Swali gani gumu ulilowahi ulizwa na mtoto mdogo?

Swali gani gumu ulilowahi ulizwa na mtoto mdogo?

Nina dogo wa kike ana 4years tunalala nae ndani kwenye chumba changu japo vitanda tofauti. Sasa nina kawaida kila asubuhi ninapojiandaa kwenda kazini lazma nioge pamoja na kujisaidia haja kubwa na ndogo, Choo kiko ndani ya chumba changu humohumo.

Siku hiyo niko chooni nasikia anamuuliza mama yake, Mama kumbe baba naye anakunyaga namuonaga kila siku asubuhi anaingia chooni.

Tangu siku hiyo nikamhamisha dogo chumba

na kabla ya hapo siku za nyuma kidogo nikiwa namgegeda mama yake usiku sana kumbe akawa anasikia, asubuhi akaniuliza "Usiku mama alifanyaje mpaka ukampiga, mbona alikuwa analia? nikaona ohooo hiki kitoto kishakuwa tatizo.
***** ha ha ha ngoja nimuhamishe dogo
 
Jana nimeulizwa kwa nini huyu mtu bado yupo madarakani?
1592575.jpg
 
bint yangu wa miaka mitano, shuleni kwao(Chekechea)wanafundishwa kiingereza siku ya Ijumaa, basi aliporudi nyumbani akaanza kunihesabia kwa kushika kidole kidogo cha mkono kuendea dule gumba"five,six,seven,eight,nine vidole vya mkono mmoja vikawa vimeisha akaniuliza baba mbona ten hamna kidole!?ikabidi nitulie kwanza kutafuta jibu.
Ili limekua likinikumba mno nakujikuta naduwaa nakubaki nangata lips kwa nguvu nikiwaza

Nimekua nikiulizwa maswali mno na watoto nyumbani, ila maswali mengine nimekua nikiishia kugoogle maana majibu nakua nakosa, na ili nisionekane sijajibu swali uwa na mimi nawauliza maswali magumu niliyo jiuliza at age of 20's 😎 japo nawakomaza ila nikuweka ubora wasinione mzembe😑

Ila leo jioni hii nimekutama na swali ambalo kwa kweli ninaomba msaada kwa wana jamvi mtoto kaniuliza

"Je hivi sasa mtu akiwekwa sayari ingine akiwa yeye na mwenzie mdada au mkaka wataweza fanya haya yafanyikayo duniani sasa ikiwa pamoja na kutengeneza nyumba nzuri nguo, chakula, kujua wanyama yupi wakufugwa na yupi hafai kufugwa, kipi chakula kipi sumu, lipi jiwe lipi dhahabu au kito chochote?

Bila kupata elimu yoyote kwa mtu yoyote wa dunia hii!!! 😐

Kweli nimemwambia nitakuja na jibu badae acha nipumzike nimechoka ila sijachoka wala nini ila nimeona nikimjibu vibaya nitatengeneza nabii wa uongo apo badae

NB, kwa wenye watoto tu kama hauna basi soma tu majibu usijibu...

Ni swali gani gumu ulishawahi kuulizwa na mtoto mdogo na ukashindwa kulijibu!
......
Kwa mfano:Baba unakitambi afu mpo mezani mnajiandaa kula mtoto anakuuliza "Dady na tumbo lote ilo bado unataka kula tena?"
😠😠
......
Huwa mnawajibu vipi?
 
Mtoto yupo mafundisho ya dini ya kikristo, kafundishwa mke mmoja na mme mmoja. Swali gumu likaja pale alipoambiwa huyu ni dada yenu. Duh swali likaja kwa mama yake, mama hivi baba ana mke mwingine? duh aisee akamwambia akija baba yenu muulize, dah ilibidi nipotezee tuu maana huyo alikuwa ni mtoto wa ujana, hakupewa ushirikiano wa jibu toka upande wowote
 
Nilimtembelea bro flani mtoto wake wa kiume uwa rafik yangu Sana nikakuta kanunuliwa toy kigari kipya kizuri ila kakitoa matairi yote kumuuliza mbona gari halina matairi alichojibu Sasa😄😄
"Et kwani umennulia wewe " nlichoka
 
Nina mtoto wa miaka minne ni mtundu sana sasa kila wakati mama yake humwambia unanisumbua. Sasa mwezi uliopita baada ya kuambiwa hivyo ilipidi amuulize mama yake "mama unaonaje si bora nife ili nisikusumbue?"
Mama yake kachoka mpaka leo.
duuuuh amaizing
 
Ukifa hauendi mbinguni. Mbinguni hadi Yesu akirudi.
Mbinguni sio Location; Mbinguni ni mtu ndani ya Yesu Ephesians 2 ukiisoma yote utafahamu, i suggest soma in English kama una neema ya kuelewa kiingereza. Hakuna Location inaitwa Mbinguni refered to a place in Biblical perspective.
 
Nyie ndio mnaokoteza vifunfu
Mbinguni sio Location; Mbinguni ni mtu ndani ya Yesu Ephesians 2 ukiisoma yote utafahamu, i suggest soma in English kama una neema ya kuelewa kiingereza. Hakuna Location inaitwa Mbinguni refered to a place in Biblical perspective.
 
Nyie ndio mnaokoteza vifunfu
Ni Sawa ndugu yangu; Sina shaka
mie nimesema; na wewe bado unayonafasi kama unapenda kujifunza; Ni mambo magumu kuelewa hasa kama Kuna vitu dini imepandikiza kwa muda mrefu.

Kiswahili na English ni changamoto ndugu yangu; Ndio maana wakati mwingine i Appreciate Muslim, wao waliletewa ikiwa kwenye Arabic. tofautti na sisi lazima turudi kwenye Lugha ya Asili.
 
Jana Tunapata kifungua kinywa kamjomba kakaniuliza kwa Nini kwenye chai maziwa inatumika sukari kidogo kuliko kwenye chai ya Rangi......... Kapo Class One....nikaambia kwa sababu maziwa Yana Natural sugars..... Akaniambia natural sugar ndo zipi nkamwambia sukari asili akaniambia sijakuambia unitafsirie ...nikacheka ...nkamwambia kunywa chai ukacheze
Sijakwambia unitafsirie hahahhaahah watoto bhn
 
Unalipa watu 100k?huo ni unyonyaji,wewe ni mkoloni mweusi.
Babu maisha yangu ya kawaida Sana na inawezekana hata robo hujanifikia Kama ninaweza kuajir watu kma nyiny 8 hapa mjin na kuwalipa 100k kwa mwez imagne life langu usimjaj mtu kwa comment yake hapo ndio mnafeli ndio maana nasema una mambo ya Dr mauki Mana kanikwaza Sana na mkewe Mariam nagonga wiki hi shenz kabisa na Nina mwambie aweke Sana watu maeneo ya sinza lazima nimgongee

kilicho akilini kitumie
 
Mzee mengi aliulizwa swali na Mtoto wake mdogo mmoja wa wale mapacha aliulza"baba kwanini Mungu hamuui shetani"..hahah lazima utoejibu lililoshiba
Hapa kama sio msomaji wa Neno utateseka; Ila Jibu ni Simple, Sema pia kwa Umri wake kumuelezea mpaka aelewe kwa level yake ni ngumu.

Mungu ni Mtoa uzima, Mungu si Muuaji; this is enough; Ila kwa Mtu mzima inabidi uende Deep umuonyeshe na Mifano
 
Back
Top Bottom