sarcomere1
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 334
- 643
Kweli aise, alimkatili sana mtoto, hofu yng hatauliza tena maswali,Wazazi mbona mnazingua kinyama!
Mnawaharibu watoto kuwajibu hivyo bora uje utafute jibu kama hujui..
Tena hayo ya kisayansi ya anga uwe unaniletea Mimi akikuuliza..
😂😂😂Nina dogo wa kike ana 4years tunalala nae ndani kwenye chumba changu japo vitanda tofauti. Sasa nina kawaida kila asubuhi ninapojiandaa kwenda kazini lazma nioge pamoja na kujisaidia haja kubwa na ndogo, Choo kiko ndani ya chumba changu humohumo.
Siku hiyo niko chooni nasikia anamuuliza mama yake, Mama kumbe baba naye anakunyaga namuonaga kila siku asubuhi anaingia chooni
Tangu siku hiyo nikamhamisha dogo chumba
Mheshimiwa Spika, majibu tafadhali [emoji23][emoji23]Mm mtoto wangu aliniuliza wakati naolewa na baba ake yy alikua wapi [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] hii nadharia ya jinsia ya Mungu inatia mashaka sana.
MmhBaba huwa unafanyaga Nini na mama usiku Mana mama huwa analia Sana nikamjibu kuwa uyaone
kilicho akilini kitumie
Dah kweli anayo desire nzuri mnoWatoto wana maswali magumu sana, kuanzia 0-13years ndiyo wakati wao wakuuliza kila kitu!!!
Mwanangu kuna siku aliuliza,Baba kwa nini hukusomea kazi ya Urais??? Uwe kama Magufuli?? Nikamwambia utasomea wewe,nikapigwa swali tena,ninunulie ndege,nikauliza ndege ipi, eti hiyo inayobeba watu
Sent using Jamii Forums mobile app
kwann na nono yako nyeupee?Kuna ile video ya tunda aliweka instagram ,mtoto anamwuliza tunda "kwanini wewe mweupe "?
Nilimzingua tu akacheze maana ningekurupuka ningeharibuUlijibu vipi hapo mkuu
Daah kajisikia huzuni kweli kama namuona asa ukamjibu vipi na baada ya kumjibu ajakusumbuaPacha wangu wa kike aitwae Doyi mwenye miaka mitatu alimuona Kaka yake wa miaka sita akikojoa wima,sasa nadhani alivutiwa na ule mtindo wa kukojoa wima badala ya kuchutama.
Akaiingiza vidole kwenye suruali yake na akajipapasa kwa kisha akaniangalia usoni huku akiwa na huzuni akaniuliza:
"Baba na mimi nitengeneze kama huyu(kaka yake) niwe nakojoa nimesimama."
Ahahahaha