Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Vijana watoto wa wenyeviti wa ccm mnasifia tu hata kama mmelala njaaNilitoka tabora mpaka geita,nikipita kwenye lami,Mimi ngosha,mdanganye mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana watoto wa wenyeviti wa ccm mnasifia tu hata kama mmelala njaaNilitoka tabora mpaka geita,nikipita kwenye lami,Mimi ngosha,mdanganye mwingine
Hata wizi wa kura? Hili walianzisha na wakalifanya vizuriHakuna jambo lolote serikali ya ccm imewahi kulianzisha likafanya vizuri HAKUNA. YAANI HAKUNA.
Wewe una shida kwenye kutafakari, suala la lami bado hawajakamilisha, sehemu kubwa ya nchi hii barabara bado ni za vumbi, au wewe unaishi mijini tu?Mliozaliwa 2000 mtasema hivyo,Ila huko nyuma lami ilikua Hadith ya kusadikika,Leo ndoto imetimia,Arusha mpaka mtwara kwa taxi
Upo sawa kabisaHakuna jambo lolote lile
Elimu Bure - hakuna Walimu ,vyoo, madarasa
Kikokotoo ndio balaa
Mikopo elimu ya juu Nako janga
BRN haikuleta impact yoyote Ile
Bima ya afya Kwa wote nalo janga jipya.
CCM HAWANA JAMBO HATA MOJA LA KUJIVUNIA YAANI HAKUNA
UMEME, MAJI, AFYA NDIO MIAKA 60 YA UHURU BADO HALI TETE.
FOR 60 GOOD YEARS TUNAENDA MBELE TUNA RUDI NYUMA
We jamaa una kichwa kizito sana, nchi sio barabara za kuunganisha mikoa tu, kuna wilaya na wilaya, tarafa na tarafa n.k.Nilitoka tabora mpaka geita,nikipita kwenye lami,Mimi ngosha,mdanganye mwingine
Yaani lami tarafa kwa tarafa!?..we punguani kweli,hata marekani Kuna barabara za vumbi,halafu manyoni ni wilaya na singida pia,ila zimeungwa kwa lamiWe jamaa una kichwa kizito sana, nchi sio barabara za kuunganisha mikoa tu, kuna wilaya na wilaya, tarafa na tarafa n.k.
Kwa kifupi suala la barabara bado ccm hawajafikisha hata 25%
Ndiyo maana niliwataja watoto wa 2000,mlokuta lami,sisi wengine lami ilikua hadithi,zimejengwa tunajua CCM wamefanya kitu,1km ya lami ni $1mWewe una shida kwenye kutafakari, suala la lami bado hawajakamilisha, sehemu kubwa ya nchi hii barabara bado ni za vumbi, au wewe unaishi mijini tu?