mambio
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 2,668
- 3,428
Sawa tukubaliane hivyo hivyo kuwa wachezaji ni wale wale ila kocha ni tofauti.Wachezaji walewale
Usichanganye - kama focus ni siasa, basi focus kwenye siasa… wabunge, wenyeviti wa chama, makatibu, watendaji, na nafasi zote za siasa ni walewale
Tatizo mnajipiga chenga wenyewe… hamko clear mnataka nini
Change iliyopo haizidi hata 10%
We need to go deeper kama Kweli tuko serious
Or else kelele ni justification ya kushindwa kutoa solutions na kuanza kulaumu wenhkne
Mtikila alikua ahead of his generation
Kocha aliyepita mimi namuona alikuwa bora kuliko wenzake wengine.
Kosa alilofanya ni kudhani anaweza kupata ushindi akiwa na team ileile.
Km angestuka na kuanzisha team yake angeng'ara zaidi.
Tuachane na hayo tudeal na yajayo.
Tunatokaje kwenye mkwamo huu?