fungi6
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 287
- 267
Ili limekua likinikumba mno nakujikuta naduwaa nakubaki nangata lips kwa nguvu nikiwaza
Nimekua nikiulizwa maswali mno na watoto nyumbani, ila maswali mengine nimekua nikiishia kugoogle maana majibu nakua nakosa, na ili nisionekane sijajibu swali uwa na mimi nawauliza maswali magumu niliyo jiuliza at age of 20's 😎 japo nawakomaza ila nikuweka ubora wasinione mzembe😑
Ila leo jioni hii nimekutama na swali ambalo kwa kweli ninaomba msaada kwa wana jamvi mtoto kaniuliza
"Je hivi sasa mtu akiwekwa sayari ingine akiwa yeye na mwenzie mdada au mkaka wataweza fanya haya yafanyikayo duniani sasa ikiwa pamoja na kutengeneza nyumba nzuri nguo, chakula, kujua wanyama yupi wakufugwa na yupi hafai kufugwa, kipi chakula kipi sumu, lipi jiwe lipi dhahabu au kito chochote?
Bila kupata elimu yoyote kwa mtu yoyote wa dunia hii!!! 😐
Kweli nimemwambia nitakuja na jibu badae acha nipumzike nimechoka ila sijachoka wala nini ila nimeona nikimjibu vibaya nitatengeneza nabii wa uongo apo badae
NB, kwa wenye watoto tu kama hauna basi soma tu majibu usijibu...
Ni swali gani gumu ulishawahi kuulizwa na mtoto mdogo na ukashindwa kulijibu!
......
Kwa mfano:Baba unakitambi afu mpo mezani mnajiandaa kula mtoto anakuuliza "Dady na tumbo lote ilo bado unataka kula tena?"
😠😠
......
Huwa mnawajibu vipi?