Swali hili hii ni kwa wasomi wa na wabobezi wa dini ya Kikristo na sio washabiki

Mashariki ya kati bado hawana imani hata leo
 
Alafu wanavowachukia waarabu sasa utazani mitume na manabii walikua wazungu
 
Unapotaka kujifunza kitu unatakiwa kuwa open minded..

Usilazimishe vitu ambavyo unataka kuamini wewe. Mara
useme Romans awakufika M.E enzi hizo sasa how did the same Romans persecute Jesus kama hawakufika middle east .

Where is Turkey main resident ya Constantine? Kama Romans awakufika maeneo ya dini.

Mada Inasema inataka scientific arguments, wewe unaleta hadithi za blind support na kulazimisha facts unazotaka wewe. Maeneo ya waarabu unalazimizha yalikuwa na wazungu.

Anyway imani ni swala la mtu, mimi nilikuwa nachangamsha baraza tu.

Good morning 👋
 
إِنَّ اللَّهَ يُحِبُّ الَّذِينَ يُقَاتِلُونَ فِي سَبِيلِهِ صَفًّا كَأَنَّهُم بُنْيَانٌ مَّرْصُوصٌ

(ASS'AF - 4)
Kwa hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wanao pigana katika Njia yake kwa safu kama jengo lilio kamatana.
 
Wewe ndiye unatakiwa kujifunza na kutokulazimisha ujinga wako wa kutokujua Historia. Kwanza ujue kutofatutisha kati ye Middle East(M.E) na Uarabuni, Middle East sio eneo la Waarabu peke yao, Ukifika Israel, Uturuki, Cyprus au Iran hujafika nchi za Kiarabu. Misri ya Pharaoh na ya wakati wa utawala wa Warumi pia haikuwa nchi ya Kiarabu. Eneo kutokuwa la Waarabu haina maana lilikuwa la wazungu, Majority ya Wa-Iran ni Persians, Majority ya Waturuki ni Turkish na Kurds, usiwe na kichwa kigumu kama nazi kuelewa.
 
Wekeni vitu, Wekeni vitu ndugu zetu katika bwana na ndugu zetu waislam 😃😃
 
Kanisa ni mtu sio jengo mkuu. Jielimishe. Huko ulaya yapo makanisa mengi kwasasa ni misikiti au club za starehe. Mungu haji kwenye jengo anakuja ndani yako na Mungu unazungumza nae kupitia maandiko. Pale unaposema ni kanisa ni kusanyiko la waumin sio kanisa. Ndio maana cku ya hukumu kinachosomwa ni Biblia na wewe ulichotenda sio kanisa ulilotoka.
 
Kumbe baada ya kupokea WAHYI ndio Uislamu ukaanza?
Kwamba kabla ya ilo tukio hakukuwa na Uislam!!
Asante sana kwa kusema ukweli huu
Wenzio wa Kisiju wanasema ata Adam alikua Muislam.
 
Usifuatilie mambo yasiyokuhusu
Halafu unaishi kwa kukaririshwa kwamba ukristo ni RC, KKKT na Anglican
Wakristo tumegawanyika sana
Mfano kanisa kuu la mwamposa lipo kawe.....ufufuo na uzima ubungo.....mzee wa upako riverside
Kwa hiyo hilo swali lako waulize walengwa wa hayo madhehebu walokole hatuhusiki hapo 😁😁
 
HALAFU MBONA UNACOPY NA KUPASTE

MUHAMMAD ALIKUWA NABII BANDIA, HAKUWA MUISLAM, HAKUFUATA MILA, DESTURI NA SHERIA ZA KIISLAM​



Hebu tuanze moja kwa moja kwa ushahidi kuhusu huyu Mtume wa Allah aliyeitwa Muhammad.
Ningependa mfahamu kuwa, Mohammad s.a.w hajawahi kuwa Muislamu japo aliwaongoza Waislamu.
Kwa sababu: alikuwa na wake wengi (Quran 33:50) huku Waislamu wakitakiwa kuwa na wake 4 tu (Quran 4:3).
Alipokufa hakukamuliwa Ngama (kinyesi), huku Waislamu leo wanapokufa hukamuliwa Ngama (kinyesi).
Alipokufa aliagwa siku tatu huku Waislamu leo wanafichwa kama madawa ya kulevya wala hakuna kuagwa.
Aliamuru watu wapigane ndani ya mfungo wa ramadhani huku Qurani ikikataza vita yoyote katika mwezi mtukufu (9:5).
Alikuwa hajui kuandika wala kusoma (7:157) huku Waislamu leo wakiwa wanajua kusoma na kuandika.
Je huyu bado ni Muislamu?
Poleni sana Waislamu kwa kufuata Nabii Bandia.
Lakini Mitume wote wa Biblia waliongea na Mungu na hawakufanya huo uchawi wa Allah aka Jibril aka Muhammad incarnate.
1. Musa anoangea na Mungu: Kutoka 3:1-21. Muhammad hakuwai ongea na aliye mtuma.
2. Elia anaongea na Mungu: 1 Wafalme 19- Soma yote. Muhammad hakuwai ongea na aliye mtuma.
3. Paulo anaongea na Mungu: Matendo ya Mitume 18:9. Muhammad hakuwai ongea na aliye mtuma.
Hiyo ni mifano michache kutoka Biblia ina thibitisha sifa za kitume au Mtume.
MAANA YA NENO/JINA "MTUME"
Neno “mtume” lamaanisha mwanafunzi au mfuasi. Neno “mtume” la maanisha “mtu aliyetumwa”
SASA BASI, hakuna aya hata Moja katika Quran inayosema kuwa Muhammad aliwai ongea na Allah aliye mmpa Utume. Hivyobasi, huu utume wa Muhammad alipewa na nani? Maana Allah hakuwai mpa utume.
Kama Muhammad alikuwa Mtume wa Allah, kwanini hakufuata mila za Kiislamu?
 
umesoma au umekurupuka hebu kasome tena maana mm n imenakili tu
Sikusoma sana nilipo hona tu kuwa uislamu ndiyo utamwingiza mtu peponi moja kwa moja nikajua ni wale wapumbavu wa dini ile wanao toaga hiyo kauli ya kipumbavu hivyo moja kwa moja nikashusha nondo ...kumbe na wewe ulikuwa umenukuu upumbavu wa hiyo kauli
 
Kumbe baada ya kupokea WAHYI ndio Uislamu ukaanza?
Kwamba kabla ya ilo tukio hakukuwa na Uislam!!
Asante sana kwa kusema ukweli huu
Wenzio wa Kisiju wanasema ata Adam alikua Muislam.
🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu n pm kuna jambo nataka unisaidie kufafanua 🙏
 
Mimi sio mbobezi wa mambo ya dini ila kuna mengi ya kukusaidia, hayo uliyotaja ni maeneo/makanisa muhimu kihistoria kwa baadhi ya madhehebu ila hayana nafasi yoyote ya upekee kiibada ndani ya mkristo.

Yohana 4:20, 21, 23
Yesu akamwambia, Mama, unisadiki, saa inakuja ambayo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala kule Yerusalemu.

Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.


Mungu anataka watu wamwabudu katika roho na kweli, maana yake ili umwabudu Mungu sawa sawa ni lazima uikubali kweli ya Mungu na una mahusiano naye kama Baba yako na uiachilie roho iliyo ndani yako kumpa Mungu sifa na utukufu anaostahili.

Hii haihitaji kuyajua hayo makanisa makubwa/muhimu katika madhehebu ya kikristo, popote ulipo Mungu aweza kuitikia ibada yako.

Matendo 10:35, 36
Petro akafumbua kinywa chake, akasema, Hakika natambua ya kuwa Mungu hana upendeleo;
bali katika kila taifa mtu amchaye na kutenda haki hukubaliwa na yeye.
 
Hili la tanganyika na kuongea kingereza sijui ndio kizungu umetupiga mzee
Mkoa gani huo katika hio nchi wanaongea kizungu?
 
Mkuu unaruka swali Kama Jesus kazaliwa Israel au Palestine kwanini makanisa makuu yapo mbali na asili ya ukristo.

Nipo kujifunza
Pamoja na kuwa dini zote ni utapeli lakini hapa ndipo most of the Christians do their pilgrimage, ndilo kanisa lililo center yao kiimani bila ya kuangalia denominations zao na utafauti wake.
 
Ni mythology za Waarabu au watu wa middle east(Arabs, Persians and Jews) kwa ujumla wao ndiyo maana kukawa na versions tofauti tofauti lakini inaonekana source ni moja(yaani story yote ilikuwa crafted na mtu mmoja au kundi moja).
Ukiangalia wote Adam & Eve ndiyo mwanzo wa story zao na story akaanza kuwa tofauti somehow kadri inavyoendelea meaning it's either understanding au kwenye translations au wajanja wengine walibadili au kuongeza au kupunguza just to suit their requirements or their wishes.
Kuamini hizi story za Adam & Eve , Jesus, Muhammad lazima uwe umejitoa ufahamu.
These goons are so brainwashed yaani hauwaambii kitu kuhusu imani zao, ukiwauliza proofs ziko wapi watakwambia maandiko yaliyoko kwenye vitabu vyao vya dini ndiyo proofs. Stories zilizotungwa na kuandikwa some will tell you kwamba zimeshushwa, so pathetic.
 
Makanisa Makui unamaanisha majengo au unamaanisha nini?
 
Kiongozi ndio maana msingi wa Abrahamic religions zikaitwa tales za Middle East.

Utaratibu wa tales (kwa watu waliosoma literature au history) over time versions zake uwa zinabadilika kutokana na chumvi za waadithiaji.

Hadi huyo Constantine anaanzisha dini yake kwa misingi ya tales za Middle East aliwakuta wenyeji wana version kibao za story hizo hizo na kila mtu anafanya ibada kwa mtindo wake kwa maandishi hayo hayo.

Tofauti ya Jews, Christianity na Islam ni story walizoamua kurasimisha kwenye vitabu vyao na mtindo wa kufanya ibada.

Jews na Islam msingi wake ni Middle East people ndio maana wanafanana sana (tofauti na wakirsto wasiolewa dini), tamaduni za Jews zinafanana na Islam, kuliko Christianity.

Mambo mengine ni kuwaachia tu mijadala yao, la msingi ni kupata Magufuli 2.0 wa kuwanyoosha watanzania kwa utaratibu mwingine huko kwenye dini waamini wanachotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…