CreativityCode
Senior Member
- Aug 8, 2020
- 158
- 653
- Thread starter
-
- #81
Yaonekana madaraja na barabara vinakuchanganya. Toka nje ukajifunze ili upate ufahamu wa maendeleo halisi utajua hujui lolote.Wewe ndie utakuwa huna akili timamu.
Bora ujivunie cha kwenu!!Yaonekana madaraja na barabara vinakuchanganya. Toka nje ukajifunze ili upate ufahamu wa maendeleo halisi utajua hujui lolote.
Exactly yaani Mimi mwenyezi Mungu hajanipa akili za kuchezea kiasi cha kumchagua mtu aliyeshindwa kuajiri miaka mitano , kupandisha mishahara , madaraja , aliyesababisha watu kupotea ,kutekwa ,kuuwawa , aliyedhulumu hell za wastaafu , rambirambi za tetemeko la Kagera , aliyebomolea watu nyumba zao , aliyefunga watu kwa kuwaonea aliyefunga watumishi kisa vyeti feki huku mwenywe ana feki , yaani yapo mengi sana niishie happy kwa uchache .Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU
Kiukweli ukiachana na wapiga mayowee wanaoganga njaa ili japo wateuliwe wapate ajira sioni kama kuna mpumbavu atamchagua huyu jamaa aliyezamisha nchi kwenye machafuko na umaskini mkubwa.Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU
Ukipata nafasi ya kukutana Magufuli muulize MIGA ni nini? Kisha muulize kwanini hatumii mkataba wa twiga kujipatia ujiko wa kumpatia kuraLissu mzee wa MIGA huwezi kumfananisha na aliyetibiwa St Thomas.
Hahitaji kutumia mkataba wa Twiga kuombea kura. Ushujaa wake ni mkataba tosha wa kumpa kura.Ukipata nafasi ya kukutana Magufuli muulize MIGA ni nini? Kisha muulize kwanini hatumii mkataba wa twiga kujipatia ujiko wa kumpatia kura
Huo ndo ushujaa? Yaani mtu kufanya kazi na kutumia mamlaka aliyopewa ni ushujaa?mkuu upo serious au wewe ni miongoni mwa wale wasio na akili?Hahitaji kutumia mkataba wa Twiga kuombea kura. Ushujaa wake ni mkataba tosha wa kumpa kura.
Nenda katafute taarifa duniani ni wapi ambapo Makontena ya mchanga yamezuiwa yasipande melini kwa Amri ya rais.
Uhuru,haki na maendeleo yanafuata.Angalau unavyo vya kutaja vya Magu, vipi vya Lissu?
Wangapi wanapewa mamlaka makubwa na wanaishia kuwa vibaraka wa mipango ya mataifa makubwa ya Ulaya na marekani?.Huo ndo ushujaa? Yaani mtu kufanya kazi na kutumia mamlaka aliyopewa ni ushujaa?mkuu upo serious au wewe ni miongoni mwa wale wasio na akili?
Kwakweli ni wendawazimu kumpigiaSwali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU
Umemjibu muuzi vizuriMkuu, Kodi ya Kireativiti, kabla ya kujibu swali lako, pitia hoja hizi
Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!
Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!
Kama umezipitia na una akili timamu, hakuna mtu Mtanzania mzalendo mwenye akili timamu, ataacha kumchagua Dr John Pombe Magufuli!.
Tarehe 28 ni kazi moja tu, unachukua, unaweka...
P
Kwa sababu Tanzania Ina watu wengi wa aina yakoWangapi wanapewa mamlaka makubwa na wanaishia kuwa vibaraka wa mipango ya mataifa makubwa ya Ulaya na marekani?.
Pole mkuu.Kwa sababu Tanzania Ina watu wengi wa aina yako
Mkuu, Kodi ya Kireativiti, kabla ya kujibu swali lako, pitia hoja hizi
Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Magufuli is Doing Good For This Nation, Tumuassess kwa Positive Attitude, Kwa Mazuri Tumpongeze, Tumuunge Mkono Kumsupport, lakini kwa Mabaya Tumkosoe
Magufuli is Getting Better and Better, He is Changing for The Better!. Hongera Sana!
Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!
Kama umezipitia na una akili timamu, hakuna mtu Mtanzania mzalendo mwenye akili timamu, ataacha kumchagua Dr John Pombe Magufuli!.
Tarehe 28 ni kazi moja tu, unachukua, unaweka...
P
Kwanza pole!, pili dalili za udikiteta ni jambo moja, na Udikteta halisi ni jambo jingine!.SASA IKIWA NAWE LICHA YA KUWA VICTIM WA UKANDAMIZAJI WA KUJIELEZA NA KUHOJI UTAMCHAGUA JOHN MAGUFULI RAIS MWENYE KILA DALILI ZA UDIKTETA UNATUVUNJA MOYO.