Swali Fyatu: Kwani Tatizo Gani Wameweza Kulitatua Likaisha?

Mpunga mliopewa kama cha juu na awamu ya tano uliwafanya mkatamba sana, bahati mbaya ahadi mlizotimiziwa ni asilimia 0.0005
 
CCM ni mavi matupu, hakuna kitu imefanya ambacho itasimama ijivunie, kitu pekee labda wanaweza kujivunia ni kuzalisha kizazi cha vijana machawa ambao kaz yao ni kupambania matumbo yao na ahli zao. Miaka 63 ya Uhuru bado kila kitu ni tatizo, kuanzia umeme, maji, upatikanaji wa bidhaa muhimu ebu semeni nini tumefanikiwa? Taja moja tu
 
Mzee wewe ni miongoni mwa watu waliotuingiza chaka kwa JPM... ccm was supposed to go to the dustins
 
Niliwahi kuambiwa na kiongozi wa serikali eti Mambo ya serikali huwa hayaishi.
 
Watanzania pia wajue kama wakosoaji ni wale wale, wenye ukosoaji ule ule, wakikabili makosa yale yake kwa namna ile ile wanastahili kupewa nafasi za kukosoa tena?AU watafutwe wakososaji wengine ili tupate watawala wengine?
 
Umepita lini barabara ya Dodoma Hadi Mwanza?
Tuanzie hapo kwanza
Si unaona ulivyo mjinga, barabara ya dodoma-manyoni-singida-igunga-nzega-shinyanga ilikamilika kujengwa 2005,ilianza 2001,nimepita hiyo njia kila mwaka ikiwa vumbi mpaka Leo lami,igunga nzega kipande kilichochakaa zaidi kilifanyiwa ukarabati 2019-21,nzega-shinyanga ni lami ya mfano hata madereva wanaipenda,singida-manyoni-dom Pako poa kabisa
 

Unaweza kuniita vyovyote unavyotaka na haunisumbui.

Barabara zimeanza kusumbua tokea zinajengwa ukarabati tulianza awali kabisa.

Namie napita Kila mwaka sio zaidi ya Mara moja, nnachokisema nakifaham.

Ubora wa hiyo barabara unategemea mkandarasi Gani alipewa kufanya kazi.

Unaongelea nzega, mbona hausemi Kibigiri hadi Igunga?

Kwa kuongezea, mjinga sio kitu kibaya.
 
Bahati nzuri kwao tayari walishajenga mfumo wa chama kimoja kwa kutuletea demokrasi feki,wananchi hatuna sauti wala mamlaka ya kuwawajibisha.
 
Napita Mara kwa mara,nimekwambia igunga inafanyiwa ukarabati
 
Na. M. M. Mwanakijiji

....nashindwa kuzungumzia mafao ya wazee/wastaafu
Hapa hujawatendea haki, suala la mafao/ustaafu limepatiwa suluhu!

Ni ile sheria ya kuwalipa watu waliopendana mmoja akawa kiongozi , wakiita sheria ya mafao ya wenza

Suluhu ipo, tafuta sheria na waulize wenza wa Viongozi.
 
Habar yako bwana Lugusi
 
Wameweza kuondoa umasikini kwenye familia zao, wanazo nyumba Dar, Dubai, Cape Town, Hong Kong na Dodoma. Nyerere alikuwa na kijumba chake cha kiualimu pale Mwitongo na nyumba Msasani.
 
Ccm ni ile ile ooh ni ile ile
 
Wameweza kuondoa umasikini kwenye familia zao, wanazo nyumba Dar, Dubai, Cape Town, Hong Kong na Dodoma. Nyerere alikuwa na kijumba chake cha kiualimu pale Mwitongo na nyumba Msasani.
Na kuongeza watoto wa maskini wadangaji na wanaojiuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…