Killmonger
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,027
- 2,252
haha ukamjibu vipiJana tu nimeulizwa....
"Baba sisi tumetokea wapi! Tunazaliwa au tumeumbwa na Mungu? "
Nikamwambia sisi Binadamu tumezaliwa....... Akaniuliza tena Mbona Mchungaji Kanisani anasema sisi tumeumbwa na Mungu?haha ukamjibu vipi
hahaha ukampangaje dogoDogo baada ya kuskia tunapga story kuwa jamaa flani ni shoga, dogo kauliza shoga ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha very rightDogo wa miaka 5 aliniuliza kaka mungu si mmoja tu? Nikaona swali rahisi nikajibu ndio mungu ni mmoja, ile sijakaa sawa nikaulizwa lingine mbona sisi hatuendi kanisani kila siku tunaenda msikitini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vizuri umempa malaika wa Mungu heshima yake.Niliseti mipango ya kwenda kuchepuka mida ya saa mbili usiku.
Nikamuaga mama mtu, nikiwa natoka dogo akaniuliza "Baba unaenda wapi?" Nilinyong'onyea na kuchepuka sikwenda.
Kuna siku mtoto wa miaka 12 aliniuliza swali ambalo hata wewe nikikuomba jibu baadhi sidhan kama mtapatia.
Swali, kaka hivi kila siku tunachota maji kisimani hayaishi kwa nini?
Nikamjibu kisima chini kuna chemchem ambazo zinatoa maji. Akasema ahaa nimeelewa akaongeza swali sasa je tusipo yachota yatajaa mpaka yaje juu ya ardhi??
Nikamjibu kitaalamu akaelewa!!
Ebu naomba jibu na wewe leo, ni kwa nn hivi visima ambavyo maji hupatikan mita kadhaa kwenda chini huwa havijaii mpaka juu akati ukiwa unachota unaweza ukateka maji zaidi ya tank kadhaa za maji???
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukajibuje mkuu
Inawezekana kuna siku alishawahi kuwapiga DEO huyo.Sikutaka kuandika so many details kwa kilichoendelea ila kama mzazi lazima nilichukua hatua nyingine. Ila kubwa ilikua hyo ya kumuhamisha chumba
Wako chini, wanasubiri taraumbeta.😀😀😀😀Unakwenda wapi kiongozi? Ili siku nyingine nisijekosea swali hili tena? Vipi akina Musa na Ibarahim wako wapi mpaka sasa?
Amuitaji refa mkuuMama ananunua watoto toka soko la Mungu. Akaniomb nimpigie Mama yake simu akitoka kazini apitie soko la Mungu akamletee dada awe anacheza naye. Nilijisikia vibaya sana na nilipomuambia Mama yake akasema tuzae mtoto mwingine, hivyo tuko bize kwa sasa kwenye 10 X 8.
Yah kwa akili hizi kuna siku anaweza kuuliza swali likatuacha uchi woteInawezekana kuna siku alishawahi kuwapiga DEO huyo.
Bora tu umemuhamisha.
Osmosis