Swali gani gumu ulilowahi ulizwa na mtoto mdogo?

Swali gani gumu ulilowahi ulizwa na mtoto mdogo?

Mimi kuna anko wangu wa kiume siku iyo kidudu chake kilikua kimesimama sasa huwa namtania sana nikamwambia naona kitu mnara ha ha ha ha ha sasa yeye alikua anachukulia poa tu siku moja tumekaa sebuleni akawa amesimamisha si akaenda kwa baba yake na mama yake anawaonesha baba ona kitu mnara kitu mnaraaa nikatoka kimya kimya nikawaachia msala
 
Hahahahaa ww kisababishi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana Tunapata kifungua kinywa kamjomba kakaniuliza kwa Nini kwenye chai maziwa inatumika sukari kidogo kuliko kwenye chai ya Rangi......... Kapo Class One....nikaambia kwa sababu maziwa Yana Natural sugars..... Akaniambia natural sugar ndo zipi nkamwambia sukari asili akaniambia sijakuambia unitafsirie ...nikacheka ...nkamwambia kunywa chai ukacheze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka mie wakati ni mdogo na dada angu tulikuwa tunamuuliza baba maswali kuhusu nyota. Jioni saa 12 mpaka saa 2 tunakaa nae nje kwenye karo baba akiwa anasikiliza ka mkulima kake si tunaangalia angani tunamtwanga maswali kuhusu nyota as much as we want 🤣🤣🤣🤣🤣 na alikuwa anatujibu kwa kina sana maana ni mtu wa science!
 
Jana Tunapata kifungua kinywa kamjomba kakaniuliza kwa Nini kwenye chai maziwa inatumika sukari kidogo kuliko kwenye chai ya Rangi......... Kapo Class One....nikaambia kwa sababu maziwa Yana Natural sugars..... Akaniambia natural sugar ndo zipi nkamwambia sukari asili akaniambia sijakuambia unitafsirie ...nikacheka ...nkamwambia kunywa chai ukacheze
Hahaha apo kama uko uwanjani umekula red
 
Nina dogo wa kike ana 4years tunalala nae ndani kwenye chumba changu japo vitanda tofauti. Sasa nina kawaida kila asubuhi ninapojiandaa kwenda kazini lazma nioge pamoja na kujisaidia haja kubwa na ndogo, Choo kiko ndani ya chumba changu humohumo.

Siku hiyo niko chooni nasikia anamuuliza mama yake, Mama kumbe baba naye anakunyaga namuonaga kila siku asubuhi anaingia chooni

Tangu siku hiyo nikamhamisha dogo chumba
Mkuu utakuwa kauzu sana hadi mwanao ameshindwa kuimagine kwamba unakunyaga.

Cheka na wanao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi bwana nakumbuka kituko kimoja ... Nilikua nabadili nguo chumbani kwangu ( home kwa mzee lakini) nikiwa likizo nadhani ya form V. Sasa mdogo wangu wa pili akiwa na umri kama 5 au 6 hivi akaingia ( sikua nimefunga mlango) nikajifunika na nguo haraka lakini kumbe aliniona.
Akauliza kaka mbona bomba lako ni kubwa kuliko langu?

Asee sikuweza jibu lile swali hadi leo . Kwanza neno bomba sijui alilipata wapi!!!Sasa hivi dogo yupo chuo 2nd year.
 
Back
Top Bottom