DadekiDogo wa miaka 5 aliniuliza kaka mungu si mmoja tu? Nikaona swali rahisi nikajibu ndio mungu ni mmoja, ile sijakaa sawa nikaulizwa lingine mbona sisi hatuendi kanisani kila siku tunaenda msikitini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha. Hapo sasa !!!Dogo wa miaka 5 aliniuliza kaka mungu si mmoja tu? Nikaona swali rahisi nikajibu ndio mungu ni mmoja, ile sijakaa sawa nikaulizwa lingine mbona sisi hatuendi kanisani kila siku tunaenda msikitini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulijibu vipi hapo mkuumbona sisi hatuendi kanisani kila siku tunaenda msikitini?
Hahaha noma sanaJana Tunapata kifungua kinywa kamjomba kakaniuliza kwa Nini kwenye chai maziwa inatumika sukari kidogo kuliko kwenye chai ya Rangi......... Kapo Class One....nikaambia kwa sababu maziwa Yana Natural sugars..... Akaniambia natural sugar ndo zipi nkamwambia sukari asili akaniambia sijakuambia unitafsirie ...nikacheka ...nkamwambia kunywa chai ukacheze
Mwanangu, kila unapoamka asubuhi mshukuru Mungu! Baba, Mungu yuko wapi?Ili limekua likinikumba mno nakujikuta naduwaa nakubaki nangata lips kwa nguvu nikiwaza
Nimekua nikiulizwa maswali mno na watoto nyumbani, ila maswali mengine nimekua nikiishia kugoogle maana majibu nakua nakosa, na ili nisionekane sijajibu swali uwa na mimi nawauliza maswali magumu niliyo jiuliza at age of 20's 😎 japo nawakomaza ila nikuweka ubora wasinione mzembe😑
Ila leo jioni hii nimekutama na swali ambalo kwa kweli ninaomba msaada kwa wana jamvi mtoto kaniuliza
"Je hivi sasa mtu akiwekwa sayari ingine akiwa yeye na mwenzie mdada au mkaka wataweza fanya haya yafanyikayo duniani sasa ikiwa pamoja na kutengeneza nyumba nzuri nguo, chakula, kujua wanyama yupi wakufugwa na yupi hafai kufugwa, kipi chakula kipi sumu, lipi jiwe lipi dhahabu au kito chochote?
Bila kupata elimu yoyote kwa mtu yoyote wa dunia hii!!! 😐
Kweli nimemwambia nitakuja na jibu badae acha nipumzike nimechoka ila sijachoka wala nini ila nimeona nikimjibu vibaya nitatengeneza nabii wa uongo apo badae
NB, kwa wenye watoto tu kama hauna basi soma tu majibu usijibu...
Ili limekua likinikumba mno nakujikuta naduwaa nakubaki nangata lips kwa nguvu nikiwaza
Nimekua nikiulizwa maswali mno na watoto nyumbani, ila maswali mengine nimekua nikiishia kugoogle maana majibu nakua nakosa, na ili nisionekane sijajibu swali uwa na mimi nawauliza maswali magumu niliyo jiuliza at age of 20's [emoji41] japo nawakomaza ila nikuweka ubora wasinione mzembe[emoji58]
Ila leo jioni hii nimekutama na swali ambalo kwa kweli ninaomba msaada kwa wana jamvi mtoto kaniuliza
"Je hivi sasa mtu akiwekwa sayari ingine akiwa yeye na mwenzie mdada au mkaka wataweza fanya haya yafanyikayo duniani sasa ikiwa pamoja na kutengeneza nyumba nzuri nguo, chakula, kujua wanyama yupi wakufugwa na yupi hafai kufugwa, kipi chakula kipi sumu, lipi jiwe lipi dhahabu au kito chochote?
Bila kupata elimu yoyote kwa mtu yoyote wa dunia hii!!! [emoji52]
Kweli nimemwambia nitakuja na jibu badae acha nipumzike nimechoka ila sijachoka wala nini ila nimeona nikimjibu vibaya nitatengeneza nabii wa uongo apo badae
NB, kwa wenye watoto tu kama hauna basi soma tu majibu usijibu...
daahBaada ya Babu yao kufariki, dogo wa miaka 6 akaniuliza “baba, Babu anakwenda wapi baada ya kufukiwa? Nikajibu: Ukitenda matendo yanayompendeza Mungu unakwenda Mbinguni. Ukiwa na matendo mabaya unakwenda motoni”. Nikajua nimejibu kwa ufasaha! Nikapigwa swali lingine “sasa Mbinguni si huku juu (akiwa anaonesha mawingu), sasa Babu mbona kafukiwa chini, kama alitenda matendo mazuri, anaendaje mbinguni? Kwa umri wake nikapata sana taabu kuelezea mtu anaendaje mbinguni.
dogo anakuhakiki😅😅Jana Tunapata kifungua kinywa kamjomba kakaniuliza kwa Nini kwenye chai maziwa inatumika sukari kidogo kuliko kwenye chai ya Rangi......... Kapo Class One....nikaambia kwa sababu maziwa Yana Natural sugars..... Akaniambia natural sugar ndo zipi nkamwambia sukari asili akaniambia sijakuambia unitafsirie ...nikacheka ...nkamwambia kunywa chai ukacheze