Hao wafaghnistan hata Alexandre great nasikia alichemsha,,wale wanafanya vita katika mafungu ya miaka mia mia,Huko Afghanistan itabidi akubali yaishe tu.. Majitu unayatandika sawasawa kesho ukiamka haya hapa..
Wataalamu wanaiita nchi ya Afghanistan, The Graveyard of Empires.Hao wafaghnistan hata Alexandre great nasikia alichemsha,,wale wanafanya vita katika mafungu ya miaka mia mia,
Wao na wayemen,,yaani wamebobea,,
Kule stan hii vita imeanza mtoto anazaliwa na sasa yuko Udsm bado inaendelea
Thanks comradeSawa kabisa Eastern Front ndiko kuliamua hatma ya vita ya pili ya dunia kwasababu Ujerumani alitumia asilimia 80% ya nguvu yake yote ya jeshi lakini akashindwa, hivyo The Great Patriotic War 1941 hadi 1945 ndiyo ilibadili mwelekeo wote wa vita ya pili ya dunia.
Japo sasa, kamwe huwezi kuzungumzia USSR bila kuzungumzia vita ya kwanza ya dunia (Haiwezekani)
Hadi Hitler anavamia USSR mwaka 1941 yote hii mzizi wake ulitokana na Mkataba wa Versailles wa mwaka 1919-1920 ambao ulivunja Mkataba wa Brest-Litovsk ambao ulimfanya Urusi aweke silaha chini na kukubali kumgawia Poland na nchi nyingine za Ulaya Mashariki.
Hivyo ndugu yangu, lazima ukumbuke kwamba matukio yote ya karne ya 20 hasa yale makubwa kama Vita ya Kwanza ya dunia, Vita ya Pili ya dunia, Vita Baridi, Mapinduzi ya Oktoba yamefungamana sana na huwezi kusema unadiriki kuyatenga hata siku moja.
Isis huwezi kuwaweka hapo, hao ni wahuni tu.Georgia 2008, Ukraine 2014 na ISIS 2015.
Huyo Isis unayesema mchovu Marekani na washirika wake kawatoa jasho.pasipo Urusi IS wangekuwa washateka Dunia yoteIsis huwezi kuwaweka hapo, hao ni wahuni tu.
Hata hao waliopigwa ni wachovu tu,
Hao ISIL unaosema ni wachovu walizivuruga nchi mbili (Iraq and Syria) na kushika maeneo yake makubwa ndani ya muda mfupi sana. Kama ISIS wangekuwa ni kikundi cha Wahuni sidhani kama wangeweza kushindana na Syria wala Iraq kama ambavyo walifanya. Kibaya zaidi ni kwamba kupambana na kikundi kama ISIS inahitaji utaalamu wa mkubwa wa kijeshi kuliko kupambana na majeshi ya kawaida.Isis huwezi kuwaweka hapo, hao ni wahuni tu.
Hata hao waliopigwa ni wachovu tu,
Assad mwenyewe alikuwa anawamudu hao wahuni ndio iwe Marekani ?Huyo Isis unayesema mchovu Marekani na washirika wake kawatoa jasho.pasipo Urusi IS wangekuwa washateka Dunia yote
Hawa Isil walikuzwa mno na propaganda ila hawakuwa na nguvu kiasi hicho.Hao ISIL unaosema ni wachovu walizivuruga nchi mbili (Iraq and Syria) na kushika maeneo yake makubwa ndani ya muda mfupi sana. Kama ISIS wangekuwa ni kikundi cha Wahuni sidhani kama wangeweza kushindana na Syria wala Iraq kama ambavyo walifanya. Kibaya zaidi ni kwamba kupambana na kikundi kama ISIS inahitaji utaalamu wa mkubwa wa kijeshi kuliko kupambana na majeshi ya kawaida.
Hivi hushangai kikundi kidogo kama Al Qaeda kilisababisha madhara makubwa kwa nchi ya Marekani ndani ya muda mfupi kuliko madhara ambayo Ufalme wa Japani uliyasababisha kwa Marekani kwenye vita ya pili ya dunia mwaka 1941 kule Hawaii. Wajapani walitumia ndege za kivita zaidi ya 100 na waliua wanajeshi wa Marekani kama 2000, lakini Al Qaeda wao walikuwa na ndege za kiraia 4 tu na wakaua watu 3000. Sasa unaposema ni kikundi cha wahuni nakushangaa.
Vikundi vya wanamgambo kama ISIS, Al Qaeda, Al Shabaab, FARC na Taliban hutumia mbinu za vita zisizo rasmi (Irregular Warfare) ambazo zimekataliwa na sheria za vita kama uuaji wa raia, ubakaji, utekaji, uharibifu wa mali, ugaidi, uzandiki na hujuma nyingine. Mipangilio yao huwa ya kisiri na huchangamana na raia wa kawaida kama watoto na wanawake ambao huwezi hata kuwahisi. Kitendo cha Urusi kuwavunja uti wa mgongo migambo wa ISIS kimethibitisha kwamba jeshi la Urusi siyo la mchezo.
Urusi alijifunza somo zuri sana la jinsi ya kukabiliana na makundi ya kigaidi baada ya kuona madhara ambayo hivi vikundi vinaweza kusababisha. Migambo wa Kiislamu wa kule Chechnya ambao walifandhiliwa na Marekani, walilipa jeshi la Urusi na Mashirika ya kijasusi uzoefu mkubwa mno wa kupambana na magaidi.
Nilijua nimimi tu ndio nauona hvyo aseee.....uzi bora kabisa jf
US kwanza angemalizana na TALEBAN ila baada kuona ngoma ngumu wakaona wakaechini wayajenge.....Assad mwenyewe alikuwa anawamudu hao wahuni ndio iwe Marekani.
Yaani Dunia ingetekwa na hao wahuni wanaotumia pickup? Acha utani bhana.
Ndio njia pekee iliyobaki ya kuleta amani ya kudumu, hivyo hakuna tatizo.US kwanza angemalizana na TALEBAN ila baada kuona ngoma ngumu wakaona wakaechini wayajenge.....
toka mwanzo walikua hawaijui hii njia ?!Ndio njia pekee iliyobaki ya kuleta amani ya kudumu, hivyo hakuna tatizo.
Itakuwa Isis wa chanika unaowasema wewe.ila sio ninaowajua mimi. izo ni IRAQ na Syria bado yemen, afghanistan na LibyaAssad mwenyewe alikuwa anawamudu hao wahuni ndio iwe Marekani ?
Isitoshe Assad aliwaruhusu wapate nguvu kama mkakati wake wa kuwatumia kuwavunja nguvu maadui zake na kuhamisha magoli,mbinu ambayo ilifanikiwa.
Yaani Dunia ingetekwa na hao wahuni wanaotumia pickup? Acha utani bhana.
Sasa walienda kufanya nini wakati njia ya Amani wanaijuaNdio njia pekee iliyobaki ya kuleta amani ya kudumu, hivyo hakuna tatizo.
hapo ss....Sasa walienda kufanya nini wakati njia ya Amani wanaijua
Hao wanaotembea na smg/ AK47 juu ya pickup walikuwa ni kama upepo mbaya tu kwa muda.Itakuwa Isis wa chanika unaowasema wewe.ila sio ninaowajua mimi. izo ni IRAQ na Syria bado yemen, afghanistan na LibyaView attachment 1490535
Hivi unaamini kabisa kwamba serikali ya Assad na wale Wakurdi wangeweza kupigana na ISIL bila msaada wa Urusi na Irani ?Hawa Isil walikuzwa mno na propaganda ila hawakuwa na nguvu kiasi hicho.
Ndo maana nikakwambia kuwa unaongelea Isis wa chanika, ila sio ninaowajua mimi.naona toyota wametoa pickup new modelHao wanaotembea na smg/ AK47 juu ya pickup walikuwa ni kama upepo mbaya tu kwa muda.
Ndiyo maana kwa sasa wamebaki historia.Ukiondoa propaganda hakuna cha zaidi walichokuwa nacho.