guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,814
- 2,762
AhahahaDaah kajisikia huzuni kweli kama namuona asa ukamjibu vipi na baada ya kumjibu ajakusumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimwambia haya,nashukuru hajaniuliza tena
AhahahaDaah kajisikia huzuni kweli kama namuona asa ukamjibu vipi na baada ya kumjibu ajakusumbua
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Bichwa lazima liumeDogo wa miaka 5 aliniuliza kaka mungu si mmoja tu? Nikaona swali rahisi nikajibu ndio mungu ni mmoja, ile sijakaa sawa nikaulizwa lingine mbona sisi hatuendi kanisani kila siku tunaenda msikitini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hawa watoto ni Malaika trust me...!! KhaaDogo wa miaka 5 aliniuliza kaka mungu si mmoja tu? Nikaona swali rahisi nikajibu ndio mungu ni mmoja, ile sijakaa sawa nikaulizwa lingine mbona sisi hatuendi kanisani kila siku tunaenda msikitini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooo...!! MajangaaMama kumbe na dada anavaa pampasi za watoto mbona mkubwa? Nimemuamisha chumba halali tena na dada wakazi.
Sio kimtindo lina Mantiki kubwa sanaa...!!Juzi hapa dogo alikuwa anasikiliza redio,kulikuwa na taarifa kwamba dunia itagongwa na kitu gani sijui tarehe 29..sasa dogo akauliza papi hivi kwa mfano hii dunia ikigongwa na hicho kitu,ikatikisika, ikayumba,halafu ikadondoka,itadondokea wapi?..
Dah nikataka kujibu haraka haraka nikashtuka!...nikamwambia haiwezekani,acha kuuliza maswali ya kijinga..
Dogo akatulia kimya akawa mnyongee,ila baadae jioni nikawaza dizaini kama "swali la dogo lina mantiki kimtindo"
Ulishawahi Kula mnduku n mtamu??!!nulichoka sana[emoji12][emoji12]Ili limekua likinikumba mno nakujikuta naduwaa nakubaki nangata lips kwa nguvu nikiwaza
Nimekua nikiulizwa maswali mno na watoto nyumbani, ila maswali mengine nimekua nikiishia kugoogle maana majibu nakua nakosa, na ili nisionekane sijajibu swali uwa na mimi nawauliza maswali magumu niliyo jiuliza at age of 20's [emoji41] japo nawakomaza ila nikuweka ubora wasinione mzembe[emoji58]
Ila leo jioni hii nimekutama na swali ambalo kwa kweli ninaomba msaada kwa wana jamvi mtoto kaniuliza
"Je hivi sasa mtu akiwekwa sayari ingine akiwa yeye na mwenzie mdada au mkaka wataweza fanya haya yafanyikayo duniani sasa ikiwa pamoja na kutengeneza nyumba nzuri nguo, chakula, kujua wanyama yupi wakufugwa na yupi hafai kufugwa, kipi chakula kipi sumu, lipi jiwe lipi dhahabu au kito chochote?
Bila kupata elimu yoyote kwa mtu yoyote wa dunia hii!!! [emoji52]
Kweli nimemwambia nitakuja na jibu badae acha nipumzike nimechoka ila sijachoka wala nini ila nimeona nikimjibu vibaya nitatengeneza nabii wa uongo apo badae
NB, kwa wenye watoto tu kama hauna basi soma tu majibu usijibu...
Baada ya Babu yao kufariki, dogo wa miaka 6 akaniuliza “baba, Babu anakwenda wapi baada ya kufukiwa? Nikajibu: Ukitenda matendo yanayompendeza Mungu unakwenda Mbinguni. Ukiwa na matendo mabaya unakwenda motoni”. Nikajua nimejibu kwa ufasaha! Nikapigwa swali lingine “sasa Mbinguni si huku juu (akiwa anaonesha mawingu), sasa Babu mbona kafukiwa chini, kama alitenda matendo mazuri, anaendaje mbinguni? Kwa umri wake nikapata sana taabu kuelezea mtu anaendaje mbinguni.
Dogo wa miaka 5 aliniuliza kaka mungu si mmoja tu? Nikaona swali rahisi nikajibu ndio mungu ni mmoja, ile sijakaa sawa nikaulizwa lingine mbona sisi hatuendi kanisani kila siku tunaenda msikitini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hv baba bagamoyo ndo ugonjwa wa moyo[emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Watoto wana maswali magumu sana, kuanzia 0-13years ndiyo wakati wao wakuuliza kila kitu!!!
Mwanangu kuna siku aliuliza,Baba kwa nini hukusomea kazi ya Urais??? Uwe kama Magufuli?? Nikamwambia utasomea wewe,nikapigwa swali tena,ninunulie ndege,nikauliza ndege ipi, eti hiyo inayobeba watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafanyaje mapenzi mpaka mwanao anajua????? Labda kama unaishi maisha ya ukabwela mkuu chumba kimoja na sebule sababu ya maisha ila hili sio jambo zuri kabisaBaba huwa unafanyaga Nini na mama usiku Mana mama huwa analia Sana nikamjibu kuwa uyaone
kilicho akilini kitumie
Watoto hua wana akili sana ila akili zao hua zinaanza kua polluted na vitu tunavyo wa feed vichwani mwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwalimu wenu ni kilaza.Tulipokuwa kuna mwanafunzi alimwuliza swali mwalimu "kama dunia inazunguka kweli kwanini hii darasa haizunguki? "
Mwalimu akajibu nitaelezea somo lijalo.Somo lijalo hakuigusa tena hilo swali
Mama kumbe na dada anavaa pampasi za watoto mbona mkubwa? Nimemuamisha chumba halali tena na dada wakazi.
Hao waliojenga mlima Kilimanjaro hiyo barafu waliyoweka kule juu waliipata wapi?[emoji2089][emoji2089][emoji2089]