Swali gani gumu ulilowahi ulizwa na mtoto mdogo?

Swali gani gumu ulilowahi ulizwa na mtoto mdogo?

siku mtoto akauliza huku akilia,why you and mom dont been together,why everytime i see you my mother go?why dnt you stay together?why dont you hug, everyday i see you mom go,or mom just come to pick me then you go WHY? aisee nikamwambia ngoja nikala kona kwenda kutoa mchozi kwanza pembeni namimi maana lile swali ilikua km bomu nimetupiwa,jibu nililokuja nalo ni muulize mamaako kwamba nini maana ya separation😎
Hayo Ni maswali ambayo mtu anayetaka kuingia kwenye ndoa anapaswa kutafikiria Sana na pia mtu anayetaka kumpa talaka mwenzake.

Tunawatesa Sana watoto psychologically

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku mwanangu wa miaka 3 aliniuliza mama mtoto katoa wapi,,nikamjibu tumenunuwa hospitali,,,,hiyo ni baada ya mke wngu kujifunguwa mtoto wa pili,,,,baada ya miezi kama mitatu akaniuliza tena BABA lini mama atanunuwa MTOTO MWINGINE...Duu.... tena kauliza mbele za WAGENI...jasho lilinitoka,,,halafu watoto wa kike ndy wanakuwa na MANENO SN...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdogo wangu alipata mtoto so alikuwa haishi na baba wa mtoto huyo. Miaka ikasonga baadae akapata mchumba ambae kwa sasa wa naishi wote. Huyo mtoto akaanza kumuita huyu mwanaume baba. Anampenda kweli.

Siku moja mtoto huyo anacheza na baba yake mpya swali la kwanza.

1: hivi kweli wewe ni baba? Shemeji akajibu ndio.akamuuliza tena

2: kama wewe ni baba mbona Mimi na mama chiku nyingi tulikuwa tunalala peke yetu? Shemeji kimya, akamuuliza tena

3: chiku jote ulikuwa WAP?

Hapa mama yake mtoto ambae ni mdogo wangu alikuwa nje anapika. Akivyomsikia fasta akamuita njoo haraka sana.maswali yakaishia hapo.

Mdogo wangu akanipigia tulicheka sana sio kwa maswali Yale😀😀
 
Maswali mazuri.
 
Dogo wa miaka 5 aliniuliza kaka mungu si mmoja tu? Nikaona swali rahisi nikajibu ndio mungu ni mmoja, ile sijakaa sawa nikaulizwa lingine mbona sisi hatuendi kanisani kila siku tunaenda msikitini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanao ana akili sana, nimecheka sana nawaza kwa umri wake kuanza kumuelezea aelewe

Sent using kidole gumba
 
Jana Tunapata kifungua kinywa kamjomba kakaniuliza kwa Nini kwenye chai maziwa inatumika sukari kidogo kuliko kwenye chai ya Rangi......... Kapo Class One....nikaambia kwa sababu maziwa Yana Natural sugars..... Akaniambia natural sugar ndo zipi nkamwambia sukari asili akaniambia sijakuambia unitafsirie ...nikacheka ...nkamwambia kunywa chai ukacheze
Haaa haaaa haaaa

Sent using kidole gumba
 
Ili limekua likinikumba mno nakujikuta naduwaa nakubaki nangata lips kwa nguvu nikiwaza

Nimekua nikiulizwa maswali mno na watoto nyumbani, ila maswali mengine nimekua nikiishia kugoogle maana majibu nakua nakosa, na ili nisionekane sijajibu swali uwa na mimi nawauliza maswali magumu niliyo jiuliza at age of 20's [emoji41] japo nawakomaza ila nikuweka ubora wasinione mzembe[emoji58]

Ila leo jioni hii nimekutama na swali ambalo kwa kweli ninaomba msaada kwa wana jamvi mtoto kaniuliza

"Je hivi sasa mtu akiwekwa sayari ingine akiwa yeye na mwenzie mdada au mkaka wataweza fanya haya yafanyikayo duniani sasa ikiwa pamoja na kutengeneza nyumba nzuri nguo, chakula, kujua wanyama yupi wakufugwa na yupi hafai kufugwa, kipi chakula kipi sumu, lipi jiwe lipi dhahabu au kito chochote?

Bila kupata elimu yoyote kwa mtu yoyote wa dunia hii!!! [emoji52]

Kweli nimemwambia nitakuja na jibu badae acha nipumzike nimechoka ila sijachoka wala nini ila nimeona nikimjibu vibaya nitatengeneza nabii wa uongo apo badae

NB, kwa wenye watoto tu kama hauna basi soma tu majibu usijibu...
Baba eti kuna watoto wananunuliwaga??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siku mtoto akauliza huku akilia,why you and mom dont been together,why everytime i see you my mother go?why dnt you stay together?why dont you hug, everyday i see you mom go,or mom just come to pick me then you go WHY? aisee nikamwambia ngoja nikala kona kwenda kutoa mchozi kwanza pembeni namimi maana lile swali ilikua km bomu nimetupiwa,jibu nililokuja nalo ni muulize mamaako kwamba nini maana ya separation😎
Duh

Sent using kidole gumba
 
Nina dogo wa kike ana 4years tunalala nae ndani kwenye chumba changu japo vitanda tofauti. Sasa nina kawaida kila asubuhi ninapojiandaa kwenda kazini lazma nioge pamoja na kujisaidia haja kubwa na ndogo, Choo kiko ndani ya chumba changu humohumo.

Siku hiyo niko chooni nasikia anamuuliza mama yake, Mama kumbe baba naye anakunyaga namuonaga kila siku asubuhi anaingia chooni

Tangu siku hiyo nikamhamisha dogo chumba
[emoji23][emoji23][emoji23]

Mkulima wa mahindi
 
Kuna siku mtoto wa miaka 12 aliniuliza swali ambalo hata wewe nikikuomba jibu baadhi sidhan kama mtapatia.
Swali, kaka hivi kila siku tunachota maji kisimani hayaishi kwa nini?
Nikamjibu kisima chini kuna chemchem ambazo zinatoa maji. Akasema ahaa nimeelewa akaongeza swali sasa je tusipo yachota yatajaa mpaka yaje juu ya ardhi??
Nikamjibu kitaalamu akaelewa!!
Ebu naomba jibu na wewe leo, ni kwa nn hivi visima ambavyo maji hupatikan mita kadhaa kwenda chini huwa havijaii mpaka juu akati ukiwa unachota unaweza ukateka maji zaidi ya tank kadhaa za maji???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakumbuka kuna siku nilikuwa na mtoto wa bro kipindi hicho yupo nursery tunaenda kununua luku kibandani

Sasa nimefika tu namwambia muuzaji nataka luku, akanijibu "mtandao unasumbua" me nikageuza niende sehem nyingine

Sasa dogo akashangaa mbona tumefika ti na kugeuza, akaniuliza "umeshanunua luku? Nikamwambia hapana,mtandao unasumbua.
Akaniuliza "mtandao ndo nini?" kwakweli nilishindwa kumjibu jibu ambalo atalielewa kwa level yake

Sent using My phone
 
Back
Top Bottom