Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Jibu swali kwa niaba yangu, zipo nchi ambazo watu wake walikataa Uhuru baada ya kuona mateso kwa walioupata.😲😅
Mkuu unatuaibisha dah!
Jibu swali.
Jibu swali kwa niaba yangu, zipo nchi ambazo watu wake walikataa Uhuru baada ya kuona mateso kwa walioupata.😲😅
Mkuu unatuaibisha dah!
Ili limekua likinikumba mno nakujikuta naduwaa nakubaki nangata lips kwa nguvu nikiwaza
Nimekua nikiulizwa maswali mno na watoto nyumbani, ila maswali mengine nimekua nikiishia kugoogle maana majibu nakua nakosa, na ili nisionekane sijajibu swali uwa na mimi nawauliza maswali magumu niliyo jiuliza at age of 20's 😎 japo nawakomaza ila nikuweka ubora wasinione mzembe😑
Ila leo jioni hii nimekutama na swali ambalo kwa kweli ninaomba msaada kwa wana jamvi mtoto kaniuliza
"Je hivi sasa mtu akiwekwa sayari ingine akiwa yeye na mwenzie mdada au mkaka wataweza fanya haya yafanyikayo duniani sasa ikiwa pamoja na kutengeneza nyumba nzuri nguo, chakula, kujua wanyama yupi wakufugwa na yupi hafai kufugwa, kipi chakula kipi sumu, lipi jiwe lipi dhahabu au kito chochote?
Bila kupata elimu yoyote kwa mtu yoyote wa dunia hii!!! 😐
Kweli nimemwambia nitakuja na jibu badae acha nipumzike nimechoka ila sijachoka wala nini ila nimeona nikimjibu vibaya nitatengeneza nabii wa uongo apo badae
NB, kwa wenye watoto tu kama hauna basi soma tu majibu usijibu...
Unaaanza kuleta itikad za kina Dr mauki sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unafanyaje mapenzi mpaka mwanao anajua????? Labda kama unaishi maisha ya ukabwela mkuu chumba kimoja na sebule sababu ya maisha ila hili sio jambo zuri kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ulipata tabu kueleza, sema nawe hujui.Baada ya Babu yao kufariki, dogo wa miaka 6 akaniuliza “baba, Babu anakwenda wapi baada ya kufukiwa? Nikajibu: Ukitenda matendo yanayompendeza Mungu unakwenda Mbinguni. Ukiwa na matendo mabaya unakwenda motoni”. Nikajua nimejibu kwa ufasaha! Nikapigwa swali lingine “sasa Mbinguni si huku juu (akiwa anaonesha mawingu), sasa Babu mbona kafukiwa chini, kama alitenda matendo mazuri, anaendaje mbinguni? Kwa umri wake nikapata sana taabu kuelezea mtu anaendaje mbinguni.
Ulikosea sana kumwambia swali la kijinga. Ni bora kusema hujuiJuzi hapa dogo alikuwa anasikiliza redio,kulikuwa na taarifa kwamba dunia itagongwa na kitu gani sijui tarehe 29..sasa dogo akauliza papi hivi kwa mfano hii dunia ikigongwa na hicho kitu,ikatikisika, ikayumba,halafu ikadondoka,itadondokea wapi?..
Dah nikataka kujibu haraka haraka nikashtuka!...nikamwambia haiwezekani,acha kuuliza maswali ya kijinga..
Dogo akatulia kimya akawa mnyongee,ila baadae jioni nikawaza dizaini kama "swali la dogo lina mantiki kimtindo"
hivyo vitoto vyao vinavyolala chumba cha peke yao ndio vina mabalaa si mchezo.sijajua vinapiga chabo,vinaona kwenye simu,au vinafundishwa na wadada wa kazi.Unaaanza kuleta itikad za kina Dr mauki sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kilicho akilini kitumie
Mkuu unakwama sanaa...!! Upuuzi unaofanya hauhusiani na Mauki hapa...Unaaanza kuleta itikad za kina Dr mauki sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kilicho akilini kitumie
Inabidi sasa jf iwe inapokea watu walio above 18 mkuu mwache tu kawakilisha anachofikiri mda mwingiMkuu unakwama sanaa...!! Upuuzi unaofanya hauhusiani na Mauki hapa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Babu maisha yangu ya kawaida Sana na inawezekana hata robo hujanifikia Kama ninaweza kuajir watu kma nyiny 8 hapa mjin na kuwalipa 100k kwa mwez imagne life langu usimjaj mtu kwa comment yake hapo ndio mnafeli ndio maana nasema una mambo ya Dr mauki Mana kanikwaza Sana na mkewe Mariam nagonga wiki hi shenz kabisa na Nina mwambie aweke Sana watu maeneo ya sinza lazima nimgongeeMkuu unakwama sanaa...!! Upuuzi unaofanya hauhusiani na Mauki hapa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wangu Niko katika mitandao miaka mingi Niko tangu Jambo forum ambayo wew huijui kabisa miaka hyo tunacheki porn Yahoo wew unafuta kamas kwenuInabidi sasa jf iwe inapokea watu walio above 18 mkuu mwache tu kawakilisha anachofikiri mda mwingi
Babu maisha yangu ya kawaida Sana na inawezekana hata robo hujanifikia Kama ninaweza kuajir watu kma nyiny 8 hapa mjin na kuwalipa 100k kwa mwez imagne life langu usimjaj mtu kwa comment yake hapo ndio mnafeli ndio maana nasema una mambo ya Dr mauki Mana kanikwaza Sana na mkewe Mariam nagonga wiki hi shenz kabisa na Nina mwambie aweke Sana watu maeneo ya sinza lazima nimgongee
kilicho akilini kitumie
Mdogo wangu Niko katika mitandao miaka mingi Niko tangu Jambo forum ambayo wew huijui kabisa miaka hyo tunacheki porn Yahoo wew unafuta kamas kwenu
kilicho akilini kitumie