Hakuna na labda vichaa, machizi, majinga na mapumbavu tuSwali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU
KITiMOTo upo?Mkuu, Kodi ya Kireativiti, kabla ya kujibu swali lako, pitia hoja hizi
Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!
Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!
Kama umezipitia na una akili timamu, hakuna mtu Mtanzania mzalendo mwenye akili timamu, ataacha kumchagua Dr John Pombe Magufuli!.
Tarehe 28 ni kazi moja tuu!, unachukua, unaweka...
P
Sio kweli,utafuatilia watu zaidi ya milioni 10 kwa faida ipi sasa?,mda wenyewe upo?,Kuna baadhi ya ballot papers zinafuatiliwa. Kura za NEC sio siri. Kuna serial number imo kwenye kila ballot paper, kuna watu wao wanazi note na kuzifuatilia wawajuwe.
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, CCM inapendwa na wajinga na wazee , hao ndo wataichagua.Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU
Maisha yangu,watoto wangu,watanzania wenzangu na nchi yangu kwanza then Mambo ya vyama na cheo cha mtu baadae,kauli za mwache amalizie muda wake utazokuta kwa wajinga wa ccm.Kule Malawi APM ameongoza kwa miaka mitano tu,Ila kwa kuwa ni incompetent Kama JPM jamaa wamepiga chini maana wanajua wakati wanasubiri APM amalize muda wake,dunia haikakuwa imesimama pia kuwasubiria wao na incompetent waoje wewe?
Hii umenichekesha sana,Kama haya yaliyoandikwa hapa Magu anaona ndo kete zake za ushindi no wonder tumeongeza $100.00 kwenye GNI,no wonder uchumi wetu unakuwa kwa 4%,no wonder tunazurumu kila pesa inayopitia mikono mwetuMitano tena, muda wa kampeni utumieni vizuri kumnadi mgombea wenu View attachment 1565802View attachment 1565803
Ni mtazamo wako, kwa upeo wa fikra zako, Upo sawa mkuuHii umenichekesha sana,Kama haya yaliyoandikwa hapa Magu anaona ndo kete zake za ushindi no wonder tumeongeza $100.00 kwenye GNI,no wonder uchumi wetu unakuwa kwa 4%,no wonder tunazurumu kila pesa inayopitia mikono mwetu
Lissu mzee wa MIGA huwezi kumfananisha na aliyetibiwa St Thomas.Kwani huyu aliyenunua ndege ndo procurement officer wa serikali au yeye alikuwa dalali tu wa Boeing? By the way Lissu ni dalali wa wazungu kwa kuwa katibiwa huko belgium au kwa kuwa wakili wake ni Amsterdam? Je kikwete anayemfanyia kampeni Magufuli huku akiwa alitibiwa John hopkings au mwalimu aliyetiwa St.thomas walikuwa mawakala wa nani? Course walikuwa Marais wetu
Mimi ni kichaa kabisa sina utimamu hata kidogo lakini simpigii kura hata nipelekwe milembeSwali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU
Hongera kwa kujitambua.Mimi ni kichaa kabisa sina utimamu hata kidogo lakini simpigii kura hata nipelekwe milembe
wewe ni kundi gani? mkulima, mwananchi usiye na kazi, mfanyabiashara, mfanyakazi ama upo upo tu wala hujielewi?Kura yangu ni kwa Magufuli
Haya 'mabandiko' yako yamebaki Ni useless kiwango Cha kutupwa dampo!Mkuu, Kodi ya Kireativiti, kabla ya kujibu swali lako, pitia hoja hizi
Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!
Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!
Kama umezipitia na una akili timamu, hakuna mtu Mtanzania mzalendo mwenye akili timamu, ataacha kumchagua Dr John Pombe Magufuli!.
Tarehe 28 ni kazi moja tuu!, unachukua, unaweka...
P
Wacha nicheke tu. Bwana P, niite tu jina wala usiongeze neno "mkuu".Mkuu, Kodi ya Kireativiti, kabla ya kujibu swali lako, pitia hoja hizi
Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!
Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!
Kama umezipitia na una akili timamu, hakuna mtu Mtanzania mzalendo mwenye akili timamu, ataacha kumchagua Dr John Pombe Magufuli!.
Tarehe 28 ni kazi moja tuu!, unachukua, unaweka...
P
NA MIMI SIAMINI LABDA MTU LIMBUKENI ANAWEZA KUCHAGUA RAISI 100% KIBARAKASwali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU
Wewe na John Magufuli na serikali yake yote ndiyo vibaraka maana hakuna wanaloweza kulifanya bila kuitegemea Ulaya na Marekani. Kuanzia madawa ya UKIMWI, Malaria, bajeti, teknolojia, hata intenet unayotumia si mali ya Tanzania sijui ikiwa unalijua hilo. YAONEKANA HUNA UELEWA WOWOTE KUHUSU DUNIA NA NCHI YAKO.NA MIMI SIAMINI LABDA MTU LIMBUKENI ANAWEZA KUCHAGUA RAISI 100% KIBARAKA
Wewe ndie utakuwa huna akili timamu.Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU