Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
Mkuu kwa heshima zote kwanza nadhani ni muhimu kubadili mwaka uloandika kuwa USSR ilizaliwa na tuweke 1922.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa fikra zangu, USSR haikuanguka kwa sababu ilikuwa dhaifu kiasi cha kuangushwa, la hasha. Yafuatayo yaweza kuwa yalisababisha.Ahsante sana mkuu,
Sasa kama Urusi alikuwa na nguvu nyingi zaidi ya hizi za leo kwanini alishindwa Vita Baridi ??
Katika mantiki hii unataka kuniambia kwamba Urusi ya zamani ilikuwa na nguvu kuliko Marekani ??
Sawa mkuu, nimefanya hivyo. Japo binafsi nina mtazamo wa tofauti kidogo.Mkuu kwa heshima zote kwanza nadhani ni muhimu kubadili mwaka uloandika kuwa USSR ilizaliwa na tuweke 1922.
Hapo mwisho utabiri wako uliuharakisha kidogo.Wataalamu wanaiita nchi ya Afghanistan, The Graveyard of Empires.
Dola la Makedonia walikwama kwenye milima ya Hindu-Kush, (330 K.B)
Dola la Muingereza nalo lilijaribu kupambana likakwama vibaya sana, (1838-1842)
Dola la Urusi ya Kisovieti walipambana kwa miaka 10 lakini wakakwama ,(1979-1989)
Dola la Marekani limeshakata pumzi tayari, sasa ni suala la muda tu, (2001-2020)
Mafanikio ya kukimbia kam walivokimbia somalia miaka ya 90 na wakaona wawatumie vibaraka wa AmisonWalienda kusambaratisha kambi za Alqaeda, Jambo ambalo walifanikiwa.
Niliharakisha wakati Marekani ameshaondoka Afghanistan tayari, AU umeamua kujisahaulisha mkuu! Mimi niliandika mwaka 2020 Marekani atasalimu amri, mwaka 2021 Marekani akasalimu amri na kuondoka, nilikosea mwaka moja tu. Teh teh teh teh....!!!Hapo mwisho utabiri wako uliuharakisha kidogo
Sana sana washirika wa Marekani hasa Saudia na baadhi ya nchi za ulaya zimeingia wasiwasi kuhusu hakikisho la Marekani kuwalinda..Niliharakisha wakati Marekani ameshaondoka Afghanistan tayari, AU umeamua kujisahaulisha mkuu! Hivi unafahamu madhara ya kisiasa, kiuchumi na kiusalama kwa Marekani na dunia nzima yaliyosababishwa na Marekani kuondoka Afghanistani kwa aibu namna ile ???
PICTURE ME ROLLIN............
Ulikuwa ni utani tuu bro, naelewa hiyo miezi sita kabla ilikuwa kwenye margin of error.Niliharakisha wakati Marekani ameshaondoka Afghanistan tayari, AU umeamua kujisahaulisha mkuu! Mimi niliandika mwaka 2020 Marekani atasalimu amri, mwaka 2021 Marekani akasalimu amri na kuondoka, nilikosea mwaka moja tu. Teh teh teh teh....!!!
Hivi unafahamu madhara ya kisiasa, kiuchumi na kiusalama ambayo yataikumba Marekani na dunia nzima kwa kuondoka kwake kwa aibu kule nchini Afghanistani ???? Teh teh teh
PICTURE ME ROLLIN............ 😎 😎
Bwana Chamoto, umeeleweka vizuri kabisa ndugu yangu.Ulikuwa ni utani tuu bro, naelewa hiyo miezi sita kabla ilikuwa kwenye margin of error.
Putin na Urusi yake wanapenda sana chokochoko...Bwana Chamoto, umeeleweka vizuri kabisa ndugu yangu.
Maneno haya nimemkumbuka marehemu Prof. Stephen F. Cohen. Kwenye kumbukumbu zangu (kama zipo sawa) alizungumza maneno kama haya.Russia was a global power even before Putin was born, before the soviet union placed the first man in space. And yes even before America was a country.....
Nilidhani kuanzisha vita ni jambo gumu kumbe ni rahisi sana. Mchezo ambao wanaoucheza Marekani+EU (NATO) ni wa hatari sana. Ni kama alivyosema Servei Lavrov ni kama unazungumza na bubu na kiziwi.Putin na Urusi yake wanapenda sana chokochoko...
Hili la Sasa huko Ukraine huenda likamalizika kwa Urusi kumega tena ardhi ya Ukraine
Dah!...Putin alitambua majimbo yaliyokuwa yakipigana na serikali ya Georgia na huenda yakamezwa na Urusi hapo baadae.Putin leo amefanya kikao na baraza la usalama nchini mwake. Moja ya mambo yaliyozungumziwa wana baraza waliyopendekeza ni Russia kuyatambua majimbo mawili yanayopambana na jeshi la Ukraine.
We dearly miss him, may his soul rest in peace.Maneno haya nimemkumbuka marehemu Prof. Stephen F. Cohen. Kwenye kumbukumbu zangu (kama zipo sawa) alizungumza maneno kama haya.
Nimejihisi na majonzi. Umerudisha kumbukumbu zangu za nyuma sana.
[emoji23] [emoji23] Subiri waje wakwamtongole humu wamekasirika balaaURUSI KACHEZA MCHEZO WA AKILI KUBWA MNO HII LEO:
Ametangaza kuyatambua majimbo ya Donbass (Lugansk and Donestky) kama nchi huru, kama ilivyokuwa Crimea mwaka 2014. Hii sasa ndiyo HYBRID-WARFARE, wanacheza na jeshi, diplomasia, siasa kwa pamoja. Marekani kawekwa kwenye mtego mbaya sana, maana nchi kama Uchina ikiyatambua haya majimbo, hata kama Marekani na washirika wake watagoma, kazi itakuwa imekwisha.
Lakini kubwa na la kuogopesha, ni kwamba kitendo hiki kitaipa uhalali nchi ya Urusi kuweza kupeleka vikosi vyake vya kijeshi kwenye yale maeneo ya Donbass, kwasababu tayari zimeshakuwa nchi huru. Hapa Marekani na Ukraine wakicheza vibaya tu, watapata tabu sana. Marekani anamchokonoa Uchina kule Taiwan, Hong-Kong na Xinjian sasa Uchina anaweza kuyatambua majimbo ya Donbass na ikala kwake.
Vladmir Putin, hate him or love him: The Dude is way ahead of his time.