Swali Fyatu: Kwani Tatizo Gani Wameweza Kulitatua Likaisha?

Swali Fyatu: Kwani Tatizo Gani Wameweza Kulitatua Likaisha?

Mliozaliwa 2000 mtasema hivyo,Ila huko nyuma lami ilikua Hadith ya kusadikika,Leo ndoto imetimia,Arusha mpaka mtwara kwa taxi
Wewe una shida kwenye kutafakari, suala la lami bado hawajakamilisha, sehemu kubwa ya nchi hii barabara bado ni za vumbi, au wewe unaishi mijini tu?
 
Hakuna jambo lolote lile

Elimu Bure - hakuna Walimu ,vyoo, madarasa

Kikokotoo ndio balaa

Mikopo elimu ya juu Nako janga

BRN haikuleta impact yoyote Ile

Bima ya afya Kwa wote nalo janga jipya.

CCM HAWANA JAMBO HATA MOJA LA KUJIVUNIA YAANI HAKUNA

UMEME, MAJI, AFYA NDIO MIAKA 60 YA UHURU BADO HALI TETE.

FOR 60 GOOD YEARS TUNAENDA MBELE TUNA RUDI NYUMA
Upo sawa kabisa
 
Nilitoka tabora mpaka geita,nikipita kwenye lami,Mimi ngosha,mdanganye mwingine
We jamaa una kichwa kizito sana, nchi sio barabara za kuunganisha mikoa tu, kuna wilaya na wilaya, tarafa na tarafa n.k.
Kwa kifupi suala la barabara bado ccm hawajafikisha hata 25%
 
We jamaa una kichwa kizito sana, nchi sio barabara za kuunganisha mikoa tu, kuna wilaya na wilaya, tarafa na tarafa n.k.
Kwa kifupi suala la barabara bado ccm hawajafikisha hata 25%
Yaani lami tarafa kwa tarafa!?..we punguani kweli,hata marekani Kuna barabara za vumbi,halafu manyoni ni wilaya na singida pia,ila zimeungwa kwa lami
 
Wewe una shida kwenye kutafakari, suala la lami bado hawajakamilisha, sehemu kubwa ya nchi hii barabara bado ni za vumbi, au wewe unaishi mijini tu?
Ndiyo maana niliwataja watoto wa 2000,mlokuta lami,sisi wengine lami ilikua hadithi,zimejengwa tunajua CCM wamefanya kitu,1km ya lami ni $1m
 
Back
Top Bottom