimi ni mwanaCCM ila kwa kilichofanyika kwa kipindi cha miaka yake 5 kura yangu hapatiSwali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU
Kwani huyu aliyenunua ndege ndo procurement officer wa serikali au yeye alikuwa dalali tu wa Boeing? By the way Lissu ni dalali wa wazungu kwa kuwa katibiwa huko belgium au kwa kuwa wakili wake ni Amsterdam? Je kikwete anayemfanyia kampeni Magufuli huku akiwa alitibiwa John hopkings au mwalimu aliyetiwa St.thomas walikuwa mawakala wa nani? Course walikuwa Marais wetuNi mara elfu kura apewe huyo anayenunua ndege kuliko yule dalali wa wazungu anayetaka kura za huruma.
Uchumi wa kati wa kipato Cha milioni mbili kwa mwaka ulitangazwa na WB na kupigiwa chapuo na Magufuli mkuu.binafsi napata USD 58000 kwa mwaka,nipo kipato Cha katiWatu hatufanani, shida yako unapambana na mpango wa Mungu!