Swali gani gumu ulilowahi ulizwa na mtoto mdogo?

Swali gani gumu ulilowahi ulizwa na mtoto mdogo?

binafssi katika vitu ambavyo siku ya kwanza nasikia vilinichanganya akilii kwamba siku naambiwa dunia duara sisahau mpaka leo.swali sasa inamaana kuna watu wanatembea kichwa juu chin wakati huo mm najua mvua ikinyesha inayesha dunia nzimaa😅😅😅
 
Nikiwa na miaka 5 au 6 hivi niliwahi kumuuliza mamangu mdogo " kwanini wanasema mimi ni mtoto wa fulani(nikamtajia jina la baba) wakati mimi najua ni mtoto wa mama" yule mama alicheka tu hata hakunipa jibu.
 
Hao waliojenga mlima Kilimanjaro hiyo barafu waliyoweka kule juu waliipata wapi?🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Nina dogo wa kike ana 4years tunalala nae ndani kwenye chumba changu japo vitanda tofauti. Sasa nina kawaida kila asubuhi ninapojiandaa kwenda kazini lazma nioge pamoja na kujisaidia haja kubwa na ndogo, Choo kiko ndani ya chumba changu humohumo.

Siku hiyo niko chooni nasikia anamuuliza mama yake, Mama kumbe baba naye anakunyaga namuonaga kila siku asubuhi anaingia chooni.

Tangu siku hiyo nikamhamisha dogo chumba

na kabla ya hapo siku za nyuma kidogo nikiwa namgegeda mama yake usiku sana kumbe akawa anasikia, asubuhi akaniuliza "Usiku mama alifanyaje mpaka ukampiga, mbona alikuwa analia? nikaona ohooo hiki kitoto kishakuwa tatizo.
 
Baada ya Babu yao kufariki, dogo wa miaka 6 akaniuliza “baba, Babu anakwenda wapi baada ya kufukiwa? Nikajibu: Ukitenda matendo yanayompendeza Mungu unakwenda Mbinguni. Ukiwa na matendo mabaya unakwenda motoni”. Nikajua nimejibu kwa ufasaha! Nikapigwa swali lingine “sasa Mbinguni si huku juu (akiwa anaonesha mawingu), sasa Babu mbona kafukiwa chini, kama alitenda matendo mazuri, anaendaje mbinguni? Kwa umri wake nikapata sana taabu kuelezea mtu anaendaje mbinguni.
Safi sana kwa huyo dogo!
Mnamzingua wakati anaona kabisa mnamzika babu yake chini then mnamwambia babu anaenda mbinguni😂😅

Za kuambiwa Changanya na zako..😇
 
Dogo wa miaka 5 aliniuliza kaka mungu si mmoja tu? Nikaona swali rahisi nikajibu ndio mungu ni mmoja, ile sijakaa sawa nikaulizwa lingine mbona sisi hatuendi kanisani kila siku tunaenda msikitini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana kwa dogo..

Watoto huwa wanakuja na pure intelligence ila akishachanganyikana ndo hivyo tena ubongo utamezeshwa midude ya ajabu mpaka apotee njia yake ya awali..!
 
Nina dogo wa kike ana 4years tunalala nae ndani kwenye chumba changu japo vitanda tofauti. Sasa nina kawaida kila asubuhi ninapojiandaa kwenda kazini lazma nioge pamoja na kujisaidia haja kubwa na ndogo, Choo kiko ndani ya chumba changu humohumo.

Siku hiyo niko chooni nasikia anamuuliza mama yake, Mama kumbe baba naye anakunyaga namuonaga kila siku asubuhi anaingia chooni

Tangu siku hiyo nikamhamisha dogo chumba
Umekaa ki kaksi sana ndugu mpk dogo anakuona hunyagi😂
Kagundua siri ya mtungi and the dingi is kunyaring..😜
 
Juzi hapa dogo alikuwa anasikiliza redio,kulikuwa na taarifa kwamba dunia itagongwa na kitu gani sijui tarehe 29..sasa dogo akauliza papi hivi kwa mfano hii dunia ikigongwa na hicho kitu,ikatikisika, ikayumba,halafu ikadondoka,itadondokea wapi?..
Dah nikataka kujibu haraka haraka nikashtuka!...nikamwambia haiwezekani,acha kuuliza maswali ya kijinga..
Dogo akatulia kimya akawa mnyongee,ila baadae jioni nikawaza dizaini kama "swali la dogo lina mantiki kimtindo"
 
Wazazi mbona mnazingua kinyama!
Mnawaharibu watoto kuwajibu hivyo bora uje utafute jibu kama hujui..

Tena hayo ya kisayansi ya anga uwe unaniletea Mimi akikuuliza..
 
Safi sana kwa huyo dogo!
Mnamzingua wakati anaona kabisa mnamzika babu yake chini then mnamwambia babu anaenda mbinguni😂😅

Za kuambiwa Changanya na zako..😇
Hahahahaha. Mkuu si ndo imani za dini inabyotuambia? Ila kwa umri wake ilibidi nimpotezee kwa story za hapa na pale.
 
Tulikwenda kumsalimia mzazi, watoto walimuona mtoto mpya na walimuona aunt yao mzazi. Tulipotoka waliamua kuulizana aunt alimbeba mtoto tumboni lakini yule mtoto aliingiaje tumboni?
 
Mkuu Hili jibu ni kwako halafu nitajibu la mtoto wako

Kuna wanyama kama kasa wakishataga mayai wanayatelekeza, watoto wakianguliwa nani anawaelekeza pa kuanzia? Nani anawaambia hiki ni chakula na hii ni sumu? Hakuna, lakini utawaona wakitoka tu moja kwa moja wanaelewa njia ya kwenda ni baharini na sio porini. Kwann?

Ni hivi Watu wawili kwenye sayari nyingine wakiwekwa lazima mazingira au nature iruhusu uwepo wao baada ya hapo vitu vingine vyote vitakuja kulingana na uhitaji.

Thamani ya kitu chochote inatokana na uhitaji. Mnyama wa kufugwa, matunda, chakula nk tunavithaminisha kulingana na uhitaji.

Ikiruhusu watazaliana na watakuwa na mahitaji halafu wataanza kuthaminisha vile wanavyohitaji. Muendekezo wake ndo utasababisha mpaka biashara zifanyike
n. K

Baada ya muda kutokana na mazingira watakuwa wamesha adupt. Haitakuwa kama huku kwa asilimia zote maana mazingira yanaweza yasifanane, na yakifanana matukio yanaweza yasifanane.
 
Back
Top Bottom