Swali Fyatu: Kwani Tatizo Gani Wameweza Kulitatua Likaisha?

Sawa tukubaliane hivyo hivyo kuwa wachezaji ni wale wale ila kocha ni tofauti.
Kocha aliyepita mimi namuona alikuwa bora kuliko wenzake wengine.
Kosa alilofanya ni kudhani anaweza kupata ushindi akiwa na team ileile.
Km angestuka na kuanzisha team yake angeng'ara zaidi.
Tuachane na hayo tudeal na yajayo.
Tunatokaje kwenye mkwamo huu?
 
I don’t disagree with you…

But I would like to challenge… kama kikosi imara kinasukwa na kocha imara…. Je tunalaumu kikosi au kocha?

Hasa ukizingatia kwamba kikosi kilisukwa Kitemi sana

Take home: tuweke siasa pembeni…. Utaona changes kubwa kwenye maendeleo ya nchi yetu
 
Ongeza ripoti ya CAG huleta mambo yaleyale kila mwaka na hakuna hatua inayochukuliwa
 
Nakazia kua hakuna.mambo ambayo tunaangaika nayo sasa yalitakiwa yawe yamekwisha fanyika yakasahaulika kama changamoto miaka 20,30 baada ya kupata uhuru.Lakini utashangaa yale ambayo aliyaorodhesha Mwl.Nyerere kama maadui bado yapo na yameongezeka mengine.Sasa kama yale ya Nyerere tu yamewashinda nini watakiweza.Ata wakiwepo miaka elfu bado hawatakua na jambo lakustaajabisha.Yatakua haya haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini uone watu fulani ndio wakuweza kuleta mabadiliko na sio wewe?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🎯

Tukifanikiwa kudefine UJINGA kWa muktadha mzima…. Na kupambana naye, tutakua tumeua 80% ya dhiki zetu
 
Kwanini uone watu fulani ndio wakuweza kuleta mabadiliko na sio wewe?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunahitaji watu wenye nguvu ya ushawishi kutuunganisha kwa umoja.
Mimi uwezo wangu unaishia kwa baadhi ya wanafamilia yangu na wengine mmoja mmoja.
Sina platform ya kufanya zaidi.
 
Kha..usinisingizie..unajua kwanini Kiwira ilirudishwa...au hata hukumbuki tulianza lini. Search humu Jina langu na Mada za Mkapa...
 
Ukosefu wa usimamizi mzuri wa ilani za chama ndiyo lawama zote zinadondokea CCM inastahili kuzipokea , itakuja wakati atatokea kiongozi mkali Kwa vitendo na mwenye utu (nakala ya Hayati JPM +) aupige Chini mfumo wa kujuana/kulindana uliopo ndani ya chama na kukigeuza juu Chini kisha kufuma upya hapo hakika kadhia zote hizi za sukati, umeme , maji, Miundombinu , ustawi wa jamii, na mengine vitakwisha kabla jogoo kuwika.
 
Rudi CHADEMA. Mwenzako Dr. Slaa anazidi kujisogeza ofisi mpya za Mikocheni

johnthebaptist
 
Kha..usinisingizie..unajua kwanini Kiwira ilirudishwa...au hata hukumbuki tulianza lini. Search humu Jina langu na Mada za Mkapa...
Kwanini baada ya JK Ukaunga mkono saba JPm. Lkn baada ya kuja dkt Samia ukarudia kama enzi za Jk. Ccm sio ndio hio hio?
 
Mhh hata kamchezo ka shwaru? Mbona uku km wabobezi
Yaani hawana jambo lolote la maana

Umeme shida
Nida shida
Elimu shida
Afya shida
Barabara mbovu
Sukari shida

Hawana kit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…